vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Isreal yakiuka makubaliano ya kusitisha vita

    Photos: UN, Red Crescent staff rescue man shot by Israeli forces in Gaza The incident took place on main road in the Zeitoun district on the southern outskirts of Gaza City. https://x.com/qudsn/status/1728336182671479295?s=20 Nb Siku Israel ataporipuwa Vatican ndio wakiristo wa Buyu...
  2. Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

    Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa. Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam. Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua...
  3. Mshindi wa vita vya mashariki ya kati ni yule mwenye kumiliki jiji la Daudi au Jerusalem

    Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji...
  4. K

    Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

    Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa. Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
  5. Vita, vibali, kuta na mageti vinatumika kama silaha kutaka kuimaliza Palestina

    Israel tangu kuundwa kwake limekuwa ni taifa hatari sana kwa usalama wa wenyeji waliowakuta na usalama wa majirani zake wote na hata kwa ulimwengu mzima. Taifa hilo linaongoza kwa kupinga maazimio ya umoja wa mataifa na hata kuvunja mikataba inayowekeana na majirani zao. Kwa ujumla ni taifa...
  6. The sinicization of religion (vita ya China dhidi ya dini)

    The Sinicization Of Religions In China Huu ni utaratibu maalumu unaofanywa na nchi ya China kuzifanya dini zote za ng'ambo ziendane na utamaduni na mfumo mzima wa maisha wa jamii ya kichina. Utaratibu huu umeanza karne na karne na umekuwa ukipitia maboresho kadhaa mpaka sasa chini ya China ya...
  7. Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

    Mazayuni wamekubali masharti yote ya kusitisha mapigano yaliyowekwa na Hamas kinyume ma matakwa yao. Hivi sasa mapigano yamesimamishwa rasmi huko Ghaza. Jana niliandika hivi: - Mazayuni wa Israel wasalimu amri na kukubali masharti yote ya Hamas ya kusitisha mapigano baada ya kuchezea kichapo...
  8. Jordan imeshapeleka jeshi lake mpakani tayari kwa vita na Israel

    Baada ya muda mrefu wa ukimya jana Jumanne serikali ya Jordan imeongeza idadi ya askari na vifaa vya kivita mpakani na Israel tayari kwa mapigano iwapo Israel itaendelea kuhatarisha usalama wao na kuvunja mkataba baina yao. Hayo yamebainishwa na waziri mkuu wa Jordan,Bisher Khasawneh...
  9. Aliyepewa jina la mfu anayetembea, Yahya Sinwar anaongoza mjadala wa kusimamisha vita mwenyewe akiwa Gaza

    Kiongozi mkuu mkazi wa Hamas,Yahya Sinwar amekuwa akiongoza majadiliano kwa umakini kwa kushirikiana na kiongozi mwenzake wa kisiasa Ismail Haniye aliyeko Qattar. Majadiliano hayo yanayosimamiwa na Marekani na Qattar kuhusu vita baina ya wapalestina na Israel yametajwa kukaribia kufikia...
  10. Vijana wa Ukraine wakimbia usajili katika jeshi na hawakamitiki tena

    Kama ilivyotabiriwa hapo mwanzo kuwa Ukraine haitoweza kuendeleza vita na Urusi baada ya muda si mrefu. Hali hiyo sasa imefika wakati wake ambapo vijana waliotarajiwa kujiunga na jeshi sasa wanakimbia kwa mbinu zote kuelekea mataifa ya nje.hasa Moldova, Poland na Hungary. Baada kuona wakipita...
  11. Mataifa ya kiislamu yamepanga kwenda China kuomba isaidie kusimamisha vita vya Gaza

    Halafu ikumbukwe China ni kafir kabisa kila tunapoitwa makafir na wao wanajumuishwa humo ila hata hivyo mataifa yameona hamna namna ila kumfuata kafir asaidie. Hata hivyo na mimi hapa nakazia, itabidi Israel iambiwe sasa tosha, sio kwa mateso yale....jameni wameskia na haitokuja warudie kosa...
  12. Kama Iddi Amin angekuwa na full support ya jeshi then vita ya Kagera ingekuwa ndefu sana na ingetugharimu kiuchumi vibaya mno

    Uganda tayari ilikuwa fractured kuanzia serikalini hadi kwenye jamii. Watu wa Uganda waliishi kwa kumuogopa dadaa ila hawaku muheshimu. So vita kutoka Tz ilikuwa ni fursa kwao kwa maana wanajeshi wa Tz walikuwa wanapata support kwa kila kituo walichokuwa wanafikia na naamini jeshi letu...
  13. Kumekucha: Israel yatangaza ipo tayari kwa vita na yeyote Middle East na mbaya wake yeyote. Mbwai Mbwai tu

    FORCE OF IRON Major General Tomer Bar made the chilling warning in an TV address today Pichani :Meja Generali Tomer Bar ametoa Onyo kwenye Televisheni leo Israel vows they are ready to bomb across ‘entire Middle East’ in major warning to Iran and Hezbollah Israel wanajivunia kuwa wapo Tayari...
  14. R

    Erick Kabendera: Rais Samia “Thucydides Trap” haitakuacha salama

    Kwenye historia ya vita na mahusiano ya kimataifa, kuna nadharia inaitwa “Thucydides Trap” ambayo utumika kuelezea ulazima wa kutokea mgogoro au vita endapo taifa linalochipukia linapotishia kulizidi nguvu na ushawishi taifa lenye nguvu. Kama wewe ni msomaji wa siasa za Nicollo Machiavelli...
  15. Ona jinsi Israel itakavyoshindwa vita safari hii ambako wengi hawajaona

    Wale wasio na uelewa mpana wa mwenendo wa vita wanapima mafanikio ya vita kwa kuwa na ndege nyingi za kijeshi na vifaru na kupiga mabomu mazito kwa mfululizo. Wanapima pia kwa vikosi vya jeshi fulani kuweza kuingia mpaka ndani ya ngome ya mpinzani kwa muda. Vitu vinavyotakiwa kupimwa ni zaidi...
  16. Wanaume tunapenda hatari

    Kuishi kwa hatari ndio jadi yetu Wanaume. Tokea utotoni michezo yetu mingi ilihusu mapambano, kuuwana, na kuchinjana. Nakumbuka tulikuwa tukipiga kelele kali sanaa kutokana na hashishi iliyoletwa na michezo yetu ya maigizo. Sasa tumekuwa wakubwa mambo ya kuigiza hamna tena, ila kuna vitu viwili...
  17. Maisha ya mateka 70 kwa kusitisha vita siku 5. Nini faida na hasara ya utekelezwaji wake?

    Wapiganaji wa kikosi cha kijeshi cha Hamas cha Alqassam wamerudia mara nyingi katika wiki kwamba wako tayari kuachia mateka 70 inaowashikilia kwa sharti kwamba vita visitishwe kwa siku tano tu na kuruhusu misaada kuwafikia watu wa maeneo ya Gaza. Kwa maelezo ya waandishi wa habari viongozi wa...
  18. Z

    Gharama ya vita ya Israel ni US dollar 260 milioni kila siku

    Vita dhidi ya Hamas inaigharimu Israel dolla za kimarekani 260 milioni kila siku (sawa na 260,000000 x 2500 = 650,000,000,000 TZ sh). Hii imeelezwa na Idara ya fedha ya nchi hiyo. Hiki ni kiwango kikubwa kuliko walivyotarajia hapo awali. Wakati huo huo pato la nchi limepungua, kutokana na...
  19. Israel iko hoi kiuchumi baada ya kujiingiza Gaza. Ikiwa ni mwezi wa pili tu. Hamas wamelipandisha deni lake mpaka 8 bn Dollar

    Vita kati ya taifa kubwa la Israel na wanamgambo wa Hamas vikiingia mwezi wa pili tayari serikali ya taifa hilo imeshaingia hasara kwa kuongezeka deni lake kwa dola bilioni 8.sawa na shekel bilioni 30. Waziri wa fedha wa taifa hilo amesema deni hilo limetokana na serikali kugharamia shughuli...
  20. Umasikini ni adui wa kupiga vita

    Habari za muda huu wana jF Katika tukio la kusikitisha na la majonzi ,huko mkoani Tanga , mwanamke mmoja amefariki wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma ya matibabu ambayo alitakiwa kulipa TSH 150,000 kwa ajili ya operation kwa mujibu wa taarifa ya chanzo cha habari kilivyoeleza. Inaelezwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…