Geneva, Uswisi. Tanzania imeangazia juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, katika kuimarisha uwajibikaji, maridhiano na kuendelea kuzijenga taasisi za umma kupitia kuundwa kwa Tume Huru ya Uchunguzi kuhusu vurugu zilizohusishwa na Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Hayo yaliwasilishwa katika tukio...
Takribani watu 7 wameuawa katika vurugu zilizotokea usiku kwenye eneo la katikati mwa Uganda baada ya uchaguzi mkuu ambao unaendelea nchini humo
Matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi yanaonesha Museveni akiongoza kwa zaidi ya asilimia 75 ya kura katika uchaguzi wa urais uliofanyika...
1. Vurugu Kubwa na Mauaji Yasiyo ya Kisheria
Mnamo Oktoba 29-31, baada ya wagombea wa upinzani kuondolewa katika uchaguzi, vurugu za kisiasa ziliibuka katika miji ya Mwanza, Dar es Salaam na Arusha. Polisi walipiga risasi raia wasiohusika na kuwaua mamia ya watu, tukio lililoharibu sifa ya...
Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
Mdau ameweka ufafanuzi kwenye majina ya tume ya kuchunguza vurugu za uchaguzi. Angalia kushoto mwa kila jina…
Angalizo: ni tume ya kuchunguza vurugu, siyo vifo.
Nimeona nishee huu ujumbe, nimeupata mahala...hii ni kwa yeyote yule mwenye mpendwa wake anaeshikiliwa kutokana na vurugu za uchaguzi....
Uza kitu chochote! chonde chonde!
NARUDIA!!!
Uza hata mfugo wowote uliopo!, mtoe nduguyo ndani kabla mambo hayajaharibika zaidi!
Lile li-kesi li-kubwa la...
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil Group, Stephen Mtemi, ameeleza kusikitishwa kwake na kitendo cha watu kuchoma vituo vya mafuta vya kampuni hiyo, akisema mbali na hasara kubwa iliyotokea, Watanzania zaidi ya 300 waliokuwa wakifanya kazi kwenye vituo hivyo sasa wako nyumbani bila kazi...
Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
Idadi ya wanaotuhumiwa kwa Uhaini inazidi kuongezeka.
Awali, Jamhuri ilipeleka watu 145 Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akiwemo Mfanyabiashara Maarufu Jennifer Jovin (Niffer).
Sasa, Jamhuri imeongeza watu wengine 17 kwa tuhuma hizo hizo, na kesi yao itaendeshwa na Mahakama ya Dodoma.
Pia...
Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025.
Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer.
Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
====...
jeshi la polisi
maandamano ya oktoba 29
mahakama
mahakama ya kisutu
mahakamani
mashitaka
mfanyabiashara
niffer
uhaini
uhaini wa niffer
vuruguzauchaguzi
wengine
Kwenye Ibada ya leo. Baba Mtakatifu Papa Leo ameziombea Tanzania na Sudan na kueleza mamia ya watu wameuwawa nchini Tanzania kutokana na vurugu za Uchaguzi
Samia elewa tu we jiapishe ila inyeshe mvua liwake jua sio tu sisi Watanganyika bali dunia nzima haitakuacha salama kwa kutuua Watanganyika...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa wazazi hususani wakinamama kuwaongoza watoto wao hasa vijana kuacha tabia ya kushabikia vurugu wakati wa kampeni na Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu.
Makamu wa Rais ametoa rai hiyo mara baada ya kushiriki...
Mitambo ya kuzuia ghasia za uchaguzi wa raisi mwaka 2025 iliyonunuliwa na Serikali inatisha sana, vyama pinzani vitakapoleta vurugu vitaishia pabaya
Vyama pinzani mkiwemo CHADEMA na vinginevyo nendeni pole pole ndugu zangu kwasababu mitambo ya kupambana na vurugu iliyomwagwa Jeshi la Polisi ni...
Wakuu
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, ugomvi wa ngumi umezuka nje ya Ukumbi wa Ubungo Plaza unapofanyika mkutano wa uchaguzi wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha).
Ugomvi huo ulikuwa kati ya wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu dhidi ya wafuasi wa...
Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jijini la Dodoma ambaye pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Dkt. Frederick Sagamiko amesema vurugu zilizoibuka katika kituo cha kupigia kura cha Site 1, mtaa wa Mlimwa, Jijini Dodoma kati ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.