Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kaskazini, Andrew Temu, akizungumza wakati wa makabidhiano ya matundu 10 ya vyoo vya kisasa vilivyojengwa na Vodacom Tanzania Foundation katika Shule ya Msingi Mkata iliyopo wilayani Handeni mkoani Tanga. Ujenzi wa vyoo hivyo unalenga kutimiza...
Kampuni ya mabasi Shabbiy Bus imefanya maboresho ya vyoo katika Kituo Kikuu cha Upakiaji Abiria jijini Dodoma, ambavyo awali vilikuwa katika hali ya uchakavu, hatua inayolenga kuboresha mazingira na ustawi wa wasafiri.
Mbali na marekebisho hayo, kampuni hiyo inaendelea na ukarabati mkubwa wa...
Uongozi wa Jiji la Mbeya uangalie namna ya kufanya kuhusu Vyoo vilivyopo katika Soko jipya la Mbeya.
Sinki ni la bati na uchafu unabaki kwenye bati la pembeni. Kwa ufupi mazingira ni machafu.
Wahusika wanaangalia tu hela wanazowatoza watu kutumia lakini katika sula la usafi ni 0%.
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000)
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
Leo Februari 2, 2026, nikiwa katika harakati zangu, nilipita Stendi ya Daladala Mbezi Luis maarufu Mbezi Mwisho na kushuhudia ukarabati wa vyoo ukiendelea.
Awali, niliwahi kuona andiko hapa JF likieleza changamoto za miundombinu hiyo, hususan baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025...
Uongozi wa chuo kikuu cha dodoma tunaomba mfanyie kazi swala la miundombinu ya vyoo .
Matundu ya vyoo (sinks) zimeziba ukiingia chooni unachokutana nacho unaweza kutapika hii sio sawa kabsa .
Vyoo takriban floor zote vimeziba vichache tu ndio vinafanyakazi na idadi ya wanafunzi ni wengi ...
Nina uliza halotel wanamilikiwa na ccm au?
Tuna siku ya Saba uwezi weka Hela au ht kutoa Hela yaani wanahuduma za OVYO km vyoo vya HALIMASHAURI what's wrong with halotel in Tanzania?;
Soma Pia: Mnaoweka pesa HALOPESA kuweni makini
Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo.
Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
Hii ni Shule ya Muhamani Kigoma Vijijini, choo kimejaa na Wanafunzi wamerudishwa nyumbani, Madarasa hayo yanatumika na ni mabovu, Serikali isikie kilio chetu na itusaidie, tunahitaji msaada wa haraka sana.
Mchungaji ashangazwa na kitendo cha wasanii wa bongofleva na bongomovie kulundikana kwenye mikutano ya siasa,adai kwasasa wamekuwa sio vioo vya jamii tena bali ni vyoo vya jamii. Neno moja kwake
Soma pia: Kwa nini wasanii na masheikh ndio wamekuwa mstari wa mbele kujibu mashambulizi?
Katika maendeleo ya usafiri ambayo sijaona umuhimu wake ni bus zenye vyoo ndani na AC, nikipinda hizi bus hasa safari za mchana huwa nahisi hewa nzito sana ndani ya gari. Sijui kama kisayansi ni sahihi au inashauriwa kusafiri watu 50 masaa nane ndani ya Bus ambalo mmesongamana mkiwa mmefunga...
Moderator utanisaidia kuweka link ya ule uzi na jina la mleta uzi.
Kwenye uzi ule MwanaJF alionyesha hali mbali mbaya ya choo cha stand ya Mkoa pale Katumba, Sumbawanga. Na mimi pia nilichangia.
Uzi huu ni appreciation kwa Jamii africa, mleta uzi na watekelezaji. Hongera JF, Hongera Mwana JF...
Vyoo vya hii stendi jirani na kituo cha Polisi cha Simu 2000 ni vichafu sana.
Unapoingia tu unakutana na masinki yale ya wakati wa COVID-19 ya kunawia mikono yana maji machafu yaliyotuama humo ni kama yamekuwa hapo kama mwaka hivi hadi yameoza.
Ukitoka hapo unalipia lakini ukiingia ndani vyoo...
Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Hali ya usafi katika chuo hiki ni mbaya sana, hiyo...
Baada ya Mwananchi kupitia JamiiForums.com kueleza kushangazwa na hali ya uchafu ya vyoo vya Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda, kutokana na kujaa maji taka na hivyo kuweka rehani afya za watumiaji ambao wanaweza kupata magonjwa mbalimbali kama UTI, Mamlaka imetoaufafanuzi.
Kusoma hoja ya...
Leo Julai 16, 2025 nilikuwa nasafiri kutoka Mpanda kuelekea Sumbawanga, nikiwa Stendi Kuu ya Mabasi ya Mizengo Pinda nilienda msalani, jambo la kushangaza na kutisha nimekuta vyoo upande wa Wanaume sio tu vichafu bali vimejaa maji taka hadi juu.
Naziomba mamlaka hususani hasa Mkurugenzi wa...
Nimefika kwenye Vyoo vilivyopo kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi upande wa Wanaume mazingira yake siyo mazuri, sehemu za huduma ya haja ndogo yale ma-sink yameondolewa.
Wahusika wanaosimamia wanatoza Shilingi 300 kwa kila mtu anayeingia hapo lakini hali ndio kama hivyo unavyoiona, kwa ufupi...
Jaman wahusika waambiwe tunalitia aibu taifa vyoo vya terminal 3 tayari vinafanana na vya stendi ya zamani ya ubungo. Zile shimo za kutolea maji chini ziko wazi imagine wageni walikuwa wanasifu uwanja leo wanauponda kuta za terminal 3 tayari zimekwanguka hasa upande wanaowasiri wageni wa nje...
Muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma ni wa kusikitisha na unatia hofu kwa afya za Wanafunzi.
Vyoo hivyo ni vichafu kupita maelezo, kila tundu limejaa kinyesi na hali ya usafi ni duni, kwani harufu ni kali sana inayotoka kwenye...
Anonymous
Thread
afya
afya za wanafunzi
hatari
manispaa
msingi
ruvuma
shule
shule ya msingi
songea
vyoo
wanafunzi
Nimepita kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo Haraka maarufu kwa jina la Mwendokasi pale Kimara Mwisho, jana Mei 25, 2025 sehemu ya vyoo vya haja ndogo upande wa Wanaume hali niliyoikuta ni hii kama unavyojionea.
Kinachoshangaza ni kuwa hali hiyo imekuwepo kwa muda sasa, licha ya kuwa abiria ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.