Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya
Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema!
Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...