vyama vyote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Common Folk

    Uchaguzi Ufutwe, Jeshi litangaze Uchaguzi mpya na wao ndiyo wausimamie, vyama vyote vishiriki, mshindi apatikane kwa haki.

    Hii ndiyo inapaswa kuwa way-foward itakayowatuliza wananchi: 1. Jeshi linapaswa lifute uchaguzi huu usio na relevance. 2. INEC ivunjwe na iundwe tume mpya shirikishi kutoka vyma vyote vya siasa. 3. Wanasiasa wote walioko mahabusu waachiwe hasa wa CHADEMA. 4. Uchaguzi mpya utangazwe ndani ya...
  2. R

    Vyama vyote 17 havina ofisi

    Nasikia wamepisha vyama 17 kuwania urais. Hakuna chaama chenye ofisi kati ya hivyo. Ushenzi mtupu!
  3. Genius Man

    Jeshi la Polisi linapaswa kuheshimu vyama vyote vya siasa bila upendeleo kama vyama vinavyounda sura ya uongozi wa nchi

    Jeshi la polisi linapaswa kutambua na kuheshimu vyama vyote vya siasa nchini kama ni vyama vinavyounda sura ya uongozi wa nchi yetu bila upendeleo wala ubaguzi haijalishi chama flani kipo madarakani au chama flani hakipo madarakani tunataka usawa kwa kila upande. Kwani sisi wote bado ni...
  4. Jamiitrailer

    Iko hivi; no reform,no election ni hitaji la sisi wapiga kura wa vyama vyote kwa muda mrefu,tunashangaa watu wasiotaka usawa,uhuru na haki

    Habari wakuu Watu wengi wameandika kuhusu ajenda ya Chadema ya kutaka uwepo wa mabadiliko katika taratibu na sheria zinazosimamia chaguzi zetu kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Wengine wanaunga mkono ajenda ya Chadema,na wengine wanaunga mkono lakini wakisema hakuna muda wa kutosha kati ya sasa na...
  5. S

    Chadema kama ni sawa Mbowe kuendelea uenyekiti wanadamu wote tuna mapungufu, kwa nini si sawa CCM kuendelea kutawala maana vyama vyote vina mapungufu?

    Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema. Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
  6. Q

    Uchaguzi Mkuu CHADEMA (Taifa) huwa unafuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi

    2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20. 2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu. Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe kura 56. 2024: Sio tetesi tena Makamu Mweyekiti Mh. Tundu Lissu atawania kiti hicho tuendelee kutega...
  7. Waufukweni

    Waziri Mkumbo: Tumekusanya maoni ya vyama vyote vya Siasa Dira ya Taifa ya maendeleo 2050

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika mkutano wake na wahariri wa vyombo vya habari kuhusu Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uliofanyika katika Hoteli ya Serena Ijumaa, mkoani Dar es Salaam tarehe 6 Disemba 2024, amesema: "Tumekusanya vilevile...
  8. mdukuzi

    Muda umefika wajumbe wa nyumba kumi wapatikane kwa kushindanisha vyama vyote kama ilivyo kwa viongozi wa mtaa, Kijiji na kitongoji

    Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa ulete barua ya balozi wako wa nyumba kumi. Hapo huwa inaleta ukakasi, maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote. Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa...
  9. Mganguzi

    PreGE2025 CCM ikiweka mgombea yoyote itashinda kiti cha Urais, uchaguzi kufanyika ni kuweka ushahidi wa zoezi kwani tume ya uchaguzi na katiba vinawabeba wao

    Nimeona harakati za watu kujitangaza kwamba watagombea urais, nachoweza kuwaambia ni kwamba kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii iliyozeeka! CCM inahitaji tu mgombea wa aina yoyote kama ushahidi kwamba tulifanya kampeni! Lakini ni kutupotezea tu rasilimali pesa kuingiza team kufanya kampeni...
  10. Lycaon pictus

    Kitu kimoja ambacho CCM, CHADEMA na karibu vyama vyote wanakubaliana vyema ni kutotaka uwepo wa mgombea binafsi

    Sias zina unafiki sana. Siku zote wanasiasa wanatanguliza maslahi yao, wasikudanganye vinginevyo. Suala la kuruhusu mgombea binafsi liliamuliwa na mahakama kuwa ni haki ya kikatiba ya kila mwananchi. Bahati mbaya CCM wakalipindisha. CHADEMA nao katika kupigania kote tume huru ya uchaguzi na...
  11. JanguKamaJangu

    Taliban yapiga marufuku vyama vyote vya kisiasa

    Utawala wa Taliban wa Afghanistan Jumatano umepiga marufuku vyama vyote vya kisiasa nchini humo ukisema kuwa ni kinyume cha sheria za kiislamu au Shariah. Tangazo hilo limefanywa baada ya viongozi waliochukua madaraka ya Afghanistan kuadhimisha mwaka wa pili wa tangu kurejesha utawala wao mjini...
  12. Getrude Mollel

    Tanzania hakuna upinzani, vyama vyote ni CCM

    Ukweli sio kama ni mbaya au mchungu kama wasemavyo wahenga, ila uchungu na ubaya wake huja kulingana na maandalizi ya kuupokea. Ukitayarisha akili yako kupokea ukweli wakati wowote wala haitokuwia ugumu kuukubali na kuendelea na maisha yako. Tatizo ni pale tu ukweli unapokuja kisha hukuandaa...
  13. M

    CCM45: Chama cha Mapinduzi chavisihi na kuviomba vyama vya siasa nchini kuendeleza umoja wa kitaifa, kuthamini na kukuza ustawi wa demokrasia iliyopo

    ==== Tarehe 5 Novemba, 1976 Mkutano wa pamoja wa Halmashauri Kuu za Taifa wa vyama vya TANU na ASP uliofanyika mjini Zanzibar, uliamua kuvivunja vyama hivyo ili kuunda chama kipya, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama hivyo vya ukombozi vilivunjwa kwa heshima na taadhima kubwa, si kwa sababu...
  14. Mmawia

    Askofu Niwemugizi, Vyama vyote viwe na haki sawa. Sio nyie msifanye siasa, na anayesema hivyo ni Mwanasiasa

    Hakika huyu mzee wetu ndiye mtumishi wa kweli wa Mungu. Amewashauri watawala kufuata misingi ya katiba na siyo kutawala kwa mazoea.
Back
Top Bottom