waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

    Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua. Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana...
  2. Waafrika kushindwa na wakoloni na kugeuzwa wakristo na waislam inasababishwa na weak civilization? Tumsikilize former Singapore PM Lee

    Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo. Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo. Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu...
  3. Waafrika tunaupenda umasikini na kuona ni ufahari. Ubinafsi unatuangamiza

    Waafrika sisi watu watu weusi neno umasikini kwetu ni neno la faraja na utajiri ni chukizo masikioni mwetu. Je, ni wazazi wangapi au familia ngapi za watu weusi zinafanya hivi? ⏬ Au ndio tuna andaa tabaka la kimasikini katika jamii yetu kila siku? lukesam JF-Expert Member "Hatuwezi kuwa...
  4. Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba: 1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii. 2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii. Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo...
  5. Waafrika mnaibiana wenyewe. Huu ni ukweli. Wanasiasa wanafilisi nchi zao

    Siasa za weusi ni nyeusi tii Kwa mfano nauli mpya mwananchi anaunafuu gani. Wanasiasa wanamiliki magari nauli kupanda mbunge anabariki tu. Huku akionheza madaladala. Ni nani anasimama kumtetea maskini
  6. Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Dini imebakizwa kwajili yetu waafrika yafaa viongozi wake wawe waafrika. Huko kwa wazungu wengi wamezikimbia dini, kanisani kwenda huwa ni wazee, hata rais anaenda mara moja moja matukio maalum sio kama huku Afrika karibu kila mwezi lazima rais aende, vijana nao utawakuta na biblia mikononi...
  7. R

    Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Msimu wa mafua: Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu? =========== A cold is a...
  8. Ni rahisi kuwaambia waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na wakakubali ila huwezi waambia wachina hivyo wakakuelewa

    Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao. Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna...
  9. S

    Je, Waafrika ni watu weusi watupu? Au tunapotoshwa na wazungu?

    Tuseme Wasomali wanajitambua ,maana hawakubali kuitwa Waafrika ,na hujitambulisha kama ni msomali na anatoka Somalia. Hata waZanzibari wanakwambia ni wa Zanzibari na wanatokea Zanzibar hawajitambulishi wala baadhi ya wakati hawakubali kuitwa waafrika. Na kuna nchi viongozi wake huwasikii...
  10. Mbona orodha ya matajiri Tanzania, Kenya, Uganda wengi ni Waarabu na Wahindi na si waafrika weusi?

    Ukiangia orodha ya watu matajiri Nchini Kenya na Tanzania utakuta Wahindi na Waarabu ndio wanaongoza kwa mali na utajiri Cheki orodha ya watu matajiri nchini Kenya hapo chini. Tizama pia list ya matajiri kutoka Tanzania. Na hapo kwenye list ya Tanzania ni kwa bahati mbaya tu Reginald Mengi...
  11. Waafrika ni muda sasa wa kurudia kuabudu Mizimu yetu

    Rejea kichwa cha habari tajwa hapo juu. Dini ndio chanzo cha matatizo mengi Duniani. Katika Dunia ya leo raia wanakosa ushirkiano tu kwa sababu wanatofautiana Kidini, Mkristo anambagua Muislamu na Muislamu anambagua Mkristo. Na ubaguzi wa kidini hauzungumzwi sana ila kiukweli ndio unaotendeka...
  12. Baada ya Kugundua Udhaifu wetu ipo Siku Wazungu, Waeshia na Waarabu watatuzawadia Digrii za Heshima za 'Ujuha Uliotukuka' Waafrika

    Na cha Kushangaza Viongozi wao (wa Mataifa ya Wazungu, Waeshia na Waarabu) hawana hata muda wa Kuwazia kupokea Tuzo za Vidigrii vya Kipuuzi Kipuuzi bali wako busy kupambania Maendeleo ya Mataifa yao, ila wa huku Kwetu Afrika (ukiwaondoa wenye Akili Kubwa Museveni na Kagame ambao GENTAMYCINE...
  13. CGTN documentary ni channel bora kabisa kwa nchi za kiafrika na kwa waafrika

    Tukitaka kuzungumzia channel bora yenye vipindi bora kwangu mimi nitaiitaja hii channel ya CGTN DOCUMENTARY. Hii channel ya wachina waliupiga mwingi sana, ni channel bora kwa vipindi vya kufundisha na kuelimisha. Hii ni channel inayopaswa kupigiwa macho sana na waafrika wengi kadiri tuwezavyo...
  14. Mauaji ya kimbari Sudan, weusi wasio na asili ya Kiarabu wasakwa na kuchinjwa

    Haya mauaji yamejirudia kama yalivyokua 2003, ambapo wapiganaji wa Kiarabu huzunguka mlango kwa mlango na kuchinja mweusi yeyote asiye na asili ya Kiarabu.... ======================== The governor of Darfur on Tuesday called for an international investigation into violence against residents of...
  15. Kabla ya Ukristo na Uislam, waafrika walikuwa wanaabuduje??

    Kabla ya kuja Kwa Ukristo na hatimaye Uislamu Afrika, watu wa Afrika walikuwa wanaabuduje? Jee na wao walikuwa wana siku, wiki, mwezi na mwaka Kwa mfumo huu uliopo Sasa au ilikuwaje? Walimini Kuna dhambi? Au kwao dhana ya dhambi haikuwepo?? Mtu akizaliwa ama kufa walikuwa anatafsirije. Akifa...
  16. Guinea yasema mbele ya UN kuwa waafrika hawana shida na demokrasia ya Kimgagharibi

    Kiongozi wa kijeshi wa Guinea,Mamady Doumbouya hapo jana alipokuwa akihutubia baraza kuu la umoja wa mataifa UNGA kuwa mfumoj wa demokrasia haufanyi kazi kwa nchi za kiafrika. Katika hotuba yake hiyo alisema nchi hizo ziache kuzilazimisha nchi za kiafrika kufuata mifumo yao ya kiutawala...
  17. Watch: Waafrika wakivamia Ulaya kwa nguvu!

    wakati watanzania wakifurumushwa ngorongoro kwenye ardhi yao huku raisi wa tanzania akigawa mamilioni ya fedha za walipa kodi bure kwa timu za mpira badala ya kutumia fedha kutatua matatizo ya watu huko kwingine afrika hali ni ile ile vijana wa kiafrika waislamu, wakristo waarabu na machotara na...
  18. Morocco walianza kusema Wao siyo Waafrika Wenzetu, Leo wana Janga Kubwa wanachagua wa Kuwasaidia

    Nchi ya Morocco ambayo hivi sasa imekumbwa na Janga Kubwa la Tetemeko la Ardhi imesema ni nchi Nne tu ndizo wameruhusu Wawasaidie ambazo ni Hispania, Uingereza, Qatar na UAE. Kuna Taifa moja Barani Afrika ( nimelisahau Jina ) lenyewe Uturuki ilipopatwa na Janga kama hili la Morocco ilikuwa na...
  19. Kwa Upuuzi huu wa Waafrika, kwanini tusidharaulike tu na Wazungu miaka yote?

    75% ya Nishati ya Umeme uliopo nchini Ufaransa unatokana na Madini ya Uranium yaliyoko nchini Niger. Na Kihistoria nchi ya Niger imeingia Mkataba wa muda mrefu (kuanzia miaka 50 hadi 100) ya kuruhusu Madini yake ya Uranium yatumiwe na nchi ya Ufaransa tu huku Ufaransa ndiyo wakiwa Wapanga Bei...
  20. Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video. Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U. Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…