wabongo

Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

    Nature tu wabongo waoga sana . Wengi tunajua hili. Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize. Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano...
  2. JamiiForums Tanzania Jiji la Mbeya: Hapa Wabongo tumechemka

    Tanzania miji yote ina ujenzi holela tu ila kwenye jiji la Mbeya tumechemka 😂😂😂 Actually sitaki kuonesha picha za ujenzi holela hapa Mbeya lakini ukiingia Google, search tu "Mbeya" halafu nenda kwenye images, utakachokiona ndio Mbeya iko hivyohivyo Hili suala linaniuma mno, kwa sababu hapa...
  3. JamiiForums Tanzania Wabongo mtuache kwanza

    Ila Wabongo nyoko zenu🙌🏾🙌🏾🙌🏾 yani sisi huku Mtoni hata cover hatujaziona… Nyie huko mnazo za 500k 😂😂😂
  4. JamiiForums Tanzania Hivi unafanyaje minadi na watu kama wabongo🤣🤣, mwenyekiti yeye akitoka akafanye mambo yake na akale upepo wa bahari kuuguza majeraha yake.

    Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wabongo ni watu wakutishwa zaidi na vitu vya kufikirika kuliko vitu halisia vinavyo wazunguka

    Kila mara naona nyuzi za watu kuuliza kuhusu ndoto walizoota, wengine wakihaha na kuogopa kile ubongo wao ilicho kitengeneza usiku wakati wamelala (kitu ambacho ni cha kawaida) ila mtu huyu huyu yuko radhi aende apige demu kavu kavu bila kujua kama ana STI ya aina yoyote ile, anampima demu kwa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Gereji za kichina janja janja sana, gari ukiipeleka wanaifowadi gereji bubu au kuita mafundi wa huko, wanachoweza na usimamizi na spare nyingi.

    Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa. Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Nguvu ya mtandaoni ya #NRNE ni ya Soda tujikumbushe vilivyotamba na kubuma bila mafanikio

    Mzuka Wana Jamvi.. Huu ni mwendelezo wa spana kwa Keyboard Warriors na wanaharakati uchwara wote Jf ndani na nje ya nchi. Naanza kuflow sasa ; naona Kuna watu wameanza kujipa matumani baada ya kuona mitandaoni sasa Insta na kwengineko kwenye comments session #NoReformNoElection inatamba sana...
  9. JamiiForums Tanzania Wabongo wanapenda kukusakizia uwapiganie haki zao. Yakikukuta wanakuacha! Ukisusa wanakulalamikia kwa Jambo ambalo ni wajibu wao kujipigania wenyewe!

    Mpo Salama! Kwa kweli inaumiza Sana! Nitakuwa mkweli na mwaminifu. Nitatenda haki kwa pande zote. Nimefuatilia kwa kipindi kirefu sasa. Nimegundua Wabongo wengi wanatabia mbaya Sana. Kwanza, wanapenda kufanyiwa mambo ambayo ni wajibu wao kuyafanya. Niliwapa stori iliyonitokea mwaka 2018...
  10. JamiiForums Tanzania Wabongo ni wavumilivu sana au wanaridhika kwa hali duni na vitu vidogo tu?

  11. JamiiForums Tanzania Ipi ni bidhaa yenye thamani zaidi: PESA au MUDA?

    Pesa ina kupa security na guarantee ya kuvuka mipaka mingi sana. Muda unakupa nafasi na fursa zaidi na zaidi. KARIBUNI.
  12. JamiiForums Tanzania PICHA: Jerry Silaa alivyopigwa busu na mkewe kabla ya kuwasilisha hutuba ya bajeti ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
  13. JamiiForums Tanzania Ila wabongo, yani mtu kaleta topic ya kusikitika akikumbuka maisha ya jela, ila haya ndio maswali ya kwanza wanamuuliza 🤣

    Post: Comments:
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa wabongo wengi hawasikilizi ili waelewe, bali wanasikiliza ili wajibu?

    Changamoto nyingi za maisha zina sababishwa na tone (namna ya kuongea) Sio maneno tunayosema yenye umuhimu mkubwa, bali ni jinsi tunavyo yasema. Badilisha tu namna unavyosema, utaona mabadiliko katika maisha yako ebu nitowe mfano moja: Afisa wa jeshi la Polisi alikuwa akizungumza na mkulima...
  15. JamiiForums Tanzania Hii Tabia ya Watanzania kujishangaa inamaana gani?

    Ukiacha Tabia ya kulaumu bila kutafuta suluhisho. Tena lawama zinazonyonya nguvu ya kiutendaji Kuna Tabia ya kujishangaa. Utasikia, hivi sisi watanzania nani aliyeturoga? Kwa nini sisi ni wajinga hivi? Hii nchi ngumu sana? Tatizo letu watanzania ni wapole sana!!! n.k. Matukio kama matatu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimefanya kazi na wahindi wiki moja hawa jamaa wanapenda kupelekesha wabongo asee

    Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo, Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na hali gani mentally Nahisi ukiwafanyia vipimo utakuta Wana magonjwa ya moyo au pressure maana sio kwa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuja mjini (Dar) jiji lilikukaribisha kwa style gani ukikumbuka kwa jinsi ulivyokuwa mshamba unakufa mbavu?

    Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada. Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
  18. JamiiForums Tanzania Wabongo mnaoshi ulaya acheni sifa za kijinga

    Wabongo mnaoishi ulaya acheni sifa za kijinga . Mkipata wekezeni Hizo hela mnatuma huku kwa ndugu zenu wanakunywa mapombe kuhonga then mkifia huko majuu maiti zenu zinashindwa kusafirishwa Watoto wenu mnawaacha katika umasikini. Mkizeeka pia mnatia aibu. Kuna mmoja ameona amefia huko majuu...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wabongo wengi wana ujinga mwingi?

    Hili suala sijui ni kwanini yani asilimia kubwa ya wabongo ujinga wana upuuzi since enzi za Nyerere mpaka Karne hii ujinga haujaisha!
  20. JamiiForums Tanzania Wabongo tupunguze kuweka mafaida makubwa katika bidhaa tunazouza

    Jana kuna sehemu nimeenda, nikakuta ndala zile kandambili za 2000 zinauzwa 5000, kuuliza haipungui nkaambiwa haipungui alafu muuzaji akaendelea kujisnap. Kuna maduka ukienda, bidhaa ambayo kariakoo kwa mchina unaipata labda kwa 5000 huko unaikuta 10,000 haswa maduka ya sinza. Unaenda lodge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…