vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kailima awataka Wananchi wajitokeze kuhakiki, kuboresha taarifa zao, atembelea Vituo vya Wapiga Kura - Tabora

    Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akiwasaidia wananchi kuhakiki majina yao kabla ya kwenda kuboresha taarifa zao katika Kituo cha kuandikisha wapiga kura, Ofisi ya Kata ya Isevya, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora, wakati alipotembelea na kukagua vituo vya uboreshaji wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nani anaruhusu ujenzi wa vituo vya mafuta kwenye makazi ya watu?

    Wakazi wa kata ya soweto Manispaa ya moshi wanaoishi kwenye maghorofa sita ya Shirika la Nyumba la Taifa (HNC)kiwanja namba 89 Kitalu L barabara ya Arusha,wamepaza sauti wakipinga ujenzi unaoendelea kwenye makazi yao. Wnahofia usalama wa maisha yao na mali zao endapo utatokea mlipuko wa moto...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Fahamu vituo mbalimbali kwa mnaosafiri kwa njia ya mabasi kwenda mkoa wenye wasomi wengi kagera

    Wadau hamjamboni nyote? Niwakumbushe vituo mbalimbali kwa wanaJF mnaosafiri kwa njia ya mabasi kwenda kanda pendwa ya ziwa Morogoro, Dodoma,Manyoni, Singida, Shelui , Igunga, Nzega, Tinde, Kahama Ushirombo na Muleba Niwatakie siku njema
  4. J

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Habari wadau, Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi. Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau. Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ?? Nimekwama hapo wadau naomba...
  5. JamiiForums Tanzania Kufahamu vituo vya kazi katika taasisi mbalimbali kama vile NEMC, IAA, TBC,VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA ZANZIBAR

    Habari wanaJF, kama naomba kufahamu kwa upande wa dar ni wapi panafanyikia huo usahili wa MCHUJO(WRITTEN INTERVIEW) katika taasisi tofauttofaut zilizotolewa juzi kama vike AICC, TBC, IAA, ,TPSC, VETA, SUA. maana wao wameandika "VITUO VYA USAILI: ARUSHA, DAR ES SALAAM, DODOMA, MBEYA, MWANZA NA...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi hatulalamiki kuboreshwa miundombinu ya magereza na vituo vya Polisi nchini Tanzania?

    Ukipata bahati ya kutembelea magereza na vituo vya polisi vya hapa kwetu Tanzania hali ni mbaya majengo yamechoka, huko mahabusu sasa ndio balaa yaani ni ovyo ovyo as if huko ni mateso tu ebu serikali ikumbuke kuboresha mazingira kama inavyofanya kwenye afya na elimu basi hawa watu nao...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Eatv na Star tv ni vituo vya kidini ya kikiristo?

    Inanishangaza na kujiuliza hivi vituo vya television vya Eatv na Star tv ni vya vituo vya kikristo na kama sio mbona kila asubuhi saa kumi na mbili ni kupiga nyimbo za kwaya tu as if watazamaji wake wote ni wakristo wakati kuna watazamaji wa kila dini kama...
  8. JamiiForums Tanzania Adha ya Magari ya Mwendokasi kuacha abiria muda mrefu nyakati za Asubuhi kwenye Vituo na kupita matupu ili hali usafiri wa shida, inakera sana

    Habarini wandugu, Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya kuachwa na mabasi kwa sisi abiria tunaotoka maeneo ya kimara na nje ya mji tunaotumia usafiri wa mwendokasi kwa nyakati za asubuhi. unakuta mtu unafika kituoni saa12 asubuhi magari yanakuja yamejaa unalazimika kusubiri na unatakiwa uwahi...
  9. JamiiForums Tanzania Israel yafanya Mashambulizi Mazito Lebanon, Jeshi la Lebanon Laangamiza Vituo vya Kurushia Makombora vya Hezbollah.

    Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha, lakini Israel inaamini ni Hezbollah. Netanyahu ameahidi kufanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Makusanyo vituo vya kutolea huduma za afya yaongezeka

    MAKUSANYO VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA YAMEONGEZEKA Makusanyo ya fedha kutoka kwenye vituo vya kutolea huduma za afya yameendelea kuongezeka katika kipindi cha Serikali cha awamu ya sita ambapo makusanyo yameongezeka kutoka shilingi bilioni 54.2 mwaka 2021/2022 hadi kufikia shilingi...
  11. JamiiForums Tanzania DC Kilindi, Hashim Mgandilwa azindua mfumo wa Centralized GOT-HOMIS kwa Vituo vya Afya vya Serikali

    Mkuu wa wilaya Kilindi Mh Hashim Mgandilwa akiingia katika mfumo wa Centralized GOT-HOMIS ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mfumo huo wa matibabu katika vituo vyote vya huduma za Afya vinavyomilikiwa na serikali. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 17/03/2025 katika kituo Cha Afya Songe na kuhudhuriwa...
  12. JamiiForums Tanzania CIA: Vituo vya Siri vya Operesheni za CIA Vilivyosambaa Duniani Vyatajwa kwenye Mafile ya JFK Yaliyowekwa Hadharani na Trump

    Nyaraka muhimu zinazohusu kifo cha aliyekuwa Rais wa Marekani John F. Kennedy ambazo Rais Trump ameruhusu ziwekwe hadharani zimetaja kwa kina Miji ambayo CIA wana vituo vya kuendeshea operesheni zao duniani. Miongoni mwa miji iliyotajwa kuwa na vituo hivyo kipo Nairobi nchini Kenya. Miji...
  13. JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kujiandikisha kwenye daftari la maboresho la wapiga kura tunaambiwa kadi zetu tuzipeleke kwa mjumbe wa nyumba kumi wa CCM

    Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba. Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Changamoto mbalimbali kwenye vituo vya kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura

    Kupitia Uzi huu tutakuwa tukipost changamoto mbalimbali zinazojitokeza vituoni kwenye uandikishaji wa maboresho ya daftari la kudumu la wapiga Kura.
  15. JamiiForums Tanzania Usafiri wa mwendokasi kwa sasa ni roho mkononi. Vituo vya kupakia abiria ni hatarishi kwa walemavu, wajawazito, watoto, wazee na wagonjwa

    Usafiri wa mwendokasi umekuwa ni usafiri uliojaa changamoto kwa muda mrefu. Pamoja na changamoto zake umebaki kuwa usafiri wa haraka na tegemeo kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam. Kwa sasa kuna uhaba mkubwa wa mabasi kiasi kwamba unaweza kukaa kituoni mpaka masaa mawili unasubiri usafiri hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Serikali kujenga mtandao mkubwa wa mabomba ya gesi pamoja na vituo vya kujazia gesi kwenye magari

    Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Rashal Energies, Farhiya Warsame, inayojenga Bomba la Gesi kutoka Kisemvule hadi Mbagala (kilomita 19) jijini Dar es Salaam. Kampuni hiyo pia itajenga vituo vitano vya CNG...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS: ujumbe huu una maana gani kwenye mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi

    Napata ujumbe huu "error initializing transfer request " Niliomba maombi ya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi , mwenzangu aka accept ombi then maombi yakatumwa kwa mkurugenzi na kuwa approved, baada ya hapo mfumo unataka nisubmit maombi nikiwa nimeambatanisha docs Nimefanya hivyo lakini...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
  19. JamiiForums Tanzania Kutoka Mianzini - Mapinga km ni 10, kuna vituo 13 vya petrol station

    Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo. Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga kabla hujapanda kilima cha Marian Boys unamaliza na TOTAL mkononwa kulia. Ni mwendo wa dakika 10...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Naona kama Vituo vya mwendo kasi ni vikubwa mno

    Jamani nimetafakari sana,nimeona kama baadhi ya vituo vingine vya mwendo kasi walivijenga vikubwa sana bila sababu yoyote. Mfano hivi vya katikati,Magomeni hospitali,Jangwani,Manyanya etc.Nadhani kuna maeneo ni kweli kuna abiria wengi lakini maeneo mengine abiria ni wachache sana. Sikuelewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…