Kwenye vyakula, vinywaji, vitafunwa nk, huwekwa kemikali kwa sababu fulani, moja wapo ni visiharibeke kwa haraka.
Sasa swali langu ni kwamba hizi kemikali au malighafi yanayotumika kutengeneza hizi kemikali kutolewa wapi?
Kwenye miti, ardhini, majini ama ni wapi?
Mkawe na asubuhi njema.