vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa madudu ya Epstein files, bado unaamini Israel ni taifa teule?

    Kwa ule uchafu wa Epstein's file bado kuna mjinga anaamini Waisrael ndo taifa teule? Jeffrey Epstein ni mteule? Trump ni mteule? Netanyahu ni mteule? Cha kufurahisha hizo files hakuna Kiongozi wa Iran hata mmoja, hayupo Saddam wala Gadafi, Wala Putin Wala Xi jinping, wala Maduro wala Fidel...
  2. JamiiForums Tanzania Huyo mwenza wako wa maisha anasemaje kuhusu vita vya US-Israel-Iran na siasa za kimataifa kwa ujumla?

    Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
  3. JamiiForums Tanzania 50% ya senta za kurusha makombola zimeharibiwa, meli vita 11 zote zimezamishwa, uongozi wa wenye mamlaka makuu umesambaratishwa, iran waombe pooh tu.

    Hapo bado nchi za guba hazijaanza kurudisha mashambulizi. Ni wakati saahihi sasa waajemi waangushe mamlaka ya kigaidi.
  4. JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya maudhui yaliyotengenezwa kwa AI kufuatia vita ya Iran, Israel na Marekani

    Kufuatia vita iliyoibuka kati ya Iran, Marekani na Israeli kumeibuka video mbalimbali kuhusu mashambulizi yaliyofanyika huko lakini nyingine si halisi bali zimetengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Unde (AI).
  5. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu: Vita na Iran haitadumu kwa miaka, inaweza kufanyiwa maamuzi

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema anatarajia vita dhidi ya Iran “haitaendelea kwa miaka mingi,” wakati mzozo huo ukiendelea huku Israel akilenga zaidi kushambulia Hezbollah wanaoungwa mkono na Iran nchini Lebanon, na Iran nayo ikishambulia nchi za Ghuba zinazohifadhi kambi za...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Askofu Suguye kuhusu vita ya Marekani, Israel na Iran asisitiza siyo vita ya Kidini

    Haya sasa wale wachambuzi wa hii vita wanaodai ni ya kidini kati ya wayahudi-Israel na Waislam upande wa Iran, Kwa upande wangu naunga kauli hii ya askofu. Hii vita tuache kabisa kuihusisha na masuala ya dini, hawa jamaa issue yao kubwa ni nani ana nguvu na ana nini ambacho ni tishio kwetu...
  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya raisi wafuatano wanaweza kuingiza dunia kwenye vita kwasababu wana tatizo la wenge

    Donald Trump Ni raisi mwenye chokochoko hana tofauti na kidawa mpenda kufunua Makaburi na vyungu vya sumu ambavyo havikutakiwa kufunuliwa, kesha funua vyungu vingi vipo wazi vinatema sumu na sasa dunia nzima inakohoa Kim Jong Un Ni raisi mwenye mikono inayowasha sana anapenda kuchezea moto...
  8. M

    JamiiForums Tanzania AI inatumika sana kwenye vita hivi

    Kwenye hii vita kumejaa sana video za AI na picha za AI Unakuta kabisa mtu anakutumia video au picha ya ndani ya israel eti bomb limepiga hapa wakati kwasasa kwa muujibu wa taarifa wananchi wote wamekimbilia shelters yeye hizo picha kazitoa wapi ? Jamani mtatuua na AI
  9. JamiiForums Tanzania Vita inataka kunukia #Tujiandae #kwa #lolote

    Vita inataka kunukia #Tujiandae #kwa #lolote
  10. JamiiForums Tanzania Hii vita mpya mitandao inatuchanganyia na AI

    Nafuatilia kwa karibu sana mitandaoni hii vita vya Iran marekanani na Israel.. Ni wazi sasa propaganda imehamia kwenye AI kwa asilimia 100 Video zinazorushwa kina AI nyingi sana mpaka kuna baadhi unashindwa kutofautisha halisi na feki Lakini pia ni mwanzo wa vita ijayo itakuwa ni laser war tupu...
  11. JamiiForums Tanzania Derby ya Simba na Yanga yakosa ufuatiliwaji mitandaoni kisa Vita ya IRAN

    Ukitizama uchambuzi wa mitandaoni sasa ni habari za Iran na Marekani na Israel. Hakuna uchambuzi au kelele au shamlashamla kuelekea mechi ya derby itakayopigwa jioni. Hakuna habari yoyote ya Bongo inayotrend kwa sasa
  12. JamiiForums Tanzania China yaipa onyo USA na Israel isitishe Vita Mara moja

    Serikali ya Beijing imetoa karipio kali na kuitaka USA na Israel kusitisha kushambulia Iran la sivyo itachukua hatua Kali kwa muda sahihi Source : msemaji wa serkali ya Beijing
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuitwa mwanaume, si lazima upigane vita na Marekani na Israel

    Juzi kati hapo sisi Tanzania, tuliwaita wazungu Who are you! Siyo kwamba tunaweza kabisa kabisa kuwadunda, la sivyo, ila wajue tu kwamba, na sisi ni wanaume, na wakija juu watake kutupiga, tunazo meza kibao za mazungumzo ili tu tubaki kwenye uanaume wetu! Inatosha kuwa mwanaume hata...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Khamenei mzima yuko kwenye medani anaongoza Vita.

    Anasema Viongozi wote wa Nchi mpaka mda huu wako salama na Ayatollah Alli Khamenei anaongoza vikosi katika uwanja wa vita.
  15. JamiiForums Tanzania Sababu za Marekani kutaka Vita na IRAN

    1. Hatari ya silaha za nyuklia Marekani inaona mpango wa nyuklia wa Iran kama tishio kubwa—inamshutumu Iran kutaka kujenga silaha za nyuklia (na wakati huo Iran inasema ni kwa matumizi ya amani tu). Marekani inadai inataka kuzuia Iran isipate uwezo wa nyuklia kamili kwa maana ya tishio la...
  16. JamiiForums Tanzania Vita ya ufahari, gharama ubabe na kupimana ubavu

    https://www.facebook.com/share/r/19UEzPsz9d/
  17. JamiiForums Tanzania Vita itageuka kuwa ya Waarabu tu, hakuna Marekani atakayeumia

    Sasa Iran anazishambulia nchi za waarabu wenzake ikiwemo nchi yao ya Saudi Arabia yenye chimbuko la wavaa kobazi alafu unakuta mvaa kobazi wa Yombo Vituka au Bonyokwa anashangilia Iran kuwapiga makombora wavaa kobazi wenzake. Marekani yeye anakuletea vita mlango kwako either utake au usitake...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Vita mpya mashariki ya kati

    Mnamo tarehe 28 Februari 2026 saa tatu asubuhi Israel imeshambulia Iran mjini Tehran wakiita ni shambulio la "pre emptive strike". Shambulio limepewa jina la "Operation Judah". Maeneo yaliyoshambuliwa ni makazi ya Rais wa Iran Masoud Pezeshkian na kiongozi wa dini na kiongozi mkuu wa Iran...
  19. JamiiForums Tanzania M23 itegemee matokeo zaidi ya vita ya drone

    Ulimwengu sasa sio wa vita ya vifaru na RPG ,ulimwengu wa drone za kivita ndio maana wenye akili sasa wanawekeza kwenye kuziunda ,kuzitumia na kuzi jamm,sasa sijui m23 wamejiandaa kwa elimu ya jamming kwa sababu hili ni jambo mtambuka hata ukraine anahangaika bila mafanikio Hitimisho Jeshi la...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna. Ni vita tu!

    Kwa wanaofuatia kwa karibu, Rasi wa Marekani Donald Trump, kwa kweli hakuitaka hii vita dhidi ya Iran. Si kwa sababu ghafla amegeuka Baba Mtakatifu, la, bali timing si muwafaka kabisa kwake. Mwishoni mwa mwaka atatakiwa kwenye kura aonekane bado ana ushawishi, la sivyo atamaliza miaka miwili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…