wafahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

    CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima. Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
  2. Fredrick Nwaka

    Wafahamu baadhi ya waafrika walioshinda tuzo ya amani ya Nobel

    Na Sophia Kiyenze Tuzo ya amani ya Nobel ni mojawapo ya tuzo kubwa na zenye heshima kubwa duniani ambazo zimekuwa zikitolewa kwa zaidi ya miaka mia moja sasa. Wako watu mashuhuri duniani waliowahi kutunukiwa tuzo hiyo ambayo hutambua mchango wa mtu katika nyanja mbalimbali ikiwemo siasa...
  3. Waufukweni

    Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  4. Mhaya

    Wafahamu Watawala Wasio Rasmi "Oligarchs" walioshutumiwa kipindi cha kikwete, Wakazimwa na Magufuli, Wamerudi kwa Samia.

    Katika siasa na uchumi wa mataifa mengi, kuna kundi dogo la watu wenye utajiri mkubwa na ushawishi wa kisiasa ambao mara nyingi huitwa king makers (wazalishaji wa watawala) na wakati mwingine king dethroners (waangushaji wa watawala). Hawa watu huendesha siasa kwa kivuli, bila kuonekana moja kwa...
  5. McLaren

    Presha ya baba zao ilivyowaondoa mchezoni mapema Watoto wa Beckham, Zidane na Totti

    Wakati wazazi wao wakiwa ni maarufu kwa makubwa waliyoyafanya kwenye mchezo wa soka, wao wameshindwa kufikia angalau nusu ya mafanikio ya kile ambacho baba zao walikifanya walipokuwa wakicheza. Enzo Zidane mtoto wa Zinedine Zidane ‘Zizzou’, Romeo Beckham mtoto wa David Beckham na Cristian Totti...
  6. ELI COHEN

    Wafahamu Wa-Druze ambao tangia wiki iliopita wamefanyiwa ukatili huko Syria

    Ni Waarabu wenye dini ya kipekee ya Ki-brahamu ambayo hapo awali ilikuwa chipukizi la mbali la Uislamu wa Shia. Waamini Mungu Mmoja kama walivyo wakristo na Waislam, nabii wao ni Yethro / Yitro, kuhani wa Midiani, baba wa Sipora; Yethro ni baba mkwe wa Musa. Wafuasi wasiopungua milioni 1...
  7. Kabende Msakila

    Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  8. B

    Camfed ni nini? Anae wafahamu Camfed vizuri afunguke

    Camfed ni watu gani hawa? Wana fanya kazi kwa utaratibu gani? Anae wafahamu vizuri ni nani? How comes mnamuandikisha mtoto kwenye mpango wa kumsomesha kwamba anaishi kwenye mazingira magumu bila kuwashirikisha wazazi wake? Mimi baba Nina uwezo wa kumsomesha mtoto wangu. Ghafla naambiwa...
  9. B

    Camfed ni nini? Anae wafahamu Camfed vizuri afunguke

    Camfed ni watu gani hawa? Wana shughulika na nini hasa? Anae wafahamu vizuri ni nani?
  10. Waufukweni

    Wafahamu Viongozi na Marais Matajiri zaidi Barani Afrika mwaka 2025

    Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake unakadiriwa kufikia dola bilioni 5.8, akifuatiwa na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ambaye anakadiriwa...
  11. Nusratt

    Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

    Habari za jioni wapendwa wana Jf (JamiiAfrica ) Natumaini mko salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku. Lengo la kuleta uzi huu usiku huu ni kuona kwa namna gani hii biashara ya ukahaba ilivyo enea na jinsi inavyofanyika. Hii biashara nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 15...
  12. The redemeer

    Wafahamu Yusufu na Nicodemus watu waliojitolea kumzika Yesu

    Katika simulizi ya kusisimua ya mwisho wa maisha ya Yesu hapa duniani, tunawaona watu wawili wa kipekee: Yusufu wa Arimathaya na Nicodemus. Hawa si watu wa kawaida walikuwa watu wa heshima kubwa, wanachama wa baraza la Sanhedrin (baraza kuu la wayahudi), lakini pia walikuwa wanafunzi wa Yesu kwa...
  13. The redemeer

    Wafahamu mitume 12 wa Yesu na jinsi walivyokufa

    Utangulizi Ni jumuiya ya wanafunzi wa Yesu waliofanyik limbuko katika kazi ya Kristo Ulimwenguni ambao waliokubali kuacha vyo wakajitoa dhabihu kukaa hekaluni huku mwjuku na familia zao zkitwketea kwa kukosa usimamizi na mapenzi wala huduma za msingi toka waanzilishi wa familia husika. Yesu...
  14. T

    Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

    Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu. 2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee 3-Mohamed Kajole aka Machela 4-Athman Juma. 5-Omar...
  15. Erythrocyte

    Wafahamu Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi ya Tanzania. Tunaanza na Ramadhan Omari Mapuri

    Mzee Ramadhan Omari Mapuri amehudumu kama kiongozi Mwandamizi kwenye serikali na kwenye Chama cha Mapinduzi, Mapuri ni mwanaccm Mtiifu mwenye kadi hai ya uanachama.(Namba yake kadi tutaiweka hapa) Huyu ni Mjumbe wa kinachoitwa Tume Huru ya Uchaguzi na ni Mzanzibar.wa Kuzaliwa. Wasifu wake...
  16. Dalton elijah

    Wafahamu IFFHS Kwa Mapana Zaidi

    IFFHS ni shirikisho la Historia na Takwimu Kwenye mpira wa miguu ambapo Kwa kirefu ni International Federation of Football History and Statistics, Shirikisho hili lilianzishwa Mwaka 1984 na Alfredo Pohe huko Leipzig nchini Ujerumani. Shirikisho hili limekuwa likijihusisha na upangaji wa timu...
  17. L

    Wafahamu kwa Majina Makamu Wenyeviti Tangia Kuasisiwa Kwa CCM 1977. Ujue Kwanini Ameteuliwa Mzee Stephen Wasira na wote wamezaliwa kabla ya Uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5. Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu. Ni...
  18. MSONGA The Consultant

    Wafahamu Wafadhili Wakubwa Wa Mashirika ya Hisani Na Sifa Zao (Major Gift Donors and Their Traits)

    Wafadhili wakubwa yaani “Major Gift Donors” ni watu ambao wanatoa kiasi kikubwa cha ufadhili kwa shirika, ili kuliwezesha shirika kutekeleza programu na miradi yake kikamilifu. Tafsiri ya mfadhili mkubwa inatofautiana kutoka shirika moja na jingine, kimsingi hakuna kiwango maalum kinachoonyesha...
  19. C

    Wafahamu Marais Wastaafu wa Zanzibar (walio hai)

    1. Amani Abeid Karume (Kiongozi wa Waangalizi wa SADC katika Uchaguzi Mkuu wa Msumbiji 2024), 2. Salmin Amour 'Komandoo' 3. Dr. Mohamed Shein.
  20. U

    Wafahamu kwa majina na picha Viongozi wakuu wa magaidi wa Hamas waliopo hai sasa, wamenusurika mara kadhaa kuuawa. Unatoa ushauri upi kwa MOSSAD

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024 Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
Back
Top Bottom