Volkswagen kutoka Germany wamezindua VW ID. Polo GTI, ikiwa ni GTI ya kwanza ya umeme kutoka VW.
Inakuja na motor moja, iko mbele, inakupa 220 hp, 0-100 km/h ndani ya 6.8 sec, na top speed ya 175 km/h.
Kwa comparison, itakua faster kuliko electric Polo inayokuja na 200 hp, ila itakua slow...