waganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama Unafanya Uzinzi Sahau Kufanikiwa Maisha (Labda kwa Kutumia Waganga au Utapeli)

    Wakuu salamu, Leo naomba tujiambie ukweli mchungu ambao wengi watauchukia, lakini ndio ukweli halisi. Kama wewe ni mwanaume au mwanamke unayeendekeza uzinzi na ngono zembe, sahau kabisa habari ya kufanikiwa kimaisha kwa njia halali ya jasho lako. Ukiona mtu ni mzinzi wa kutupwa na bado ana...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi kikatiba Malaika, Mungu, shetani na waganga wanatumbulika

    Nimeona Rais wa Kenya anasema hata asipo shinda ataongezewa kura na malaika hapa kwetu imekaaje
  3. JamiiForums Tanzania Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia

    Kama Yesu anaponya Sasa mbona mnajazana hospitalini na kwa waganga wa kienyeji? Mtachanganyikiwa Hadi muombe msamaha Babu na Bibi zenu waliotangulia.
  4. JamiiForums Tanzania Waganga wa jadi wanaoiba nyota za watu hua wanafanyia nini?

    Nyota yako mafanikio yako niliwahi kusikia pahala Hawa waganga wezi wa nyota za watu hua wanazifanyia nini haswa? Unakuta kijana anafanya mambo hayaendi kumbe wamepita nayo wajanja mbaya zaidi ukienda huko wanakueleza nyota yako haipo ukiwambia nielekeze huyo mtu aliechukua nyota yangu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kinyeji Simiyu Tumechoka na michango ya Mwenge

    Ndugu wana jukwaa, Leo naomba nilete hii hoja kwenu. Sisi waganga wa Tiba asili au waganga wa Kinyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima Kwa ajili ya Mwenge. Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena Kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao. Kila Mwaka...
  6. K

    JamiiForums Tanzania KERO Waganga wa Kienyeji Simiyu tumechoka na michango ya Mwenge

    Ndugu wana jukwaa, leo naomba nilete hii hoja kwenu. Sisi Waganga wa Tiba Asili au Waganga wa Kienyeji Mkoa wa Simiyu, tumechoka na michango ya lazima kwa ajili ya Mwenge. Kila Mwaka tumekuwa tunachangishwa tena kwa lazima, usipochanga unawekewa vikwazo na vitisho kibao. Kila Mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji jihadharini

    Nilikuwa mmoja wenu nikafika level za juu.. Haikuwa rahisi nilikwepa mitego mingi na kuzishinda changamoto nyingi Kuna jambo jipya kiasi linajiinua kwa kasi ya ajabu.. Mnahusishwa na mauaji yanayoendelea nchini.. Je mnahusika kweli? Je mnageuzwa mbuzi wa kafara? Mauaji ya Katibuni 1. Yule...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaopeleka wake zenu kwa waganga wanawazunguka wanaendakuwatengeneza ninyi muwe marofa

    Mnaoenda na wake zenu kwa waganga asilimia kubwa wake zenu wanawazunguka mkiwa hampo majumbani wanaenda kuwatengeneza ili muwanyenyekee akiomba kitu au kukwambia kitu chochote usipinge ukubaliane nacho Wanawake ni viumbe hatari sana wanaume tunarogwa sana. Unajuwa ni kwanini familia nyingi...
  9. JamiiForums Tanzania Kina dada acheni kuwasumbua waganga kuwawezesha kuolewa wakati mlikuwa mnajibu hovyo enzi mkiwa kwenye ubora wenu

    Ninaandika kwa hasira kali sana. Unakuta umeenda zako kwa mganga unakutana na foleni kubwa ya kina dada wameenda kupata dawa za kupata waume wakati ndo haohao enzi wakiwa kwenye ubora walikuwa wakijibu kwa karaha waoaji waliojitokeza. Binafsi ni mhanga wa majibu na matendo ya kishenzi enzi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Tanzania

    Wako na umaarufu hadi hapa Kenya kila pahali mabango mganga hatari kutoka Tanzania. Mara Dar, Tanga lakini huwa naamini ushirikina
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kujiondoa katika vifungo vya uchawi, husda na nuksi bila ya kwenda kwa waganga na wachungani/mashehe feki

    Karibuni ndugu zangu maana hali sio hali
  12. JamiiForums Tanzania Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike 2. Usiwape fedha ndugu zako wa damu hata iweje na siku ukifanya hivyo utafirisika vibaya. 3. Huruhusiwe kuoa maisha yako yote adi unakufa 4. Huruhusiwi kumpa fedha mama...
  13. JamiiForums Tanzania Hapa ndo unaona Tofauti ya wenye Dini na Sisi Vilaza, Vibaka, Waganga Njaa, Matapeli.

    Sisi tulichoweza ni kufuga ndevu na kupaka Henna, lakini Elimu kama Elimu hatukuwahi kupata tukisha kariri mistari na kuvaa vipedo basi tunaamini tushamaliza. Wapo wenye Dini yao. Hao huwa wanakuwa tofauti na kuwa na Uelewa wa tofauti sana. Mpaka utashangaa sisi mbona ni kama nyumbu, manyani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kusimamia group la facebook kabla sijalitelekeza, Nimechoka kufuta post za biashara, waganga, n.k.

    Niliwahi kuanzisha group la Facebook kwa kitu amnacho nina interest Lakini sasa limekuwa kubwa members elf 18, ninacho kutana nacho ni rundo la post za Biashara, waganga, free mason, vinyozi, siasa, dini, n.k. Magroup makubwa huwa wanawezaje na unakuta kazi yote anafanya admin
  15. JamiiForums Tanzania Hakikisha una waganga watatu wazuri

    Hii duniani ya sasa ukisema unamtegemea Mungu pekee yake utakua msindikizaji hadi unaingia kaburini, Mungu mshukuru kwa kukuleta dunia lkn waja wakitaka kukuondoa wanakuondoa hata Kabla ya siku zako. Waja wakitaka usipate riziki hupati utaambulia hela ya dagaa tu. Waja wakisema biashara yako...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt Magembe awataka Waganga Wafawidhi kufanya Mawasiliano ya Mapema kabla ya Rufaa

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za Rufaa kuzingatia mawasiliano ya awali kabla ya kumpa mgonjwa rufaa kwenda hospitali ya Kanda kwa lengo kutoa msaada wa haraka kwa mgonjwa. Ameyasema hayo Agosti 21, 2025 wakati akifungua Kikao Kazi cha...
  17. JamiiForums Tanzania Hali hii ikikutokea jua kwa Mungu hutakiwi na hata kwa Waganga wa Kienyeji pia hutakiwi kwani ni dalili kuwa wote mna Nuksi ya Karne ya Kifamilia

    TABORA: Aliyekuwa Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameshindwa katika mchakato wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi...
  18. JamiiForums Tanzania Waganga rudisheni pesa za wateja wenu waliokatwa ubunge

    Huu ni msimu wa mavuno kwa waganga wengi kama jadi ya watia wenu uamini huwezi pita bila babu,watu wameliwa pesa zao na majina hayajarudi huku wakiaminishwa. Sio fair mganga unampa uhakika mtia nia kwamba atapata ubunge then anakatwa jina.
  19. JamiiForums Tanzania WARAIBU WENGI HAWAPENDI HUACHE VILEO

    Waraibu wengi hawapendi kumuona mraibu mwenzao anafanya jitihada za kujitoa katika matumizi ya vilevi kama kuvuta bangi, madawa ya kulevya na kutumia pombe. Ikitokea unafanya jitihada kama kupunguza kuhudhuria maskani au vilabuni au baa wanakuona snitch, kama ulikuwa mlevi ukaanza kunywa juisi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania UZI MAALUMU KWA WALE TULIOWAHI KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI

    Je, wewe ulishawahi kwenda kwa waganga wa jadi?. Tupe baadhi ya visa ulivyokutana navyo huko kwa mganga/waganga wa jadi. Karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…