PRINCE DUBE ametoka ameshindwa kumaliza mechi dhidi ya TRA inaonekana amepata majeraha, inasubiriwa ripoti ya Madaktari kuona ukubwa wa majeraha yake na kwa hoja hiyo Emmanuel Mwanengo ndie Striker Kinara kwasasa.
Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich.
Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao.
Tuzo hiyo...
Wachezaji wawili wa Equatorial Guinea wamefungiwa kwa kuwatusi waamuzi katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku nahodha wa Burkina Faso, Bertrand Traore, akitozwa faini kutokana na kauli zake baada ya mechi, mashirikisho ya soka ya nchi husika yalisema Jumatano.
Nahodha wa...
Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
Binafsi ni mpenzi wa football
Jana nimefuatilia mechi ya Stars na Nigeria
Ilikuwa kama mashindano ya shule Kwamba ni mechi ya Form 1 vs Form 6
Nimeona Taifa stars wana vipaji ila ni kama hawana lishe yaani mbegu mbaya
Nadhani serikali iangazie lishe za watoto wakiwa wadogo ili kujenga miili...
Mshambuliaji wa Simba Sports Club, Jonathan Sowah amefungiwa michezo 5 pamoja na faini ya milioni moja (1,000,000/=)
Alassane Kante pia amefungiwa michezo 5 na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Sowah na Alassane walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu dhidi ya Azam FC.
Nae Kiungo Khalid Aucho...
Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool.
Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool.
Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
I salute you kinsmen
Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao.
Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa
1️⃣Balla mussa Conte
2️⃣Lassine kouma
Hawa jamaa inasemekana...
Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka
TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao:
1.
Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana.
Mama: Fayza Lamari, alikuwa mchezaji wa mpira wa mikono (handball).
Kylian Mbappé ameonyesha talanta...
Sio kwamba wanacheza chini ya kiwango, uwezo wanao lakini malengo yao yapo kwenye kulinda namba zao timu zao za ulaya, huko ndiko yaliko maisha yao waliyoyawekea matumaini.
Kijana wa kitanania kapambana sana hadi katoboa kufika Ulaya halafu umwite Taifa Stars ? hauwezi kuwa serious utegemee...
Hahahaaaa ukistaajabu ya polepolee utafurahia ya mangungu
mwenyekiti wa Simba ameibuka na kusema hawahusiki kabisa na swala la kuvuja jezi
kama viongozi walifanya sehemuyaoo na kama kuna ivujujaji wa jezi vasi waulizwe wengine nasio viongozi wa Simba
swali la 1
Unasema kama kuna uvujaji...
Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa kiarabu.
Msimu ukianza tusisikie
'GSM ANAHARIBU LIGI'
TUTAKUWEPO
WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS
UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI
JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO
IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA SIMBA
VINGINEVYO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA. NA PESA WALIZOTOA ADV HAZITORUDI
KIDUMU CHAMA CHETU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.