KANUNI YA CHANZO NA MATOKEO (THE LAW OF CAUSE & EFFECTS)
Ameandika Dr. dogoli kinyamkela 💀☠️
Kanuni hii ndio huitwa 'karma' na Wahindi.
Wakristo huiita "kanuni ya kupanda na
kuvuna".
Wanasema "apandacho mtu ndicho atakachovuna".
Kanuni hii inasema kwamba kile unachokitenda kwa watu...
Hata ndoto za watu wengi ulimwenguni kwenda kujitafuta ni nchi zilizojaa wazungu.
Mfano mwengine mtu awe muislamu mwenye jina la kiarabu, hupenda kuvaa mavazi ya kiarabui, hupenda kula vyakula vya kiarabu, hujifunza lugha ya kiarabu, n.k. ukimwambia achague kafanya kazi kwa mwarabu au mzungu...
Hawa wahindi ndio waliokuwa pamoja na wahuni CCM.
Miaka ya ujana nilijaribu kuimba mbele ya mpenzi wangu nikajua S2kizzy kabla ajazaliwa angetunga beat na mimi ningeingiza sauti ya mbosso.
Sasa hawa watu wa asia mnawezaje kuangalia masinema yao yani stering kafa mwanzo wa sinema alafu mbwa na...
Wachina wanadini ZAO, wahindi ndio balaa. CA ajabu watu wa haya maeneo hawana kiu kubwa ya kutaka watu wajiunge na dini yao kama Waarabu.
Sababu ni nini?
Ukichunguza kwa makini mwenendo wa uwekezaji wa Watanzania wazawa (weusi), kuna swali la msingi ambalo tunapaswa sisi kama wazawa wa nchi hii kujiulizwa kwa ujasiri na kutafuta majibu yenye mantiki ya kijamii, kiuchumi na kihistoria. Swali hili la muhimu linatokana na ukweli kwamba wanaoshikilia...
Assalamu alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Wakuu naomba kujua faida na changamoto za kufanya kazi na makampuni ya aina ya watu niliyoyataja hapo juu.
NB: No place for racism
Mkiona hawa wazungu wanajidai kuingia siasa za ndani, sio kwamba wanatupenda wanatafuta mtaji wa kupata au kuongeza nchi katika kundi lao na baadae watumie kundi hilo kuwepo mstari wa mbele vita ikianza.
Hawa wanaokuja kusema asinyongwe mtu kwani nani aliwaambia kuna mtu atanyongwa ,akili...
Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo,
Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa
Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally
Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa...
Watanzania amkeni hivi mnajuwa kwanini wahindi na warabu huwezi kuwaona wakishiriki kwenye harakati za kudai haki? Mwaka 1995 moja ya sababu mrema kuungwa mkono ni kwasababu alisema wahindi ndio wameshikiria serikali ya ccm chini ya mwinyi. Na kweli wahindi walifanya kila njia k. Kuhakikisha...
Niliwahi kufanya kazi kwenye taasisi moja ya Wahindi inaitwa Aga Khan. Aisee, kwa suruba nilizozipata kwenye taasisi ile, sitamani tena kufanya kazi kwa Wahindi. Kwanza kabisa, ili Mhindi msimamizi au boss akupende au akupatie fursa yoyote, inatakiwa ujipendekeze au uwe mnafiki kwa wafanyakazi...
Miaka ya nyuma niliwahi kukutana na Naibu Waziri wa Fedha huko Dodoma kwenye kongamano moja la vijana kuhusu masuala ya fedha. Nilipata wasaha wa kuzungumza naye mawili matatu kuhusu mambo ambayo yeye yapo kwenye wizara yake.
Katika jambo ambalo nilipata wasiwasi ni kuhusu mfumo wa kodi, Mfano...
Ripoti kutoka BBC...
India is home to 1.4 billion people but around a billion lack money to spend on any discretionary goods or services, a new report estimates.
The country's consuming class, effectively the potential market for start-ups or business owners, is only about as big as Mexico...
Wakuu nimevutiwa na mijadala mikubwa huko Duniani inayohusu ukabila, uraia, u bara na urangi hasa iliyoanza huko Afrika kusini ambapo watu wanavutana je wazungu ama watu weupe wa Afrika kusini ni waafrika ama sio waafrika.
Na je uafrika ni rangi ama ni ubara bila kujali rangi yako. Je kama ni...
Yaani bwana kuna kituko kimetokea hapa nikajisemea tu hawa wahindi na kampuni zao wanadhani kila mbongo ana njaa za kijinga.
Iko hivi, nimefanya interview na kampuni X, mchakato umeenda vizuri kuanzia mwanzo mpaka napangiwa kituo cha kazi huko mkoani. Kila nikiomba mkataba wa kazi naambiwa...
Sina chuki na watu niliowataja hapo juu. Ila kiasili na kimatendo wana roho mbaya, wachoyo, na zaidi ni wabaguzi wa kunuka.
Ukiwakaribisha kwenye nchi yako jua watataka wakutawala, wakubague, hata wakutupe nje.
Je ni kwanini Tanzania tumejaza watu hawa bila kuchelea hatari yao?
Ukienda...
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini unaanza kuinyemelea familia.
Nimeicheki hii interview ya kijana wa miaka 25, Abdullah Mahmoud
Ni boss...
Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete).
Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye gari ndogo. Wamefanya matukio Goba na Tegeta.
Chukua tahadhari.
Zamani tulipokuwa vijana wahindi wengi sana walikuwa wanafanya kazi Bank...hata humu NBC kabla haijavunjwa na kuzaa NMB wahindi walikuwa kibao...kuanzia miaka ile ya 60 mpaka sabini mwishoni wakaanza kupungua...wengi wanafanya biashara zao na wengine walikimbilia CANADA..
uzi tayari..... :) :D...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.