vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Raia huko Gaza waanza kushangilia usitishwaji vita

    Huko Gaza, "raia" wale wa Wanajihadi wa Nazi waliosherehekea mauaji ya tarehe 7 Oktoba sasa wanasherehekea usitishaji vita unaokuja kwa sababu wanaona huu kama ushindi mkubwa. "Njaa" hiyo yote ilitoweka ghafla. Ikiwa hatutafanya kitu kikali baada ya mpango huu, tutalipa hii katika miaka 20...
  2. Malengo makuu ya Vita ni Kuishi na kushinda; sio kujitoa mhanga

    MALENGO MAKUU YA VITA NI KUISHI NA KUSHINDA; SIO KUJITOA MHANGA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Unapoingia kwenye vita yoyote jambo la kwanza unapaswa kuangalia uwezekano wa kuishi upo. Kuyalinda maisha yako. Hilo ndilo jambo la kwanza. 2. Jambo la pili, kama uwezekano ni mdogo je kuna...
  3. Wataalamu wa sayansi ya vita na coup d'etat. Swali kwenu

    Kwema? Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi? Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye? Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi...
  4. Miaka 2 ya vita vya Israel dhidi ya Hamas, Hezbollah na Houthi. Nani kashinda?

    Oktoba 7, 2023 ndipo Hamas walivamia watu waliokuwa kwenye starehe na kuwafanya mateka. Nini kiliendelea? Viongozi Muhimu wa Kisiasa na Kijeshi Waliouawa Baada ya Operesheni Mafuriko ya Al-Aqsa mwezi Oktoba 2023, Israel imefanya mfululizo wa mauaji yaliyolengwa dhidi ya viongozi mashuhuri wa...
  5. Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi

    Nawasalimu nyote kwa isani ya maandamano ya amani 29 October Watanzania ambao ni wanajeshi msikubali wanasaiasa wenye tamaa za madaraka kusababisha vita vya sisi kwa sisi kakikundi kidogo chenye tamaa za madaraka na vitoto vya shetani vinatka kumwagilia mafuta wananchi na majeshi kumwagana...
  6. Watu zaidi ya Milion mbili walijitokeza kwenye maandamano ya kupinga vita vya Israeli.

    Maandamano hayo yalioyotokea katika miji mikubwa ya italia yenye wito wa kuupinga uhusiano wa kifedha, kisiasa na kijeshi kati ya Italia na Israel, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inaingia Gaza bila vizuizi.  ******* Hauitaji kuwa na upande kwenye kukemea maovu moyo wa utu haujafungwa...
  7. Hamas imejibu mpango Trump kumaliza vita Gaza, na kukubaliana sehemu kadhaa ikisema baadhi ya vipengele vinahitaji mazungumzo zaidi.

    Wanaukumbi. Baadhi ya nchi kama Qatar, Misri, Uturuki, Pakisatan, Jordan, Falme za Kiarabu, Iran na Ulaya, kuomba Hamas kukubali mpango wa Amani. Hamas imewasilisha majibu yake kwa makubaliano ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kusitisha mapigano Gaza, ikikubali kuwaachilia mateka wote wa...
  8. H

    Hamas Waridhia Mpango wa Trump wa Kukomesha Vita Gaza

    Hamas wametoa jibu kwa mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Hamas wamesema kuwa kimsingi wanakubaliana na mpango huo, wanachohitaji ni kujadili undani wa utekelezaji. Mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, unawataka Hamas kuwaachilia mateka wote ndani ya masaa 72 tangu wakubali, Israel...
  9. H

    India yaukubali mpango wa Trump wa kukomesha vita Gaza. Yataka Mataifa yote yaunge mkono

    Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango huo unalenga kuleta amani, usalama na maendeleo kwa wapalestina, waisrael na Asia Magharibi yote...
  10. Kumbe Trump kamaliza vita vya DRC Congo na waasi,Rwanda!

    Kweli wazungu wana akili sana, mungu awabariki.
  11. Medvedev: NATO kuilinda anga ya Ukraine ni 'tangazo la vita'

    Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema uamuzi wa nchi za Jumuiya ya Kujihami ya NATO wa kuilinda anga ya Ukraine itakuwa ni kama tangazo la vita. Medvedev amesema kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram kwamba kutelekeza wazo la kuiwekea Ukraine ulinzi wa anga na kuyaruhusu mataifa ya...
  12. Trump aibadili jina Wizara ya Ulinzi Marekani kuwa Wizara ya Vita

    DJT anaendelea kuwapeleka mbio Wamarekani, sasa Department of Defense(DoD) imekuwa Department of War(DoW)
  13. Upi ni mstari wako pendwa katika kitabu cha biblia unaokupa nguvu, faraja, amani, tumaini, silaha/ushindi katika vita vya kiroho?

    1)Zab 68:20 Mungu kwetu sisi ni Mungu wa kuokoa; Na njia za kutoka mautini zina YEHOVA Bwana. 2)Yohane 14:13 Na chochote mtakachoomba kwa jina langu nitafanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. 3)Zab 46:1 Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, Msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso...
  14. R

    Kupanda majukwaa ya kisiasa ni vita kama vita zingine, tuwaombee wanasiasa

    Salaam! Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia. Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi...
  15. Xi Jinping aitaka Dunia kuchagua amani au vita. Trump asisitiza gwaride la China halimtishi.

    #HABARI Rais wa China Xi Jinping ameonya kuwa dunia inakabiliwa na chaguo kati ya amani au vita siku ya leo Jumatano Septemba 3, 2025 alipokuwa akifanya gwaride kubwa zaidi la kijeshi nchini mwake, akiwa na Vladimir Putin wa Urusi na Kim Jong Un wa Korea Kaskazini. Wakati viongozi wa nchi za...
  16. Israel yatangaza vita rasmi Gaza

    Jeshi la Israel limeanza oparesheni kubwa za kijeshi pembezoni mwa jiji la Gaza hatua inayoashiria maandalizi ya kuutwaa kikamilifu mji huo, huku ikiapa kuongeza mashambulizi kwa lengo la kuzidisha shinikizo la kuachiliwa kwa mateka waliosalia na kulitokomeza kabisa kundi la Hamas. Hatua hiyo...
  17. Nini Kipo nyuma ya mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya na ujangili?

    Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa ujangili hausikiki tena. Je NI jitihada za serikali ya awamu hii au takwimu tunazopewa hazina uhalisia au...
  18. M

    Tuzidi kuiombea nchi yetu amani, maelewano yanapokuwa hayana nafasi Vita hunukia, Tafadhali tusifike huko

    Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, matamko, harakati za mitandaoni, malalamiko, n.k. lakini na huko wakianza kufunga viongozi wa...
  19. Kwa maana hii Ukraine wameshindwa vita

    Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda
  20. Vita ya wangoni na wandendeule, na asili ya wandendeule

    VITA YA WANGONI NA WANDENDEULE NA ASILI YA WANDENDEULE. Kabla ya kujua habari ya vita kati ya Wangoni na Wandendeule yafaa tujue kwanza historia fupi juu ya kabila la Wandendeule ambao walikuwa ni wenyeji wa nchi ya ungoni ya leo, pia tujue historia fupi ya kabila la Wangoni aina ya Kizulu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…