vituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni kawaida unapobadili vituo vya mafuta au aina ya mafuta gari kuwa nzito au nyepesi na kuongeza au kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Mfano unapozoea kutumia mafuta ya Petrol ya kituo cha Puma aina ya Unleaed kwenda kituo cha Total wenye Petrol ya Excellium. Niliwahi kuona gari ikiwa nzito au nyepesi napobadili vituo hivyo pamoja na utofauti wa ulaji wa mafuta Au unapobadili vituo vinavyotumia Petrol unleaded lakini kampuni...
  2. M

    Kuna mchezo wa ajabu sana unafanyika vituo vya mafuta, hivi vidumu vya mafuta wanavyoficha kwenye dustbin wanatoa wapi mafuta ?

    wiki iliyopita nilienda kufanya service kwenye gereji ya kituo cha mafuta gari ilikuwa na tatizo la mafuta, fundi ali drain mafuta yote kwenye gari, sasa wakati wa kujaza upya mafuta nilishuhudia mchezo huu. nilikuwa na kidumu changu kwenye buti nikampa fundi ajaza mafuta ya elf 10. nimempa...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha

    Iran Wakianza Kushambuliwa Vituo na Maghala ya Mafuta, Hapo Vita Itakuwa Imeisha Sidhani kama kwa sasa Iran wanategemea sana vifaa vya kijeshi vinavyotumia umeme. Kwa kiasi kikubwa, mifumo mingi ya kijeshi duniani ikiwemo ya Iran bado inategemea mafuta kama dizeli, petroli, na jet fuel...
  4. Nyendo

    Ethiopia wameanzisha vituo vya Polisi vya kidigitali, unatoa taarifa moja moja bila kuonana na Polisi

    Ukienda Polisi kutoa Taarifa hukuti Afisa wa Polisi kwenye meza ya mapokezi, hukuti makaratasi bali unakuta vifaa vya kidigitali pekee. Ni vituo janja vya polisi ambapo mtu anaweza kutoa taarifa yeye mwenye moja moja kwa kuweka taarifa hiyo kwenye vifaa janja na Polisi kupokea taarifa na kujibu...
  5. Mtemi mpambalioto

    RIDHWANI je ulimaanisha hakuna kuhama vituo kwa wanoanza kazi au wote hata wa zamani?

    NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU? Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao? Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
  6. Genius Man

    Nafukua: Watu waliouwawa October 29 sio wape waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa

    Watu waliouwawa October 29 sio wale waliochoma vituo vya mafuta na kuiba mali za watu ni raia ambao hawakuwa tishio kabisa. Hawakuwa na kiberiti wala kifaa chochote wala mali zozote za watu wanaodaiwa kuibiwa malizao kwenye maandamano. Hata hivyo kulingana na sheria za Tanzania maandamano sio...
  7. DuaZaMama

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Vituo 672 vya mafuta vilichomwa moto

    Katika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo ni ile ile aliyowahi kuitaja Waziri Mkuu, licha ya kuwepo kwa taarifa tofauti tofauti kuhusu idadi ya...
  8. DuaZaMama

    PostGE2025 Heche: Wanazungumzia vituo kuchomwa moto, hawazungumzia kuhusu watu kupoteza maisha

    "Wamekuwa wakizungumza kanakwamba maisha ya mtu ni kitu cha kawaida. Serikali dhalimu inazungumza kuhusu vitu, inazungumza kuhusu vituo vya mafuta haizungumzi kuhusu maisha ya watu. Embu tufikirie hamna watu, hizo barabara na vituo vya mafuta vina maana gani?." Mhe. John Heche.
  9. DuaZaMama

    PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
  10. kagoshima

    PostGE2025 Wamekwepa kutaja idadi ya vituo vya kupigia kura vilivyochomwa

    Hawa watu hawa! Wameona wakitaja ifadi ya vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa wana confirm kile watanzania wanasema kwamba ile asilimia 97 ni mtu.tu.alijiandikia.na kutangaza
  11. N

    Mwigulu: Vituo vya Polisi 159 vilichomwa moto

    Leo waziri mkuu ameeleza takwimu ya sehemu ya hasara iliyopatikana tarehe 29 October kuwa ni Vituo 159 vya polisi, magari binafsi 1600, vituo vy mafuta 600, magari ya serikali 1200 ambulance 200 nyumba binafsi nyingi walijaribu kuchoma TCRA, Tanesco, ghala za mafuta kurasini , bandari ...
  12. Genius Man

    #D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi

    #D9 Naomba baadhi ya vijana tuelekee kwenye ofisi za wizara ya afya kwa unyama waliotufanyia wenzetu yani kama tulivyopita vituo vya uchaguzi. Ili ushenzi wote uishe lazima tukakinukishe kwenye ofisi zao hatuwezi kukubali unyama huu uachwe kwenye nchi yetu. Kuna watu mpaka hivi sasa hawajapata...
  13. M

    PostGE2025 Rais Samia: Upigaji kura ulirahisishwa sana! Iliwafanya Waangalizi wa Uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura

    Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi...
  14. Kimbesa11

    Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
  15. Think2

    Gen-Z jijini mwanza wachoma moto vituo vya polisi

    Kituo cha polisi cha nyegezi kimechomwa moto wandamanaji wapambana vikali na jeshi last polisi .. Kituo cha mafuta GBP cha shambuliwa na gen-z wamevunja warehouse na kubeba maji na vinywaji musoma Road nyamhongolo near nanenane. Taifa gas pia yavunjwa na wandamanaji kubeba mitungi ya gesi...
  16. Black Opal

    GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  17. Black Opal

    GE2025 Vituo vya kupiga kura Tunduma vyachomwa moto

    Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza. Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia. Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
  18. Genius Man

    Twendeni kwenye vituo vya kupigia kura tukaondoe yale maigizo hakuna uchaguzi bali ni udanganyifu

    Twendeni kwenye vituo vya kupigia kura tukaondoe yale maigizo hakuna uchaguzi bali ni udanganyifu
  19. Think2

    GE2025 Majina mengi yaliyoandikishwa ila watu ni wachache sana kwenye vituo vya kupigia kura

    Watu wamesusia uchaguzi ,uchaguzi umekosa radha people wako zao bize. Wasimamizi wanachati tu hakuna wapiga kura kama walivyotegemea. Niko hapa igoma kituo cha igoma sekondari asked ni aibu hakuna watu hata wanawake pia wamesusia na vitenge walipewa hahahahaha. Ngoja tuone matokeo maana...
  20. M

    Idadi ya vituo vya kura ni vingi kuliko Polisi

    Usikubali kusogeza au kurudisha maandamano nyuma. Nchi nzima wakiandamana kwenye vituo vya kura uchaguzi hakuna. Polisi hawatoshi na wakipiga mabomu wanatawanya wapiga kura wao, nakuwajeruhi
Back
Top Bottom