vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kusambaa kwa picha na ujumbe wa kuhamasisha maandamano, vyombo vya dola havioni au wanaunga mkono kimya kimya?

    Kwa muda sasa, tumekuwa tukiona kwenye mitandao picha na ujumbe wa aina mbalimbali wa kuhamasisha maandamano na leo mpaka karibu kabisa na kituo kimoja cha Polisi kuna matangazo hayo ya kuhamasisha maandamano. Swali: Vyombo vya dola havioni haya matangazo au na wao wana jambo lao? Muda utasema.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 DOKEZO Responded Uchaguzi Mkuu wa 2025 na uadilifu wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Taswira ya Vyombo vya Habari Tanzania katika tangazo la TEC

    Chawa wakiitisha press kufanya mambo yao yanayoambatana na comedy mbovu au "wahuni" wakijibu Polepole unakuta mic 🎤 zimejaa mpaka zinaanguka kutoka mezani, katibu wa TEC anaongea kuna mic moja tu ya Jambo TV! Hata wakatoliki wenye viTV vyao vya mfukoni wako mashimoni kama panya wanaosubiria giza...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya CDF kuhongwa Uwaziri Mkuu, Wanajeshi wa Madagascar waungana Rasmi na Wananchi

    https://x.com/marxistJorge/status/1976999644975841453?s=19 "Watoto wetu wanahangaika sana , hayupo hapa Kuwaua wala kuwpaiga .Na sisi pia tunatipitia kile kile wanachopitia watoto wetu.Ni lazima tuwaunge Mkono " . TUSIKUBALI KUHADALIWA KWA PESA AU NAFASI ". Haya ni Maneno ya Hasira na Uchungu...
  5. JamiiForums Tanzania Kihongosi: Watu wengi kwa kuwa wamezaliwa wamekuta lami zipo, shule zipo hawajui taifa limetoka wapi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kudumisha mshikamano na kulinda umoja wa kitaifa kwa kuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama. Akizungumza leo Oktoba 05, 2025 katika ukumbi wa White House jijini...
  6. JamiiForums Tanzania Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama . familia hizo ni Mwinyi Samia Kikwete
  8. JamiiForums Tanzania Kuna walimu naona wanapiga vyombo sana hapa bar,vipi mambo tayari?

    Samahani naomba kuwauliza,hivi mshahara wa watumishi wa umma umetoka? Maana kuna walimu nawaona hapa bar ya jirani na kwangu wanapombeka sio poa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa Tuhuma

    Nafikiri itakuwa reference Kwa hawa wachunguzi Kuonyesha wanafuatilia kero Za wananchi. 1. Huyu aliyepiga simu kutishia kumpoteza Makurungenzi wa Jamii forum. Mimi Naona evidence zipo ni polisi tu Kuwa na nia ya dhati maana namba zote zimesajiliwa Kwa biometric. 2. Tuhuma wanazotaka Polepole...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo avitaka vyombo vya dola kutenda haki

    Mgombea urais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Gombo Samandito Gombo amevitaka vyombo vya dola Nchini kutenda haki kwa vyama vyote vya siasa kwakuwa vipo kwajili ya kuwahudumia watanzania wote. Kauli hiyo ameitoa kwenye mkutano wa hadhara iliofanyika Kata ya Mahembe Jimbo la Kigoma...
  11. JamiiForums Tanzania Audio: Magufuli akiviagiza Vyombo vya ulinzi kumchukulia hatua aliyelipwa mabilion ya pesa kuhusu sare za polisi

    GT Nikikaa nafikiria ulegelege wa vyombo vya ulinzi na usalama awamu hii mwili huwa unakufa ngazi kabisa. Jamani au na Wao wamejiunga na MACCM Kuiba rasilimali za nchi hii. Hapa Hayati Magufuli aliagiza Angela kizigha achukuliwe hatua lakini why siyo sasa na amerudishwa tena ooh nooo my country..
  12. JamiiForums Tanzania Kushindana na CCM, unakuwa unashindana na Serikali na vyombo vyake, usipotumia akili utaishia kuumizwa bure

    CCM sio Chama cha siasa Ila ni Serikali, hivyo kushindana na CCM unahitaji akili Sana . Na sio hivi kama wanavyofanya hawa vijana akina Lissu na wengineo. Binafsi watu ambao hawaulewi ukweli nawapa pole. Hata hapa JF tumejificha kwa I'd fake lengo ni kuikwepa Serikali.
  13. JamiiForums Tanzania Msingi wa uzalendo na uadilifu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania ni upi?

    Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA. Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania waleo hwafuatilii taarifa za habari kwenye tv au redio au kununua na kusoma magazeti. Unajua sababu;?

    Awamu hii naona vyombo vya habari kama vile magazeti redio na tv vinaandika na kutangaza habari ambazo zingepaswa kuandikwa au kutangazwa na vyombo vya habari vya serikali au Chama tawala. Vyote vimekuwa kama vipaza sauti au wasemaji wa serikali. Hata habari na vichwa vya habari kwenye...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kama watu wanaweza kutekwa na wasijulikane milele kwa idadi kubwa namna hii kuna haja gani ya kuwepo vyombo vya ulinzi nchini?mlinzi wa raia ni nani?

    Hatari sana hii na vyombo naona vimesha uzoea huu utaratibu kuwa ni wakawaida na mbaya zaid jamii nayo imesha ona ni kawaida si jambo la kuogopa tena , sasa nadhani labda huu mchezo uhamie kwa watoto wa vigogo na makada wa CCM na familia zao huenda tutapata jibu
  16. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania tusivilaumu, vinaogopa kufungiwa, ukiacha machawa wachache

    1. Wanaogopa kufungiwa, kuna tight, very tight grip on media outlets na serikali 2. Sidhani wanapenda kuandika /kutokuandika kama wanavyofanya. 3. Wapo wachache machawa, lkn wengi nadhani wanaogopa wrath of this dictatorial gov. 4. Ukiacha akina Balile et al .....wengine wanaogopa kufungwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!

    Ni ujinga kwa vyombo vya habari Tanzania kusaidia kuuwa demokrasia!!!. Hawajui kwamba wakimaliza demokrasia hata wenyewe watafungiwa!!!! ni kutokuangalia mbali!!!. Yaani wenyewe wanaficha habari zote hasi kwa serikali
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na usalama viwe makini sana na hawa wahuni wa Chadema kwani wana nia ovu ya kuchafua amani na utulivu wa Nchi yetu

    Ushauri kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama waendelee kuwafuatilia hadi chooni hawa wahuni, genge la kihalifu ambao wamejificha kwa mwamvuli wa kisiasa Chini ya Chama Cha Chadema. Genge hili kila kukicha lina panga na kuratibu mipango miovu ya kuchafua amani ya nchi, kufanya matukio ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wa idara za afya na vyombo vya ulinzi na usalama

    Kuna nafasi za ajira jeshi la Magereza zimetoka na nna mdogo wa kwa upande wa mama wa kambo anataka kuomba,lakini yeye ana changamoto ya kuishi na Virusi vya ukimwi. Je kwa mwenye uzoefu anijuze ; inawezakana akapata nafasi endapo vigezo vyote anavyo isipokua hapo kwenye suala la afya ambalo...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha kesi ya Lissu vipeleke maombi mahakamani

    Vyombo vya Habari vinavyotaka kuchapisha habari kuhusu commital proceedings lazima vipeleke maombi mahakamani. Ndio basi kesi imeingia gizani. Tutakuja tu kusikia hukumu. Wanaficha hapa, na wakienda mahakama kuu pia ni kificho. Hii ni unprecedented katika nchi ya "kisiwa cha amani"
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…