Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1.
Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
Ndugu mdau uliyekuwa ukitufuatilia kupitia mnakasha huu, tunapenda kukufahamisha kuwa kutokana na mabadiliko ya sera zetu, tumelazimika kufungua mnakasha mpya kwa ajili ya magari yanayotoka moja kwa moja Japan na nchi nyingine.
Hivyo sasisho zote kuhusu bidhaa na huduma zetu utazipata huko...
Jamani pamoja na kuwa maendeleo sasa watu wameadvance lakini hii habari ya kwenda kwa mganga Kariakoo, kwanza unajua kodi ya Kariakoo ilivyo ghali, mganga anaendesha Vitz lazima safari yako ilipie mafuta.
Mganga anakutuma ulete kilo mbili za mchele, nazi mbili na jogoo mweupe usafishwe nyota...
Habari zenu wananzengo, kama tangazo linavyosomeka hapo juu, natafuta gari ya kununua iwe TOYOTA Vitz old model, Passo Piston 4 au Starlet.
Namba Ianzie B,C au D Iwe Kwenye hali nzuri nikiwa na maana Full Air Condition na Engine isiwe cherehani au inayopiga manyanga.
Kwa walio serious...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.