Karibu...
1. MDOMO
Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine. Usijiongelee mambo mabaya hata kama mnataniana na washkaji, jifunze kuwatamkia watu mema na kuwaambia...