Ameandika ndugu mmoja muathirika wa udikteta wa Belarus kuwa, Kwa miongo kadhaa nchini Belarus, kulikuwa na kauli ya kwamba: “Usiguse mamlaka — na mamlaka haitagusa biashara yako.” Lakini baada ya mwaka 2020, maelfu ya wajasiriamali waligundua kuwa hali ya kutokujihusisha kisiasa haipo tena...