Mahakama Kuu ya Zanzibar imeyatupa maombi madogo ya dharura yaliyowasilishwa na wagombea wa ACT Wazalendo wa Uwakilishi kutoka Majimbo17, yaliyolenga kuzuia Wasimamizi wa Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu kuchomaaukuharibu nyaraka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Uamuzi huo umetokana na hoja ya...
Mgongano wa kikatiba umejitokeza katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kufuatia kesi zilizofunguliwa na waliokuwa wagombea wa Ubunge kupitia Chama cha ACT-WAZALENDO kwa majimbo 19 ya Unguja
Mgongano huo umeibuka leo mbele ya Jaji Hajji Suleiman Khamis katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo...
Wajumbe.
Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake.
Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia.
Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi katika akili yake.
Mathalan, mwanadamu ambae enzi za utoto wake alikulia katika familia zenye...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan jana Novemba 29,2025 ameongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa cha uteuzi wa wagombea wa CCM wa nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa pamoja na...
Unatumikia bunge batili, serikali batili,. compromised judiciary and the like! Mjinga ndiye atakuona kuwa uko bungeni kama mpinzani. Uko pale kuganga njaa yako na si vinginevyo.
For example Shaibu wa ACT.Utafanya nini peke yako? Tena katika ubatili?
Kuna uwezekano 80-90% uchaguzi ukasogezwa mbele kwa kutokea kifo cha mgombea urais .
So wale jamaa waliopewa magari wa vyama vidogo kuweni makini ikiwezekana jificheni kaeni mbali Sana
Kwa wanaofuatilia vimbwanga kuelekea uchakachuaji ujao, watakubaliana nami kuwa pesa ndefu inatumiwa tena watoto wa makapuku ambao hawajafanya kazi muda mrefu.
Je wanaipata wapi au ni bwimbwi kama siyo ya kutupiga kwa wale waliowahi kushika nyadhifa kama yule wa Arusha. Je wananunua nini na...
Mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Enock Koola akiwa anaendelea na kampeni katika kata mbalimbali za jimbo hilo amewahaidi wananchi wa jimbo hilo kutatua kero ya maji inayo wakabili wananchi hao Aidha amewaomba wananchi wote wa Vunjo kujitokeza kwa wingi...
Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu."
Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
KUlikuwa na haja gani ya kuwa na huu uchaguzi ikiwa ni maigizo matupu.
Nimezunguka Dar yote sijaona picha wala bango la mgombea mwingine yeyote wa Uraisi mbali ya Samia.
Ikija kwa wabunge na madiwani ni wa CCM tu ndio wametanda. Kwa picha chache za upinzani zilizopo ni vikaratasi vya A4...
Chama cha ACT Wazalendo kimefafanua sababu zilizopelekea kukataa kupokea gari maalum alilokuwa amekabidhiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Luhaga Mpina na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya makao makuu...
Katika kapneni za uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, baadhi ya wagombea ubunge wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametoa ahadi wakigusa kero za wananchi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), mwaka 2022 Dar es Salaam ilikuwa na wakazi milioni 5.4 na ni mkoa unaokua kwa kasi...
Ni siku chache zimepita tangu Kampeni za kutafuta Kura za Urais, Ubunge na Udiwani wanapokuwa katika majukwaa wanakuwa wanarudia sana Sera zao ambazo nyingi zimezungumzwa awali na watu wengine
Ushauri wangu wawe wabunifu zaidi watasikilizwa na hatimaye watapata kura za kutosha
Mfano CCM na ahadi zetu Za siku zote zomerudiwa tena wakati zile za nyuma bado!
Mgombea si halali. Kila wakipita pita ntakuwa nafungua macho watanzania !!
Kesho kama kawaida
Mchengerwa aliingiaje kwenye dili la ndege na Magufuli akafichwa
Nani Hasa analipa kikosi cha kuteka watu...
Maktaba Media imepata taarifa kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Cha Alliance Democratic For Change (ADC) Ndg. Wilson Malumbe huenda akaondolewa kwenye mchakato wa Urais wa Uchaguzi Mkuu 2025 baada ya Ofisi ya Msajili wa Siasa kubainisha kasoro za kupatikana kwa Mgombea huyo.
Haya yanajiri wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.