“Gari zenye dashboard mbaya: Vitz vs RAV4 Old Models – Android haibadilishi look!”
Ujumbe wa kuanzisha:
Haya jamii nimekuwa nikitazama dashboard za baadhi ya magari ya zamani na nikajikuta nikishtuka. Angalia hizi picha: Toyota Vitz toleo la mwanzo. Pia Toyota Starlet (chini) dash imekaa...
Habari zenu, nahitaji Vitz Old Model inayotumia mtungi wa gas na mafuta, nipo Dar Es Salaam, mda wowote nakuja kuicheki gari, nipo serious kiasi kwamba hata leo leo tunaweza kumaliza biashara.
Gari: Vitz OLD MODEL (Inayotumia Gas na mafuta)
Namba ya usajili: Yoyote ile kikubwa engine na gearbox...
Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001.
Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa.
Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena.
WhatsApp 0712 148001.
bajaj
benz
brevis
carina
fuso
ist
kilimanjaro porters assistance project
kushuka
land cruiser
magari
mama salma
mama samia
mazda cx-5
mazda demio
mazdacx5
milioni
mitano tena
noah
passo
pickup
pilau la mama samia
prado
range rover
raum
simba fc
suzuki escudo
suzuki swift
toyota
vitz
wadau wa biashara
Katika kuendesha kwangu gari barabarani, nimegundua kwamba madereva wengi wa hivi vigari vidogo vidogo kama IST, wana fujo sana barabarani. Na mara nyingi utakuta ni vigari vichafu vichafu na vilivyochakaa.
Kila nikiangalia dereva wake, nakuta ni vijana wa kiume. Inaonekana wengi wao ni...
Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu.
Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
"Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe tunataka kuupeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Tutatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza Uwanja wa ugenini" Ally Kamwe
Chanzo: Young...
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea.
WhatsApp 0712 148001.
Pia nanunua magari chakavu .
Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA.
Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
Mods uzi usiunganishwe.
benz
bmw
carina
escudo
gx100
harrier
ist
kioo
landcruiser
magari
mark2
mazda
noah
pajero
picha
premio
raum
rav4
side mirror
spea
steelring
suzuki
taa
toyota
used
vitasa
vitz
voxy
wish
wishbone
ANGALIA PICHA ya gari yako unichek kwa hitaji la spea.
WhatsApp 0712 148001.
Pia nanunua magari chakavu .
Ukiniunganisha nikanunua gari posho MLIMA.
Pia nitakua natoa vocha mara moja moja kwenye uzi huu.(simu ziite jamani).
benz
bmw
carina
escudo
gx100
harrier
ist
kioo
landcruiser
magari
mark2
mazda
noah
pajero
picha
premio
raum
rav4
side mirror
spea
steelring
suzuki
taa
toyota
used
vitasa
vitz
voxy
wish
wishbone
Vitz old model inauzwa
1. Milango 5
2. Cc990
3. 1SZ FE engine
4. Haina deni, bima imelipwa
5. Engine ina kipengele, inarekebishika au inafaa kwa mswaki. Mimi nna gari nyingine
6. Bodi zima.
Picha imewekwa apo, for serious business nicheki inbox
1. Matatizo ya Mazida Verisa.
2.Naomba kujua Kama inaweza kuinuliwa Juu maana kako Chini Sana
3.Naiataji kujua ubora wa Mazida Verisa au Vtz ipi nzuri zaidi kwa Ubora wa uimara wake.
Habari wadau.
Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya.
Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia hata ipite miaka kadhaa sitakiwa na uwezo wa kuinunua. Hivyo naiuza.
Mimi ndo mmiliki siyo dalali...
Wadau habari,
Nina kagari kangu ka vitz old model. Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mimi nipate kausafiri.
Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga.Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator...
Wadau naomba kama kuna mtu ana uzoefu na hili anisaidie, nimenunua vitz rs kwa mtu na katika kupiga mahesabu naona inaenda 8km per litre, sasa kwa uzoefu wangu ilipaswa angalau ifikishe 12km.
kama kuna mtu alishawahi kukutana na changamoto kama hiyo ili kabla sijaipeleka kwa fundi niwe na idea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.