Cylinder head gasket kungua kila mara kwenye vitz

inspectorbenja

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
500
420
Wadau habari,

Nina kagari kangu ka vitz old model. Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mimi nipate kausafiri.

Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga.Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator. Nikakarudisha kwa fundi, akafungua, akakuta cylinder head gasket imeungua.

Akabadilisha, akakawasha kakaunguruma kidogo, kakawa kana kanachanganya compresion. Akafungua cylinder head tena. Kakuta gasket imeungua. Akabadilisha tena akapiga pasi cylinder head.

Akafunga, akawasha, imeungua tena. Wadau naombeni msaada. Shida inakuwa ni nini hapa
 
Mkuu fanya engine over haul yu hapo
Au nunua mswaki funga,safari popote

Hakuna kero kama gari ikuzimie barabarani tena dar sijui kene mataa.inakera na kuumiza moyo pia.
 
It seems gari umeinunua bei rahisi sana. Dah!

Kuna mzee alinihusia akaniambia 'kijana, ukitaka kuendelea wekeza kwenye nyumba, siyo magari'. Mfano, hela yako ungenunulia kiwanja, then baadaye ukiwa na hela nzuri unanunua gari nzuri.

Ila sasa hiyo nzuri nayo si itaharibika tu! Cheap is expensive!
 
MREJESHO.

Tumeweka gasket ya chuma،ilikuwa ni nyeusinalafu ina mikunjo badalanya gasket ya asubestus.

Tunewasha، haijachemsha wala kuchanganya compression.Tumeitest kwa muda،kesho tuyaitest tena.Ntawapa mrejesho.
 
Wadau habari,nina kagari kangu ka vitz old model.Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mm nipate kausafiri.Sasa kalikuwa na leakage,fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga.Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator.Nikakarudisha kwa fundi,akafungua,akakuta cylinder head gasket imeungua.Akabadilisha,akakawasha kakaunguruma kidogo,kakawa kana kanachanganya compresion.Akafungua cylinder head tena.Kakuta gasket imeungua.Akabadilisha tena akapiga pasi cylinder head.Akafunga,akawasha,imeungua tena.Wadau naombeni msaada.Shuda iyakuwq ni nini hapa
Hapo ni kuuza thu iyo gar. ,,Je unauza bei gan ..me nikanunue mswaki niweke
 
Wadau habari, nina kagari kangu ka vitz old model.Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mm nipate kausafiri.

Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga. Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator. Nikakarudisha kwa fundi, akafungua, akakuta cylinder head gasket imeungua. Akabadilisha, akakawasha kakaunguruma kidogo, kakawa kana kanachanganya compresion. Akafungua cylinder head tena. Kakuta gasket imeungua. Akabadilisha tena akapiga pasi cylinder head. Akafunga, akawasha, imeungua tena. Wadau naombeni msaada. Shida itakuwa ni nini hapa.

Msaada wanajamvi
Huuzi hiyo gari mzee
 
MREJESHO.
Tumeweka gasket ya chuma،ilikuwa ni nyeusinalafu ina mikunjo badalanya gasket ya asubestus.Tunewasha،haijachemsha wala kuchanganya compression.Tumeitest kwa muda،kesho tuyaitest tena.Ntawapa mrejesho.
Umenunua Kwa Bei Gani Mkuu?
 
It seems gari umeinunua bei rahisi sana. Dah!

Kuna mzee alinihusia akaniambia 'kijana, ukitaka kuendelea wekeza kwenye nyumba, siyo magari'. Mfano, hela yako ungenunulia kiwanja, then baadaye ukiwa na hela nzuri unanunua gari nzuri.

Ila sasa hiyo nzuri nayo si itaharibika tu! Cheap is expensive!
Watanzania Bwana kwani kipaombele Cha Kila Mtu ni Nyumba??
 
Back
Top Bottom