Wadau, kuna yeyote kati yenu pia ameshtuka kwamba speed ya uishaji wa kifurushi cha data mtandao wa vodacom umekuwa una kasi isiyo ya kawaida?
Mimi ni muumini wa X, threed, jamiiforums kwa matumizi ya muda mwingi wa simu, ni nadra sana kunikuta instagram, ticktock, au youtube ikiwa nitakuwa...