wafungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hamas wamekubali pendekezo la Israel la kusitisha vita na kuondoa majeshi yote Gaza na kubadilshana wafungwa

    Wanaukumbi. 🚨 HAMAS ILITUMA MAJIBU KUHUSU PENDEKEZO LA KUSITISHA MAPIGANO KWA WAPATANISHI PAMOJA NA MABADILIKO. Haniyeh na Nakhaleh walikabidhi majibu ya pendekezo la "israeli" la kusitisha mapigano kwa Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar. Majibu ambayo yalikabidhiwa ni pamoja na...
  2. Kwa kupoteza hao mateka wanne, HAMAS hawatapata wafungwa 200 kutoka Israel

    Masharti ya HAMAS yalikua kwamba kwa kila mateka waliyemshikilia, watamuachia iwapo watapewa magaidi wao 50 walio kwenye magereza ya Israel, sasa hapo wamepoteza wafungwa wanne, hiyo ina maana magaidi 200 wataendelea kuozea Israel. Mpaka leo sijakaa nielewe faida gani HAMAS walikusudia kwenye...
  3. Mateso ya magerezani yanawasaidia wafungwa kujirekebisha?

    Inasemekana, magereza ya Tanzania ni tofauti sana na ya Ulaya na nchi zingine "zilizostaarabika". Mfungwa wa Ulaya hukoseshwa uhuru tu wakati wa Tanzania hunyimwa karibia kila kitu: uhuru na mahitaji mengine muhimu ya kumwezesha kuishi kama binadamu wa kawaida. Inasekana, magereza ya Tanzania...
  4. Trump adai kuna wafungwa wa kutoka Congo DRC wanopelekwa Marekani. Je mambo yapi wanofanya hawa wahalifu huko Marekani?

    Mgombea mtarajiwa wa kiti cha uraisi wa Marekani na pia mshtakiwa aletiwa hatiani kwa makosa ya kughushi nyaraka Donald Trump leo ameongea na waandishi wa habari na wafuasi wake katika ofisi zake mjini New York. Akiongea kwa muda wa dakika zipatazo 40 kuashiria kila kosa alotiwa hatiani kwa...
  5. SoC04 Tanzania tuitakayo ambayo itajali, kuboresha sheria za nchi na kuthamini haki za wafungwa magerezani

    UTANGULIZI. πŸ‘‰ Watu hufungwa jela kwa sababu mbalimbali, zinazohusiana na kuvunja sheria za nchi. Picha kwa hisani ya mtandao. πŸ‘‰ Adhabu ya kifungo jela inakusudia, 1. Kutoa adhabu.Kuwaadhibu wale waliovunja sheria na kuonyesha kwamba matendo yao hayakubaliki katika jamii. 2. Kuzuia Uhalifu...
  6. Bunge la Ukraine laidhinisha mpango wa kusajiliwa wafungwa jeshini

    Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo. Tovuti ya habari ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, rasimu ya mwisho ya muswada huo ilipigiwa kura kwa wingi bungeni jana Jumatano baada ya kufanyiwa...
  7. VIDEO: CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina

    Wanakumbi. CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina katika kambi ya Sde Teiman katika jangwa la Naqab, ambapo Israel inatekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa wa Kipalestina waliotekwa nyara kutoka Gaza. Wafuasi wa Israel walikuwa wanasema Al Jazeera...
  8. B

    SoC04 Serikali ianzishe VETA kwenye magereza nchini

    Kutokana na wimbi la uhalifu kuongezeka mitaani huku chanzo kikiwa ni ukosefu wa ajira pamoja na elimu stahiki nashauri serikali ianzishe veta kwenye magereza. Wakianzisha veta pale magereza wafungwa pamoja na mahabusu wote iwe ni lazima kusomea chochote, na kama kuna mtu ambaye ana elimu...
  9. F

    Ikitokea upo gerezani bafuni unaoga na wafungwa wenzako, sabuni ikakudondoka, achana nayo usiiokote

    Ikitokea umefungwa, upo gerezani bafuni unaoga na wafungwa wenzako, bahati mbaya sabuni ikakudondoka, Achana nayo usiiokote. Utakuja kunishukuru baadae.
  10. Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

    https://www.youtube.com/watch?v=mDH3QEXfcD8 Binafsi naona wafungwa wa kike ambao "siyo bikra" na wamefungwa zaidi ya mwezi mmoja wapewe haki ya kufanya mapenzi walau kwa wiki mara moja. Hili jambo kama wana kataliwa tujiulize je sisi ambao tupo uraiani tunaweza kuishi bila hili tendo takatifu...
  11. Mahakama Kuu Kenya yaamuru Wafungwa waruhusiwe kuhudhuria Mazishi ya ndugu zao

    KENYA: Mahakama Kuu imetoa uamuzi kuhusu Haki za Msingi za Wafungwa katika maisha ya kawaida na kuamuru kuwa Wafungwa wote nchini humo wanapaswa kupewa Haki kama Binadamu wengine ikiwemo Haki ya kuhudhuria Mazishi. Mahakama imetoa uamuzi huo kupitia Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari...
  12. Hili pendekezo la kuruhusu wafungwa wapige kura linaonyesha dhamira ovu na nchi yetu

    Ni ajabu kuona baadhi yetu huko wanapendekeza watu waliofungwa wapige kura wakati wa uchaguzi. Wanaopendekeza hili wanasahau kwamba haki ya kupiga kura huwezi kuitenganisha na haki ya kupigiwa kura; kwa nini hatupendekezi pia wapewe haki ya kugombea ili wapigiwe kura?
  13. HAMAS waondoa sharti la IDF kuondoka Gaza, wakubali basi hata wapewe wafungwa

    Juzi hapa walisema hata iweje hamna kukubali chochote kisichohusu Israel kuondoka Gaza, ila Israel wakasema hamna kitu kama hicho na kwanza wakaongeza mapigo. HAMAS sasa wanasema basi sawa jameni wapewe wafungwa wao tu wataachia mateka 40 ======================== Hamas negotiators have waived...
  14. Hivi wafungwa kufanyishwa kazi ya kufyatua matofali sio forced labour?

    Najua duniani kwa sababu fulani fulani za kimaadili huwa hawanunui bidhaa zilizotengenezwa kwa forced labour. Nimepita Shinyanga nimekuta wana wanagonga tofali kama vibarua. Je, hela zinazopatikana hapo zinaenda wapi? Kwa hiyo jeshi la magereza limeona kukata magogo haitoshi wameona wahamie...
  15. K

    Wafungwa wa Gereza la Kyela washerekea Sikukuu kwa kupewa msaada na Wadau

    Taasisi ya Vanessa Foundation imetoa msaada wa hali na mali kwa wafungwa wa Gereza la Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya, wakati wa Sikukuu ya Krismasi ikiwa ni sehemu ya kusherehekea nao pamoja na kuisaidia Serikali jukumu la kuhudumia wafungwa hao. Akizungumza wakati akikabidhi msaada huo...
  16. Akamatwa baada ya kujiuzulu kazi akiwa katikati ya kusafirisha wafungwa

    Mtu mmoja huko Orlando anashikiliwa na polisi baada ya kuendesha gari la wafungwa kwenye njia isiyo sahihi na kukataa kusimama mamlaka zilipojaribu kumsimamisha. Maafisa wa sheria walipokea simu kuhusu tahadhari ya gari la kusafirisha wafungwa likisafiri kwenye barabara ya I-40 huko...
  17. Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  18. Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  19. Naibu Waziri Sagini awataka wafungwa kumuomba Mungu ili wakitoka wakute wenza wao wako salama

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewasisitiza wafungwa na mahabusu wanaotarajia kumaliza kutumikia adhabu zao Gerezani waongeze juhudi katika kumuomba Mungu ili wakirudi uraiani wakaanze maisha mapya ikiwa pamoja na wapenzi wao wakiwa salama. Akizungumza na...
  20. Makabidhiano ya mateka: Israel kuwaacha mateka 39 wa Palestina kwa watekaji wa Israel huko Gaza

    Wanaukumbi. BREAKING: ISRAEL YAWAACHA MATEKA 39 WA PALESTINA KWA WATEKAJI WA ISRAELI HUKO GAZA. Israel imewaachilia mateka Wapalestina 39, wanawake 24 na watoto 15. Hamas kukabiliana na mateka 13 wa Israel. Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu litasimamia uhamisho huo katika jela ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…