viwanda nchini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Natafuta nafasi ya ajira au kujitolea

    Habari wakuu, kama tittle yangu inavyo jieleza hapo juu mm ni kijana wa kitanzania, jinsia (me) nimehitimu diploma ya ubora wa maji chuo cha maji Singida mwaka 2025. Nilikuwa natafuta nafasi ya kazi kwenye kiwanda chochote au kwenye mamlaka yoyote ile ya maji hapa mnchini kwani ninauzoefu wa...
  2. R

    Serikali kununua Tani 200,000 za Mbolea kulinda Viwanda vya ndani

    Kauli aliyotoa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe jana Juni 11,2025 Dodoma Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema kuwa Serikali itanunua tani 200,000(Laki mbili) za mbolea ili kuzipeleka katika maeneo ambayo matumizi ya mbolea bado ni madogo, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kulinda viwanda vya...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, na Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Kwako, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Amiri Jeshi Mkuu, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa, Mpendwa Kiongozi wetu, Nakupa salamu za heshima na taadhima nikiwa na imani kubwa na uongozi wako imara. Kwa niaba ya Watanzania wote, napenda...
  4. Ojuolegbha

    Ziara ya Rais Samia mkoani Morogoro leo tarehe 03 Agosti kufanya yafuatayo

    ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA MKOANI MOROGORO LEO TAREHE 03 AGOSTI, KUFANYA YAFUATAYO: ▪️Kuzindua Kampeni ya Tutunzane Mvomero Uwanja wa Sokoine Mvomero. ▪️Kuzindua Bwawa la Umwagiliaji la Kiwanda cha Sukari Mtibwa. ▪️Kuzindua Kiwanda cha Sukari Mkulazi-Mbigiri ▪️Kutembelea Kiwanda cha Mbegu...
  5. mwanamichakato

    Nchi inahitaji viwanda vingi vikubwa kupata maendeleo

    Recent research confirms manufacturing has been immensely important to the prosperity of nations, with over 70% of the income variations of 128 nations explained by differences in manufactured product export data alone. Any increase in production leads to economic growth as measured by GDP...
  6. The Sunk Cost Fallacy

    Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Awamu ile nyingine hadithi na porojo zilikuwa nyingi sana kuhusu viwanda, ila wakaishia kuaibika kwa kusema vyerehani na vijiwe vya uchomeleaji ni viwanda. Hilo halipo awamu ya 6, ni maneno na matendo kama inavyoonekana hapa chini. 👇
Back
Top Bottom