Mzee huyu Kwa kutanguliza mbele tumbo lake ameliharibu taifa. Kikwete amekuwa election observer katika nchi mbalimbali za Afrika, aliona chaguzi zenye staha kama uchaguzi wa Kenya, na Ghana.
Kikwete alinukuliwa live anasema uchaguzi wa Kenya ni huru na Haki Kwa Hali ya juu.
Uku kwetu bila aibu...
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wamesema kwamba uadilifu wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29 uliathiriwa, wakitaja matukio ya kujazwa kwa kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura.
Ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa umoja huo ulisema hapo jana waangalizi wake walishuhudia...
TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
afrika
afrika mashariki
amri
huduma
huduma za intaneti
intaneti
kurejesha
kutotoka nje
mashariki
mtandao
nje
serikali
serikali ya tanzania
tanzania
uchaguzi
waangalizi
Elections in Tanzania were neither free nor fair
October 30, 2025
In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights.
“As Tanzanians went to the polls today, the...
Tunaawalika Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa toka popote Duniani waje kushuhudia Chama Chenye Sera ya Kula Misosi (CHAUMMA) wakishindwa kihalali. Karne ya 21 unapiga kampeni ya Kula ubwabwa. cCM wakishinda unalia lia.
Lucas Mwashambwa
Tlaatlaah
ChoiceVariable
Pascal Mayalla
Mkaguzi kata ya Ngara Mjini Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Olipa Chitongo amewaomba wananchi kutambua kuwa Jukum la ulinzi wa Watoto ni la watu wote huku akiwataka wananchi wa kata hiyo kuwajibika kwa pamoja na kushirikiana na Jeshi la Polisi katani hapo katika ulinzi wa watoto.
Mkaguzi huyo...
Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura.
EU EOM imeongeza kuwa kulikuwa na ukamataji wa kutumia nguvu wa Waangalizi 39 wa Mashirika ya Kiraia ambao...
Kundi la Majaji na Wanasheria mashuhuri ambao ni wanachama wa Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika limewasili nchini Kenya kwa ajili ya kuangalia na kisha kutoa taarifa ya mchakato wa kesi ya Pingamizi la Urais katika Mahakama Kuu.
Ujumbe huo unaongozwa na Mohammed Chande Othman, Jaji Mkuu...
12 Agosti 2022
Vyombo vya kimataifa vilivyoalikwa na IEBC kuwa waangalizi wa mchakato mzima wa uchaguzi Kenya 2022, vimetoa pongezi kwa jinsi mchakato mzima kuwa kuelekea uchaguzi na zoezi la upigaji kura, utangazaji matokeo pia vyombo vya ulinzi na usalama kutekeleza wajibu wao bila...
Ukitoa waangalizi wa EU na Marekani, hawa wengine huwa ni wanafuata posho kwenye chaguzi wanazo enda kuwa watazamaji, sijawahi ona report zao, na EAC mfano hata kule Uganda uchaguzi ulivurugwa hawajahi onyesha kusikitishwa achilia mbali Tanzania.
SADC kule Zimbabwe awe kati wa Mugabe report zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.