wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Orodha kamili ya wachezaji wa kigeni wa Klabu ya Yanga

    Wadau hamjamboni nyote? Orodha kamili ya wachezaji wakigeni wa Yanga Wachezaji wa kigeni katika klabu ya Yanga msimu 2024/2025 ◉ Djigui Diarra 🇲🇱 ◉ Yao Attohoula Kouassi 🇨🇮 ◉ Chadrack Issaka Boka 🇨🇩 ◉ Khalid Aucho 🇺🇬 ◉ Maxi Mpia Nzengeli 🇨🇩 ◉ Duke Deuces Abuya 🇰🇪 ◉ Pacome Peodoh Zouzoua 🇨🇮...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaotemwa Simba wanakimbiliwa vilabu vingine tena vikubwa Africa, huu mchezo wa kuwaroga wachezaji wa Simba lazima ufike mwisho msimu huu

    Benchika kocha wa zamani wa Simba ambaye kwa sasa anafundishi timu JS Kabylie ya Algeria amemjumuisha kikosini kiungo Sadio Kanoute ambaye Simba imeachana naye, iwe kwa kumaliza kandarasi au vip, sasa hivi Benchika amekimbilia kwa Babacar Sarr ambaye Simba imetemana naye kwa kutoridhishwa na...
  3. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Kikongo siyo waaminifu. Je, Baleke aliihujumu Simba?

    Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wachezaji wa Kike (Chini ya miaka 25) wa Mpira wa Miguu Wanaochezea Timu ya Nje

    1. Jina: Clara Luvanga Miaka: 19 Timu: Alnassr FC- Saudi Arabia Nafasi: Mshambuliaji 2. Jina: Opah Clement Miaka: 23 Timu: Besiktas- Uturuki Nafasi: Mshambuliaji 3. Jina: Aisha Masaka Miaka: 21 Timu: BK Häcken- Uswidi Nafasi: Mshambuliaji, Winger
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba hakuna usajili ni kurundika wachezaji tu.

    1. MUKWALA- ametoka Asante Kontoko Imeshika namba 6 ligi ya Ghana. 2. AHOUA Ametoka Stella Adjame Imeshika namba 6 ligi ya Ivory coast 3. AUGUSTINE. Ametoka Rivers united ya Nigeria Imeshika Namba 8 4. JOSHUA MUTALE. Ametoka powe Dynamo ya Zambia nafasi ya 6 5. VALENTINO MASHAKA katika...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

    Ukitaka kuona vituko basi njoo kwenye club ya simba dirisha hili la usajili wanasajili wachezaji na kuacha bila kuwa na kocha mkuu unajiuliza mwekezaji wa simba mo dewji ana akili kweli Makosa yaleyale ya misimu iliyopita wanayarudia na kipindi hiki akija kocha baada ya mda atawatupia lawama...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji karibu wote wa Yanga wana Offer mezani

    Mzee wangu yupo karibu sana na yanga, kitu watu awajui ni kwamba. First 11 ya yanga. wote wanaoffer mezani. so usishangae PACOME- Al ahly, Aziz - pirates, Bacca -AS Far, SA , max - SA , job - Europe, Yao - morocco , lomalisa - SA, Diarra - morocco, hadi Aucho ana offer mezani.. i suspect...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu hapa JamiiForums hawa Wachezaji hawatufai hivyo tuuombe Uongozi uachane nao upesi kwani ni Wabovu sana

    1. Khalid Aucho 2. Dickson Job 3. Ibrahim Baka 4. Djigui Diarra 5. Yao Kwasi 6. Aziz K 7. Pacome Zouzou Na sijui kwanini mpaka sasa bado hawajaachwa wakati Sisi wana Yanga SC wenyewe hatuwataki na tumewachoka.
  9. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Yanga tuachane na wachezaji wa Ghana kwa sasa ligi yetu imekua sana ...

    Wakuu. Nikiwa kama mwanayanga mbobevu ambapo ndugu zangu wote humu wananifahamu akiwemo comrade wa muda sana Tate Mkuu Binafsi natoa ushauri wa rais wetu Hersi . Ukichunguza kwa makini utagundua kuwa ligi yetu imekua sana ushindani na ubora kuliko ligi nyingi sana hasa za West Africa. ⛏️⛏️...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Nchi wanazotoka wachezaji, hulka na tabia zao ( zingatia haya kipindi cha usajili)

    1. GHANA Kuna wachezaji wana vipaji vikubwa lakini ni wapenda starehe na wavivu mno. Ukimsajili Mghana tegemea utendaji kazi wa hovyo, kusumbuka makocha na Kambi ya team. Ni wazuri kwenye kuingia mikataba ili wakusumbue uvunje mkataba wapige hela waende zao. Mfano: Morison, Okrah, Asamoh, Afiz...
  11. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania TFF iwafungie wachezaji wa Tabora Fc kujihusisha na soka ngumi haziruhusiwi uwanjani

    Kama mlimfungia yule kocha wa makipa wa Mashujaa Fc aliyemtandika ngumi mchezaji wa mbeya city Basi wafungieni na hawa wahuni wa Tabora Fc waliotaka kumpiga refa kwa kurusha ngumi, Hii timu tangu msimu unaanza mechi ya kwanza iliingiza wachezaji 8 uwanjani Hii timu ipigeni kufuri haitakiwi...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Nitasajili Wachezaji bila kutegemea hela za MO

    ... 🚨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗦𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗠𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘𝗪𝗘 "Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.” ©️ Murtza Mangungu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu wenye uwezo wa kumdhibiti Aziz Ki uwanjani bila wasiwasi

    Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana lakini akipata watu haonekani, ni mchezaji ambaye ukimwekea watu wenye kazi ya kukaba, humuoni, atabaki kulalamika tu kuwa anachezewa rafu. Wachezaji watatu niliowashuhudia wakihangaika na Aziz Ki na akashindwa kabisa kufurukuta kwao ni kama ifuatavyo. 1. Kevin...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachezaji wa mpira wa miguu katika vilabu vikubwa wanalipwa mishahara midogo?

    Nimeona kwenye clip ikitaja mishahara ya wachezaji wa Klabu ya Yanga na kuja kugundua kuwa wachezaji wazawa ukiwalinganisha na wachezaji wa nchi za kigeni wanalipwa mishahara midogo sana. Kuna wachezaji wazawa ambao ndiyo tegemeo la klabu wanalipwa wastani wa T.shs. millioni tano kwa mwezi...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Simba hii, haihitaji kukumbatia wachezaji hata kama tunajua ana uwezo wa juu

    Tumeshuhudia msimu uliokuwa na wachezaji wasio na ari kabisa ya mafanikio.Wachezaji tunaowajua kwa uwezo wao waliweza kutushangaza kila wabapoingia uwanjani kwani ilikuwa nadra kutoruhusu bao. Walionekana wanacheza kwa uchovu sana kitu ambacho naamini ni lugha ya kinya ya kusema mimechoka...
  16. V

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kocha wa Taifa Star inawafanya wachezaji wengi kukataa kujiunga nayo

    Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani Na anachuki na wachezaji fulani Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira Ila huyu kocha anabagua wachezaji Tunaomba chama cha Fat...
  17. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Je, Makocha wa timu za vijana ni matapeli au ni wachezaji wetu wagumu kuelewa?

    Wakuu jana nilipata fursa ya kuangalia mashindano ya under 20 kwa timu za ligi kuu kati ya azam na dodoma jiji. Kiukweli nilichokiona kilinisikitisha sana. Wachezaji wa under 20 kwa kawaida ungetegemea wawe na viwango kuonyesha wapo tayari kiuchezaji kutokana na umri wao. Lakini huwezi kuamini...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Miaka 27 ya MV Bukoba. Leo wachezaji wakae kimya kwa dakika moja kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu wa MV Bukoba.

    Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja. Leo imetimia miaka 28 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji hawa wa Ihefu wanastahili kuchezea Simba bila maswali

    Maroun Tchakei ni mahali pake kabisa kukipiga Simba msimu ujao, jamaa anajua kupiga krosi, anajua kumiliki mpira, ana nguvu, anapiga kona hatari mno na anajua kusambaza pasi za upendo, nikionaga Ihefu wanacheza huwa kazi yangu ni kumcheki Tchakei tu roho yangu inaburudika sana, huwa najiuliza...
Back
Top Bottom