Kabla ya uharibifu wa mifumo ya kibenki, kila kitu kilikuwa kikienda vizuri, lakini bank hiyo ikatoa tamko kuwa ilikuwa inaenda kuboresha mifumo yake, wateja wakaombwa wawe watulivu. Mara walipoanza, huduma za kibenki, kwa siku 4 mfululizo zikawa ama hazipatikani kabisa, au zikipatikana nusunusu...