wahamiaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katambi: Tumedhibiti wimbi la wahamiaji haramu, Uhamiaji imedhibiti na kufunga njia za vipenyo 1,777

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema katika kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaoingia nchini. Idara ya Uhamiaji imedhibiti na kufunga jumla ya Vipenyo Elfu Moja Mia Saba Sabini na Saba vilivyopo maeneo mbalimbali nchini, vilivyokua vinatumika kuingia nchini kwa njia...
  2. Kutoka “Shithole” hadi “Takataka”: ubaguzi wa rangi dhidi ya wahamiaji wa Afrika nchini Marekani wazidi

    Rais wa Marekani Donald Trump hivi karibuni kwenye Kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliotangazwa moja kwa moja kwenye televisheni, aliwataja wahamiaji wa Somalia kama “takataka”, na kuelezea hamu yake ya kuwarudisha “walikotoka”. Baadaye alizidisha kauli hii, akiwaambia waandishi wa habari...
  3. R

    Jeshi la Polisi Mwanza limewakamata wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia wahamiaji haramu 14 raia wa Burundi, waliokamatwa wakiwa wameingia nchini kinyume na sheria kwa kutumia usafiri wa magari Mawili tofauti ya abiria Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, Novemba 23 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Wilbroad...
  4. PostGE2025 Wahamiaji haramu waliohodhi madaraka wahusika kudhamini mauaji kulinda maslahi yao

    Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao. Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na wahamiaji haramu. Polisi wa ngazi ya chini hawana ujanja tena zaidi ya kulinda wanamtandao. Polisi na...
  5. R

    Wahamiaji 11 kutoka Marekani waishtaki Serikali ya Ghana kwa Kuzuiliwa kinyume cha Sheria

    Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
  6. Kuna kijiji kinaandaliwa huko Japan kwa ajili ya wafanyakazi wahamiaji kutoka Tanzania

    Nchi inakosa nguvu kazi kwa baadhi ya mambo hadi kupelekea kutayarishia wahamiaji mazingira
  7. Wahamiaji 225 wakikutoka Amerika kaskazini watua kwenye uwanja wa ndege wa Ben-Gulion

    ✈️🇮🇱 Siku ya kihistoria nchini Israel, safari ya 65 ya ndege ya kukodi ya aliyah ya Nefesh B’Nefesh ilitua leo asubuhi kwenye Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, na kuleta olim wapya 225 kutoka Amerika Kaskazini. Ndege hiyo ilibeba watoto 125 (mtoto wa mwisho akiwa na umri wa miezi 9 tu), wasio na...
  8. N

    Hili wimbi la wahamiaji hasa Burundi Jenerali wa Magereza anasubiri nini kupisha ofisi?

    Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa nchi yetu vipi? Mbona tunatishwa? Vijana wote wale? Na mjue raia wa nchi nyingine kamwe hawezi...
  9. Wahamiaji haramu zaidi ya 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia

    Tanzania sio shamba la bibi wahamiaji haramu 98,000 wakamatwa kipindi cha Rais Samia. Chini ya amiri jeshi mkuu Dkt Samia Suluhu Hassan amewapandisha vyeo wakaguzi na askari 3,115, na askari wapya 2,251 wameajiriwa, Ili kuimarisha doria, misako na operesheni katika maeneo mbalimbali nchini...
  10. Msako mkali wa wahamiaji jamhuri ya Dominika: Mgogoro mpya Karibea

    Kwa miezi kadhaa sasa, picha na video kutoka Jamhuri ya Dominika zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, zikionesha maafisa usalama, polisi na wanajeshi wakiendesha misako ya barabarani, wakikamata watu wanaoshukiwa kuwa wahamiaji haramu – wengi wao wakiwa ni kutoka...
  11. Mpango wa Rwanda kupokea wahamiaji kutoka Marekani (kwa Trump) si tishio kwa usalama wa Afrika Mashariki?

    Serikali ya Rwanda imetangaza kwamba iko katika mazungumzo ya awali na serikali ya Rais Donald Trump kuhusu kuwapeleka nchini Rwanda wahalifu waliokamilisha adhabu zao magerezani nchini Marekani. Kauli hii imezua maoni mseto nchini Rwanda na hata kwa africa mashariki watu wenye historia ya...
  12. US imeamua kuwaua kiaina wahamiaji inaowatafuta ili kuharakisha malimbukeni waondoke nchini humo.

    Wizara ya mambo ya ndani ya Marekani imeiamrisha taasisi ya mafao ya nchi hiyo kuorodhesha majina karibu 6000 ya wahamiaji kama wafu ili wasiweze kumudu maisha nchini humo na hatimae kujiondokea kwa hiyari zao. Kwa kufanya hivyo wizara hiyo imesema popote watakapokuwa wahamiaji hao hawataweza...
  13. Yafahamu makundi ya wahamiaji Marekani wenye mafanikio makubwa sana wengine hata zaidi ya Wamarekani wazungu

    Hapa kuna makundi ya wahamiaji yenye mafanikio zaidi nchini Marekani, kulingana na kipato, elimu, na taaluma: 1. Wahindi wa Amerika • Kipato cha Kati cha Kaya: ~$150,000 (cha juu zaidi) • Elimu: ~79% wana shahada ya kwanza au zaidi • Taaluma: Sayansi ya kompyuta, tiba...
  14. Trump ni mhamiaji asiyependa wahamiaji.

    Anajisahau kuwa Wamarekani 99.98% ni wahamiaji. Trump anafukuza wahamiaji wenzake. Dhambi hii itamtafuna yeye na Marekani yote kama taifa kama ikiachwa iote mizizi.
  15. Bashungwa atoa angalizo kwa Maafisa wa Uhamiaji wanaoingiza Wahamiaji Haramu Nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amewataka Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji kutekeleza majukumu yao kwa uzalendo, uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa ambavyo vinaweza kupelekea uingiaji wa wahamiaji haramu nchini. Bashungwa ameeleza hayo, leo Machi 04, 2025...
  16. Rwanda yaidai UK Euro millioni 50 za mkatapa wa wahamiaji kutoka UK

    Mahusiano ya Rwanda na serikali ya Uingeleza, siku za nyuma yalikuwa mazuri. Mwaka 2022, mwezi wa nne, enzi za waziri mkuu, Rishi Sunak, serikali zote zilisaini mkataba wa mamilioni ya Euro. Baada ya waziri mkuu wa sasa kuingia madarakani, mkataba huo ulizikwa, na serikali ya UK ikaiomba Rwanda...
  17. Papa anasema Trump kufanya deportation ni kuwafanyia mateso wahamiaji. Basi sawa baba, tuanze na wewe, waruhusu maelfu waje kwenye haya majengo yako

    Baba mwenyewe anapoishi pamezungushiwa ukuta
  18. Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  19. M

    Trump ni Magufuli mweupe, anachokisema anakitekeleza haraka, wiki 1 tu kafukuza wahamiaji haramu na Kafuta USAID. Rais Samia pata somo

    Kasi ya Trump kwenye kutekeleza maamuzi magumu ni kubwa sana, natamani Rais wetu Samia na yeye awe na hii kasi. Hata Tanzania kuna taasisi kibao zinafilisi serikali hakuna cha maana zinazofanywa zinapaswa kufutwa fasta fasta TRUMP anatoa THANK YOU haraka kuliko thank you za Simba na Yanga.
  20. R

    Mbona mapema sana, Siku 3 baada ya Rais wa Mexico kuishupazia shingo Marekani kakubali kutuma wanajeshi elf 10 mpakani kudhibiti madawa na wahamiaji

    Trump aliweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Mexico kama adhabu ya wao kutotia mkazo wa uvushaji wa madawa na wahamiaji haramu kuingia Marekani, Rais wa Mexico hakutaka kuonekana mnyonge akamwaga mboga kwa kuweka kodi asilimia 25 kwa bidhaa zinazotoka Marekani (Tit for Tat), Ni siku ya 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…