wabongo

Wabongo is a village in the Lobaye region in the Central African Republic southwest of the capital, Bangui and near the border with the Democratic Republic of the Congo.
Nearby towns and villages include Babassoua (2.2 nm), Bogboua (2.0 nm), Bohomandji (1.0 nm) and Bokanga (1.4 nm)
.

View More On Wikipedia.org
  1. nzalendo

    Wabongo tunasumbuliwa na roho fulani

    Naam hii ni aina ya roho chafu. Nitajaribu kutoa mifano kidogo
  2. ELI COHEN

    Kuna wakati wabongo walitaka kutuaminisha na hii kauli "hata hao wazungu wana uchawi wao"

    Acha uvivu, acha ushirikina. Mbinu zinazoonekana na halisia ndio hutatua matatizo au changamoto. Wekeza katika fikra halisia na sio za kufikirika. Biashara ni mtaji sio kuchinja kuku. Kupanda cheo ni bidii au kupendelewa sio kuchinja mbuzi. Hakuna cha nyota kuchukuliwa wala sijui kufifia...
  3. Davidmmarista

    Programmers wabongo tukutane hapa tubadilishane mawazo.

    Hello programmers, Tujuane kwa: • Skills zetu • Tech stack • Years of experience • Fursa zilizopo hasa hapa bongo. 🫴🫴Uwanja ni wetu.
  4. M

    Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

    Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia...
  5. N

    Wabongo hili la tamaa na wizi halitujengi, linatuchafua

    Binafsi ni mtumishi wa serikali, katika kupambana na kujiongeza nilijaaliwa kuwa na mashine ya kukoboa na kusaga nafaka kwa sababu ya muda kuwa limited ikanibidi kuwa na mtu wa kuendesha mradi huu awali nilisimamia mwenyewe kwa takribani siku 18 baada ya kuwa likizo sasa siku za likizo zilipo...
  6. Lycaon pictus

    Kwanini wabongo hawaweki wazi bei ya bidhaa zao mitandaoni?

    Nimeona huku Twitter watu wanalalamika. Hili pia nimeliona sana mtandaoni. Shida nini?
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Wabongo wengi ukiwasaidia wanaamini kuna kitu unapata. Hivyo usimsaidie MTU burebure

    WABONGO WENGI UKIWASAIDIA WANAAMINI KUNA KITU UNAPATA. HIVYO USIMSAIDIA MTU BUREBURE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Wabongo wengi wanaamini huwezi kuwasaidia burebure. 2. Wanaamini wanastahili uwasaidie kwani nawe unakitu utapata unapowasaidia. 3. Kwamba wewe ndio unashida kuliko...
  8. Hance Mtanashati

    Wabongo wengi hawana mikazo, wameshaanza kuwashobokea tena wasanii licha ya kudhihakiwa

    Nimesikitika kuona wabongo wanajirudi tena kwa wasanii kama mazezeta. Idadi ya followers kwa wasanii inaanza kurudi kwa kasi kama hapo awali. Mfano huyu diamond nyodo anawaletea na bado kuna majinga yamejirudisha kum follow upya . Marioo juzi kabla hajatoa wimbo wake alitema shiti za...
  9. M

    Wabongo bado sana kwenye biashara ya usafirishaji na uchukuzi

    Ninaunga mkono kwa 100% serikali kubinafsisha kwa wazungu, waarabu au hata wachina shughuli zote za usafirishaji na uchukuzi. Reli, bandari, mabasi na kwingine kote kunakohusiana WABINAFSISHE. Sisi wazawa hatuwezi hizo kazi. Ufanisi mdogo sana. Nimeandika baada ya kushindwa kuvumilia...
  10. Kijakazi

    Logic hii, wabongo hawaielewi kabisa!

    huyo alikuwa ni body builder world champion (rip) akimuomba mpenzi wake akubali kuolewa naye, kwa mbongo haingiii akilini kabisa, hawaipati hiyo logic, kwa maana bongo mwenye miguvu anapiga wa chini, mwenye nguvu ndiyo anakula na ndiye anayeishi kama porini ... Ricardo nolasco dos santos (rip)
  11. Alex khalifa

    Wabongo nimewakosea sana. Naomba radhi kwa kupiga magoti mbele yenu

    Katika harakati za uchaguzi nilikua mwana CCM damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia. Nilileta Uzi, rejea Uzi wa tumuache Samia amalize muda wake, ukiisha ataondoka. Lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine. Sikufahamu kesho yangu na yetu. Nilipiga kura na kuondoka zangu...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Ila Mange Kimambi amewaona Wabongo kama hamnazo kichwani

    Nature tu wabongo waoga sana . Wengi tunajua hili. Wasingeweza kuandamana ile October 29, 30 na 31. Ila MANGE akawadanganya kuwa jeshi liko tayari kupoka utawala toka mkononi mwa CCM. Ni wananchi tu waanze jeshi limalize. Siku ya tatu baada ya vijana kufa akasema jeshi liko kwenye majadiliano...
  13. Traxtion

    Jiji la Mbeya: Hapa Wabongo tumechemka

    Tanzania miji yote ina ujenzi holela tu ila kwenye jiji la Mbeya tumechemka 😂😂😂 Actually sitaki kuonesha picha za ujenzi holela hapa Mbeya lakini ukiingia Google, search tu "Mbeya" halafu nenda kwenye images, utakachokiona ndio Mbeya iko hivyohivyo Hili suala linaniuma mno, kwa sababu hapa...
  14. Fascinating

    Wabongo mtuache kwanza

    Ila Wabongo nyoko zenu🙌🏾🙌🏾🙌🏾 yani sisi huku Mtoni hata cover hatujaziona… Nyie huko mnazo za 500k 😂😂😂
  15. ELI COHEN

    Hivi unafanyaje minadi na watu kama wabongo🤣🤣, mwenyekiti yeye akitoka akafanye mambo yake na akale upepo wa bahari kuuguza majeraha yake.

    Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
  16. ELI COHEN

    Kwanini wabongo ni watu wakutishwa zaidi na vitu vya kufikirika kuliko vitu halisia vinavyo wazunguka

    Kila mara naona nyuzi za watu kuuliza kuhusu ndoto walizoota, wengine wakihaha na kuogopa kile ubongo wao ilicho kitengeneza usiku wakati wamelala (kitu ambacho ni cha kawaida) ila mtu huyu huyu yuko radhi aende apige demu kavu kavu bila kujua kama ana STI ya aina yoyote ile, anampima demu kwa...
  17. W

    Gereji za kichina janja janja sana, gari ukiipeleka wanaifowadi gereji bubu au kuita mafundi wa huko, wanachoweza na usimamizi na spare nyingi.

    Watu wengi wamekuwa wakiamini ukipeleka gari kwa mhina ni yeye anatengeneza lakini kinachoendelea nyuma ya pazia hali nitofauri kabisa. Gari ukiipeleka kwa mchina, ataikagua kagua ukiwepo, utapewa bili, n.k. mida ya usiku gari inavutwa kupelekwa gereji bubu au watamwita fundi wa gereji bubu...
  18. B

    Wabongo bana! Hivi kwani kutahiri watoto wako lazima uwapeleke kwa Daktari Juma, Kariakoo? Ona kilichomkuta huyu jamaa

    Alikuwa amekaririshwa kwamba kutahiri watoto wake lazima aende kwa Dokta Juma Kariakoo. Anaishi Chanika na hana gari binafsi. Tukamshauri mpeleke pale nguvu kazi hospital tafuta Dokta anae fanya tohara msimamie am tahiri mwanao akasema lazima awapeleke kwa Dokta Juma. Picha Linaanza simu ya...
  19. Ghayo El Yehudi

    Nguvu ya mtandaoni ya #NRNE ni ya Soda tujikumbushe vilivyotamba na kubuma bila mafanikio

    Mzuka Wana Jamvi.. Huu ni mwendelezo wa spana kwa Keyboard Warriors na wanaharakati uchwara wote Jf ndani na nje ya nchi. Naanza kuflow sasa ; naona Kuna watu wameanza kujipa matumani baada ya kuona mitandaoni sasa Insta na kwengineko kwenye comments session #NoReformNoElection inatamba sana...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Wabongo wanapenda kukusakizia uwapiganie haki zao. Yakikukuta wanakuacha! Ukisusa wanakulalamikia kwa Jambo ambalo ni wajibu wao kujipigania wenyewe!

    Mpo Salama! Kwa kweli inaumiza Sana! Nitakuwa mkweli na mwaminifu. Nitatenda haki kwa pande zote. Nimefuatilia kwa kipindi kirefu sasa. Nimegundua Wabongo wengi wanatabia mbaya Sana. Kwanza, wanapenda kufanyiwa mambo ambayo ni wajibu wao kuyafanya. Niliwapa stori iliyonitokea mwaka 2018...
Back
Top Bottom