Je, Umekuwa ukijiuliza utapata wapi vifaa bora vya umeme kwa bei nafuu zaidi?
Rafiki Electrical & Tech Solutions,
Niwauzaji, wasambazaji na watengenezaji wa vifaa bora sana vya umeme wa Nyumbani, Minara, Viwanda n.k hapa Tanzania na Nje ya Tanzania.
Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Narung'ombe na...
TAARIFA KWA VYOMBO HABARI
MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
https://www.youtube.com/live/PjZMsQ0hrxU
Akizungumza katika uzinduzi wa Mpango wa Ushirikiano kati ya Taasisi za Elimu na Sekta ya Viwanda uliofanyika leo, Februari 9, 2026, jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewahimiza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia...
MBUNGE WA VITI MAALUM MARA AULIZA SWALI KUHUSU UWEKEZAJI WA VIWANDA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mheshimiwa Ghati Zephania Chomete, ameuliza swali bungeni akiishukuru Serikali kwa majibu mazuri yaliyotolewa pamoja na Mheshimiwa Mwenyekiti kwa kumpa nafasi ya kuuliza swali.
Katika swali...
Serikali imelitangaza eneo ulipokuwa mgodi maarufu wa dhahabu wa Buzwagi kuwa sehemu ya kujengwa eneo maalumu la kongani ya viwanda “Buzwagi Special Economic Zone” baada ya kuhitimishwa kwa shughuli za uchimbaji katika eneo hilo.
Hatua hiyo imewekwa wazi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
Ndugu zangu,
Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo.
Hapa...
Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto za kuongezeka kwa hatua za upande mmoja na kujilinda kibiashara, Maonyesho ya 8 ya Uagizaji Bidhaa ya Kimataifa ya China CIIE yamefunguliwa tarehe 5 kama ilivyopangwa huko Shanghai. Likiwa jukwaa muhimu la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya...
Habari Tanzania !
Jamani imekuwaje leo hii Singida wanashindwa kuwa suppliers wa Kuku wa Kienyeji na Kisasa nchi nzima?
Hivi nyie mnaotokea Singida mnajisikiaje yaani ?
Karibuni
Mgombea mwenza wa kiti cha Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Devota Minja ameahidi kwamba Serikali ya chama hicho ikichaguliwa itaanza kwa kuondoa kodi zote zinazotozwa kwenye dawa ili wananchi wapate huduma za afya kwa gharama nafuu huku ikisema itawashughulikia waliouwa...
KASI YA UJENZI WA VIWANDA VYA KUONGEZA THAMANI MADINI YAONGEZEKA NCHINI TANZANIA
☑️ Waziri Mavunde aweka Jiwe la Msingi Kiwanda cha Kusindika na Kuyeyusha Nikeli na Shaba - Dodoma
☑️ Ni maelekezo ya Mhe. Rais Samia kuyaongezea thamani madini ndani ya nchi.
☑️ Mradi kuchakata takribani tani...
Natafuta sana contacts za viwanda vya mafuta ya mawese, kama nikipata vile viwanda vikubwa vyenye uwezo mkubwa itakuwa vizuri zaidi, hasa nataka wanaotengeneza refined yellow palm oil.
Asante
Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
Rais Samia Suluhu Hassan, amejenga viwanda vipya zaidi ya 700 ikiwemo GGR kinachosafisha kilogram 440 za dhahabu kwa siku ajira mpya zaidi ya 14,000 zimezalishwa ndani ya miaka 4 ya uongozi wake
Katika kipindi hicho, viwanda mkaoni Geita vimeongezeka kutoka 824 mwaka 2021 hadi viwanda 1,542...
Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu
Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu na kuongeza kodi nyingi
Kuweka minimum wages
Kupandisha gharama za umeme na gesi asilia kwa kudhani...
Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining na sio na kitu kingine
Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza
Steel kwa ajili ya bodi ya...
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la Viwanda vingi huku kwetu maeneo ya Wilayani Mkuranga Mkoa wa Pwani.
Taarifa ambazo sio rasmi inadaiwa kuwa mpaka sasa kuna jumla ya viwanda 57 vikiwemo vikubwa sita vya kati 13 na vidogo 38.
Kutokana na uzoefu wangu katika sekta ya Viwanda...
Ili nchi ipige hatua viwanda ni muhimu sana, viwanda vinapunguza tatizo la ajira! Magu kidogo alitaka kuanzisha safari flani hivi ila ikaishia njiani... Tunataka ajae aje andeleze pale alipoacha Magu
==
Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na jumla ya Viwanda 50,000.
Miaka minne ya Rais Samia Tanzania imefikia jumla ya Viwanda 80,128 sawa na viwanda vipya 30,128 ambavo ni sawa na ongezeko la 60.3% ndani ya miaka minne(4) .
Tanzania kwa sasa inaziada ya tani 3m za sementi...
Hii ndio orodha ya Nchi 10 Zenye viwanda Vingi Afrika.
1.South Africa
2.Egypt
3.Nigeria
4.Morocco
5.Kenya
6.Algeria
7.Ethiopia
8.Ghana
9.Tunisia
10.Zambia.
My Take
Kama Nchi tuna kazi ya kufanya kweli kweli.
Pia soma hapa Pre GE2025 - Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.