Watanzania wanaishi katika maigizo makubwa kuliko “Tausi,” “Siri za Familia,” “Jumba la Dhahabu,” na “Bongo Movie” zote zilizowahi kutengenezwa. Maigizo ambayo kila mtu anajifanya haoni, ilhali moshi wa jiko la taifa unafuka hadharani. Kila mtu anasema “Tatizo ni viongozi” kana kwamba viongozi...
Kipindi cha marehemu Mugabe alipoona utawala unazidi kuwa mgumu kwake alianza kuwafukuza makaburu na kuwakabidhi mshamba yao watu wake ili azidi kubaki madarakani.
Katika tawala nyingi mambo haya utokea sana ili mradi wajihokoe kitawala. Je, hapa Tanzania kwa huyu Samia unafikiri nini anacho...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi yaliyotolewa na baadhi ya vyama vya upinzani kabla na wakati wa uchaguzi.
Amesema hatua hiyo...
Kuna watu wamejaliwa kipaji Cha utambuzi kwa kutumia jicho la tatu katika kufahamu nia na dhumuni la mtu wakati anapozungumza au anapotenda na kipaji hiki mara nyingi unakuwa ni uwezo wa ndani alionao mtu na mara nyingine mwenye uwezo wa namna hii anapoyasema ya namna hii anaonekana ni kichaa...
Godbless Lema aliwahi kusema kuna siku mtavililia vyama vya upinzani viwasemee hamtavipata.
Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata
Gen Z hawana ofisi viongozi wao hawajulikani mmebaki kuwaonea viongozi wa Chadema mnaowajua na mnafahamu ofisi zao zilipo...
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa dhana ya maridhiano ya kweli haiwezi kujengwa juu ya makubaliano ya kisiasa pekee, bali lazima iyatokane na wananchi kama msingi wa mamlaka ya nchi...
Hakuna asiyejua kuwa Katiba yetu inatamka wazi kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi na serikali haina dini lakini raia wake yupo na uhuru wa kuchagua imani yake.
Je, tunapoongelea suala la maridhiano ni akina nani wahusika wa maridhiano haya? Je, ni ungomvi wa wafanya biashara? Ni ungomvi ndani ya...
Ushauri aliopewa na baba yake. Angélique Kidjo ni mwanamuziki kutoka nchini Benin na mshindi wa Grammy Awards 5.
Wasanii wa Tanzania amkeni usingizini, wenzenu hapo Kenya wameshawapita mbaali kimuziki kwa sababu ya kuendekeza siasa badala ya kujikita kwenye mambo ya msingi!
Katika kipindi cha miaka ya karibuni, siasa za ushindani nchini Tanzania zimegeuka kuwa uwanja wa lawama, chuki, na migawanyiko badala ya kuwa chanzo cha mawazo ya maendeleo. Vyama vingi vya upinzani vimeshindwa kuja na sera mbadala zinazotekelezeka, badala yake vimekuwa vikijikita katika maneno...
UTANGULIZI
Je, unajua kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa vyama vya kisiasa vikubwa duniani?
Wengi hawajui, lakini Chama cha Mapinduzi (CCM) chama tawala cha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni miongoni mwa vyama vikubwa zaidi duniani kwa idadi ya wanachama.
Hii ni heshima kubwa...
Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena!
Yaani walivyo wazito kuelewa bado wanahangaika kuwashika Heche na Lissu bila kujua kwamba wamesha chelewa tena sana. Elimu tayari imeingia Wananchi wa kawaida kuhusu HAKI na bahati mbaya uzembe wa serikali...
Dawa ya moto ni moto ni ngumu kwa vyama tawala vikongwe Afrika kuondoka madarakani eti kwa maandamano na kelele za mitaani bali kwa mtutu wa bunduki na hujuma dhidi yao.
Huwezi ukapambana na mafisadi wachache wenye nguvu na kumiliki jeshi kwa mawe wao wakiwa na bunduki mtakwisha!
Ni bora sasa...
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
*Amebainisha kuwa matokeo ya mwaka huu yanaonesha wazi dhamira ya wananchi ya kusonga mbele kwa umoja na maendeleo.
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekabidhiwa rasmi Hati ya Kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tukio...
Hii ndiyo inapaswa kuwa way-foward itakayowatuliza wananchi:
1. Jeshi linapaswa lifute uchaguzi huu usio na relevance.
2. INEC ivunjwe na iundwe tume mpya shirikishi kutoka vyma vyote vya siasa.
3. Wanasiasa wote walioko mahabusu waachiwe hasa wa CHADEMA.
4. Uchaguzi mpya utangazwe ndani ya...
So far tuwapongeze wahusika wote wa maandalizi ya uchaguzi huu wa 2025.
Kwa wale tulioshuhudia chaguzi kadhaa toka mfumo wa vyama vingi uanze hatuna budi kussma hali ni ya amani mno na yenye kuvutia watu wengi kupiga kura kwa utulivu.
Shetani au wahujumu waliopambana kuzuia tukio hili muhimu...
Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu.
Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia.
Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa...