Habari wakuu
Nimekuja kwenu kuomba yeyote mwenye kazi au connection ya kazi anisaidie.
Sifa zangu
Jinsia: Me
Umri: 28
Eneo: Dar es salaam
Elimu: Bachelor’s Degree in Procurement and Logistics Management
Naonngea kiingereza vizuri sana
Kazi ninazoweza kufanya kutokana na taaluma yangu ni idara...
Unajua JKT ilikuwa nini kabla haijageuzwa kuwa kambi ya kukimbiza vijana kama kuku?
JKT ilikuwa shule kubwa kuliko zote, hospitali kubwa kuliko zote, shamba kubwa kuliko yote,
chuo kikuu kikubwa kuliko vyote- lakini si kwa majina. Kwa DAMU na KAZI.
Mtoto, fikiria hivi:
Kijana aliyesoma Ualimu...
Aliyeniuliza ni mtu wa Australia yeye anachojua kwamba hata sisi watanzania tunafanya vizuri kwenye riadha ila ina reality ninachojua ni wa kenya ndo wanaoshinda Sana marathon..kiufupi nikamjibu kwamba kenya kuna watu wenye asili ya wembamba na miguu mirefu ni jamii za wafugaji ila sidhani kama...
CCM imeifikisha nchi sehemu mbaya sana, kwa sasa raia unawindwa kama paka na ukipatikana unapigwa kama mbwa mwizi na kuteswa ikiwezekana uuwawe kabisa.
Why ? Ni hawa matajiri wanafanya haya? Au vigogo wanaopora haki za raia wa kawaida ? Inahitaji kuandamana hadi viongozi watusikie?
Mwanzo sikujua kama muislam.
Baada ya kuachiwa akasoma
Surat-Tin yaani sura ya 95
"Alaisallahu bi ahkamil hakimin" (أَلَيْسَ اللَّهُ بِأَحْكَمِ الْحَاكِمِينَ)
Mafundisho wa aya hii
1. Allah ndiye Mwamuzi wa haki zaidi
Hakuna mwanadamu au kiongozi duniani anayeweza kulinganisha uadilifu...
Kila mtu anashangaaa.
Wachambuzi wa Afrika wanashangaa.
Wachambuzi wa Dunia wanashangaa.
Inakuwaje Jeshi linakuwa kimya wakati mtu mmoja anaua maelfu ya Wananchi? Anafanya hayo huku akijilimbikizia mali yeye na familia yake. Mbaya zaidi anateka, kuwapoteza na kuwafungulia mashtaka ya uongo...
Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
Mnapambana sana yani huku ground bila kujali mnalipwa buku7 au laaa! Lengo lenu hua ni boss wenu na familia yake wote waingie ikulu na maisha yao yawe ya kifalme, hakika hii imetimia!
Kinachotakiwa muongeze kasi familia na ukoo mzima wa boss wenu uwe serikalini pambaneni wazee bila kujali...
Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro
Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi
Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea.
Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana...
Mange Kimambi watu wanakusikia, ili wakuelewe vizuri hakikisha unafika kwenye maandamano, kinyume na hapo utabaki kuitwa Mhalifu na Tapeli
Kufika kwako kwenye maandamano kutauthibitishia uma kuwa ni namna gani uliwapenda mpaka ukaamua kufa nao na sio wao wafe kwaajili yako huku ukiwa umebakia...
Kupitia misuko suko ya maandamano kuna jambo moja nime weza kuli gundua .
BODA BODA wetu wako vizuri sana kwenye kulenga shabaha na kulinda upotevu wa risasi , kwani wahanga wengi uki achilia walio pigwa risasi wakiwa wame lala chini wengi wame pigwa risasi za kichwa .
Ova and Out
Kumekuwa na taarifa mbalimbali juu ya chanzo cha maandamano na vurugu zilizotokea.
Wengine walio serikalini wakiwashutumu wahuni na watu wa nje kuwa ndio chanzo. Na wale walioandamana wanaona kwamba labda serikali na baadhi ya wanasiasa walio madarakani na nje ya madaraka kama ndio chanzo cha...
Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ).
Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika.
29...
Habari wakuu,
Najua fika kuwa ni watu wachache sana wenye uwezo wa kiufundi kama huu wangu wa kuunda na kuikamilisha mifumo inayoweza kuhudumia mamilioni ya jamii,
ninacho jivunia siyo utajiri wala umaarufu, bali ni ule uwezo wa kuingia kwenye mradi na kutengeneza na kukamilisha kitu chenye...
Mkurugenzi Mtendaji wa Manara Tv na Mgombea Udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kariakoo Ndugu Haji Manara
ameondoa taharuki kufuatia taarifa zilizosambaa kuhusu hali yake ya kiafya, akihakikisha kuwa yupo vizuri na wala haumwi.
Akizungumza hii leo Oktoba Mosi, 2025 Ndugu Manara...