Jina: Charles Mhando Njama
Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania
Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University
Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Jimbo: Korogwe Mjini
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka huu wa 2025 ameteuliwa na kamati kuu kushiriki kinyang'anyiro cha kura ya maoni katika kiti cha...
1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama.
2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika mitandao ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Poleni sana kwa kukesha mkiwa macho. Hongereni kwa kuendelea kuwa na imani na CCM, asanteni kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndiyo chama kilichobeba matumaini yenu, mstakabali wa maisha yenu, kesho ya watoto wenu, maisha ya wajukuu zenu, na uhai wa Taifa letu. Kwa...
Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri.
Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
WAKATI zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa wagombea wa katika uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (SRT), likifungwa rasmi Julai 18 saa 10:00 jioni, jumla ya wagombea 20 wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Julai 21, Mwenyekiti...
Sheria zetu za uchaguzi zinatamka wazi kuwa tokea mtu ametangaza nia ya kugombea, akianza kugawa zawadi kwa wapiga kura, hiyo itahesabika ni rushwa.
Sa100 tangu alipojitangaza kuwa yeye ni mgombea pekee wa nafasi ya Urais kupitia chama haramu, amegawa mitungi ya gas nchi nzima, amegawa pikipiki...
Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea.
Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye mvuto na kukubali kwenye ngazi za juu
CHADEMA mpaka leo kimekosa kutengeneza na kuandaa presidential...
Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote.
Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani...
Mdau wa siasa na mkazi wa Dar es Salaam, Ramadhan Mashauri, amesema idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi, ikiwemo ubunge, inatokana na viongozi wengi wanaomaliza muda wao kushindwa kuzitendea haki nafasi zao wakati wa utumishi wao.
Ameeleza kuwa hali...
Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho.
Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...