wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kunani makato ya mikopo kwenye mishahara ya wafanyakazi Januari 2022?

    Kumekuwa na sintofahamu kwa wale wenye mikopo taasisi mbalimbali ukiangalia balance ya Desemba na ukatoa balance ya January utaona marejesho yamefanyika mara mbili. Nusu umelipa wewe na nusu nyingine imelipwa na asiyejulikana. Kwa maana kama ikiwa hivi mfanyakazi aliyekuwa na mkopo wa miaka 6...
  2. Waliokuwa wafanyakazi New Habari waitaka Serikali imshinikize Rostam Aziz awalipe madai yao. Kuandamana nyumbani kwa Rostam na Bashe

    Wafanyakazi zaidi ya 200 waliokuwa wameajiriwa kwenye kampuni ya new habari(2006) limited inayomiliki magazeti ya Mtanzania na mengine wameiomba Serikali imshinikize mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz kuwalipa fedha zao ambazo ni mafao yao. Msemaji wa wafanyakazi hao, Arodia Peter amesema...
  3. B

    Godbles Lema: Wafanyakazi wengi wa Serikali ni jobless, baadhi wanafanya uovu ili walishe familia

    Leo kwenye Maria Space iliyokuwa na mada ya mfumuko wa Bei man of the space was Lema. Ameongea mambo mazito na muhimu Kwa Taifa Leo. Moja ya jambo kubwa ninalotaka kushare na wewe ni hili: 1. Tanzania haitaendelea kama hakuna miundombinu ya kisera yakutufanya tuendelee. 2. Wafanyakazi wa...
  4. K

    Mgomo wa Madaktari na Wafanyakazi wa hospitali ya Dar group (T.O.H.S) kuanza Februari 14

    Madaktari na wafanyakazi wa Taasisi ya Tanzania Occupational Health Services (T.O.H.S) maarufu kama Dar Group Hospital wanatarajia kuanza mgomo na kuishinikiza Serikali kupitia wizara zake husika kutoa muafaka na hitimisho kuhusu kadhia ya muda mrefu iliyop ktk hospital hiyo isiyo na mmiliki...
  5. Kuepusha dhuluma kwenye mishahara na ukwepaji kodi, TRA itoe Final Salary Slip kwa wafanyakazi

    Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika...
  6. Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

    Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake. Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi. Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi...
  7. CHADEMA: Salamu za pole kwa wafanyabiashara soko la Karume

  8. Kaimu Postamasta Mkuu, Macrice Mbodo: Lazima matokeo yaonekane kwa kila anayetumikia shirika hili

    Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amewataka wajumbe wa Baraza la Majadiliano wa Shirika hilo nchini kuchukua kila fursa inayoonekana inaleta tija kwa Shirika kwa lengo la kuhakikisha wanachi wanapata huduma bora na zinazoendana na mahitaji yao kulingana...
  9. S

    Hivi wafanyakazi wa TRA mna matatizo gani? Mnaomba omba hela za rushwa kila huduma kwa mteja!

    Juzi juzi mwisho wa mwaka nilienda TRA kuulizia nadaiwa kodi kiasi gani mfanyakazi anaomba elfu 15 ili aniangalizie! Nikamuuliza ya nini? Akajibu siunajua bro ya maji kidogo! Nimenda tena jana kufanya bond cancellation ili wafanye bond cancellation wanataka hela yaani ni tabu tupu! Nimebana...
  10. S

    Je unawajua wafanyakazi ndani ya Balozi zetu huko nchi za nje ??

    Kama mnawajua watajeni majina yao ,ndio mtawafahamu ni akina nanni na wanahusiana ni ndugu au watoto wa wakuu wakuu ,nyie andikeni majina yao hapa ,mtazidi kuzinduka.
  11. J

    Dkt. Dotto Biteko asimamisha wafanyakazi saba ofisi ya madini kanda ya ziwa

    === Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amemuagiza Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba kuwasimamisha kazi Maafisa saba wa Ofisi za Madini za Mikoa mbalimbali ya Kanda ya Ziwa kutokana na kutokuwa waaminifu katika shughuli zao za usimamizi wa Sekta ya Madini katika...
  12. Huko nyuma CCM ilikuwa mali ya wakulima na wafanyakazi, leo kimegeuka kuwa mali ya wanaCCM wanaounga mkono ufisadi na kuwona Watanzania mabwege

    Labda kwa vijana waliozaliwa majuzi hawawezi kujua hii fact. Huko nyuma CCM ilikuwa ni mali ya umma. Ilimilikiwa na wakulima na wafanyakazi kwa manufaa ya taifa letu. Uongozi ndani ya CCM ulikuwa sio wa kurithisha mtu hata kama hana uwezo wa kuwa kiongozi. Leo hii kuna wanaCCM walirithishwa...
  13. M

    Wafanyakazi wa New Sideway Bar Bunju, Dar es Salaam jirekebisheni mnafukuza wateja

    Ni kwa masikitiko kuwa wafanyakazi wa Baa ya New Sideway iliyoko Bunju A Kinondoni DSM hasa wanaohudumia vinywaji wamekuwa na tabia mbaya sana ya ubaguzi katika kuwahudumia wateja. Kama wewe hutoi offer au huna urafiki na wahudumu jua imekula kwako. Unaweza kufika unakaa unasubiri mhudumu...
  14. Misri: Marufuku kwa Wafanyakazi kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa yaanza kutekelezwa

    Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo Zaidi ya watu Milioni 14...
  15. Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

    Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7. Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko...
  16. M

    Jukwaa la wafanyakazi huru (freelancers marketplace) kwa Afrika linaweza kushamiri?

    Nauliza kama jukwaa au soko la freelancers au wafanyakazi huru linaweza kua na tija au uhitaji kwa Africa mashari au hata Africa kwa ujumla. Kwa kiasi flani watu wengi naona wako Fiverr, Upwork etc ambayo ni makampuni ya Marekani au ughaibuni huko. - Najua vijana wanahitaji na wako tayari...
  17. Viashiria vya kutambua taasisi, shirika au kampuni yenye mafao mazuri kwa wafanyakazi

    Utawatazama waajiriwa wake, wengi wanakuwa na afya nzuri, uso na mwili umetakata, wana sura za furaha, wana magari mazuri haya makubwa makubwa, wanakuwa na furaha ya kumuhudumia mteja n.k Lakini ukienda kwa taasisi, shirika au kampuni ambapo wafanyakazi wake hawana furaha, wako kinyonge nyonge...
  18. Kama umeoa jua kabisa mke wako anatoka kimapenzi na Ex- wake, kijana wa mtaa mmoja au mfanyakazi mwenzake)

    Kwako ndugu yangu uliye oa hao ndio maadui zako.
  19. T

    Lini Serikali hii sikivu itakamilisha ulipaji wa malimbikizo kwa wafanyakazi?

    Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena Mimi kama mfanyakazi naomba serikali ilipe malimbikizo ya wafanyakazi Hawa kwa sababu Kuna...
  20. Tunisia: Chama kikuu cha Wafanyakazi champinga Rais Saied

    Chama cha Wafanyakazi kinachotajwa kuwa na ushawishi zaidi Nchini humo kimepinga kitendo cha Rais Kais Saied kushikilia Madaraka yote na kuonya juu ya tishio kwa Demokrasia Rais Saied ameendelea kusisitiza kitendo chake ya kusitisha shughuli za Bunge na kumfuta kazi Waziri Mkuu kilihitajika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…