vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Israel imeipiga Gaza kwa makombora yenye uzito mara 3 ya ule wa kombora la nuke lililopigwa pale Hiroshima

    Ukielezea kuhusu Israel utasikia kila mtu akizungumzia six days war, operation Entebbe na covert operation ambazo walifanya pale middle east. Watu inabidi waelewe hizo story zilipendwa, ni kama miaka ile wazee wetu wanakuambia Peugeot 504 ni gari inakimbia sana, au 90's tunasikia Land Cruiser...
  2. Jeshi la Israel laweka ndege zake mkao wa vita dhidi ya yeyote

    Israel iko tayari kumaliza huu ugomvi wa muda mrefu, ifahamike moja kuwa nani mbabe ukanda huo, nani anayemuabudu Mungu wa kweli, hamna haja ya mikwara oohh masaa 48, yaani fanyeni kweli, mlipigwa tena kwenye unalozi. IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari in a press statement says Israel is...
  3. Kwanini vita ya Urusi na Ukraine sio kali sana ila waliokufa ni wengi kuliko ya Israel na Hamas?

    Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
  4. Kwanini unyanyasike wilaya za watu ni bora ukavipigane vita wilayani kwako

    Kwa jinsi uchumi wa sasa ulivyoulivyo ni wazi kinyang'anyiro cha Hela kimeongezeka yaani vita ya uchumi baina ya mtu na mtu imekuwa kubwa mno hali inayopelekea baadhi ya wakubwa hasa maboss kuwaonea watendaji wadogo ilimradi tu wao wapate Hela peke yao walipe madeni yao kwanza, wajenge majumba...
  5. Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    "Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha. Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
  6. Israel huenda ikaifungia Al-jazeera kufanya kazi nchini humo

    Israeli parliament passes law paving the way for Al Jazeera closure Prime Minister Benjamin Netanyahu promises to use the law to shutter local operations of Al Jazeera. Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has promised to “act immediately to stop” Al Jazeera’s operations in the country...
  7. PreGE2025 Mrisho Gambo anachekelea sana vita ijayo, baada ya kuletewa Jembe!

    Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva. 'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa cheo au kapanda ila ndiye yeye, mara mama kakosea, wengine huko wanasema ooh kamalizwa na msoga gang...
  8. Israel maji ya shingo yakiri bila msaada wa Marekani haiwezi kushinda vita dhidi ya Hamas

    Israel may not be able to destroy Hamas despite five months of intense fighting in Gaza, intelligence officials have admitted. The main objective of the Gaza invasion faces failure as international support turns against Israel, sources warned. Israel believes it has dismantled Hamas’s main...
  9. Russia mbioni kufanya shambulio kubwa katika historia

    🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Jeshi la Urusi linajiandaa kufanyq shambulio kubwa katika historia toka SMO ianze 🚨🚨🚨FLASH FLASH FLASH: Russia Prepares To Launch Revenge Attack on Ukraine!!! Largest military strike in recent history about to happen!! - 14x Tu-95MS, nuclear capable bombers (Angel of...
  10. Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

    Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu nasema bali nasema kwa sababu zipo nadharia nyingi zinazoonesha kuwa ni kweli maeneo hayo ukumbwa na...
  11. Matrillion yatumiwa katika vita

    Gharama ya vita ni kubwa sana.“Matumizi ya vita yamefikia dola trilioni 2.2 katika vita mbalimbali ulimwenguni pote. Kiwango hicho hakijawahi kufikiwa wakati mwingine wowote.”—The Washington Post, Februari 13, 2024. Hata hivyo, gharama zinachangiwa na mengi zaidi ya pesa. Fikiria mfano mmoja...
  12. Ripoti:Saud Arabia na Falme Za Kiarabu Zachochea Vita Ya Israel Kujilinda Dhidi Ya Magaidi Wa Hamas

    My take :Waarabu pia wamechoshwa na ugaidi wa Hamas. .... https://www.middleeastmonitor.com/20240321-saudi-uae-among-states-fuelling-israels-offensive-on-gaza-report-finds/
  13. Tatizo la Tanzania halikuwa ujamaa wala vita vya Kagera bali ombwe la uongozi

    Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's: 1. VITA VYA KAGERA, 2. UJAMAA, 3. HUJUMA ZA KIBEPARI, 4. ANGUKO LA UCHUMI WA DUNIA MIAKA YA 70's 5...
  14. Vita kali kati ya Wamasai na Wachaga, 1820,s

    Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama wao. Katika mwendo wao wa kuhama waliingia nchi za tambarare zilizo chini ya mlima Kilimanjaro kwa...
  15. Marekani yaacha kuiendekeza Israel. Yapeleka azimio UN kutaka vita vya Gaza visitishwe bila masharti yoyote

    Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka. Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani...
  16. CPJ: Wanahabari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 wameuawa katika vita vya Israel na HAMAS

    Kufikia Machi 20, 2024, uchunguzi wa Shirika la Kimataifa la Kutetea Waandishi wa habari (CPJ) unaonesha kuwa takribani waandishi habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari 95 ambao ni miongoni mwa zaidi ya watu 32,000 waliouawa tangu vita vilipoanza Oktoba 7—ambapo zaidi ya Wapalestina 31,000...
  17. L

    Marekani, nchi inayotamka haitaki vita wakati inaanzisha vita hivyo!

    Hivi karibuni, Marekani ilitangaza kwamba imefanya mashambulio ya anga katika maeneo 85 nchini Iraq na Syria, dhidi ya Kikosi cha Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran na makundi ya silaha yenye uhusiano na Kikosi hicho. Mashambulio haya yameharibu zaidi uhusiano kati ya Marekani na Iran, ambao tayari...
  18. Jaribio la Israel kuitawala Gaza limeshindwa na vita vinaendelea eneo lote katikati ya njaa kali

    Taarifa zinazotolewa na vyomba kadhaa vya habari vinatoa picha ambayo si nzuri kwa Israel ikiwa ni mwezi wa tano tangu vita vianze. Mfano mapigano makali yameripotiwa kaskazini ya Gaza ambapo pande zote mbili zimepata hasara.Vita hivyo vimepiganwa karibu na hospitali ya Alshifaa eneo ambalo...
  19. Tulipogomea Msaada Chanjo za Covid mlitupiga Vita sana. Sasa hadi Condom za Msaada hatutaki nazo

    Mkaanzisha na uhamasishaji tuchanjwe. Msaada wa mchele tunakataa sababu hauna manufaa kwetu sisi baadhi ya watu. Usaid watoe pesa waone kama tutakataa... Mchele hatuwezi chukua peleka majumbani kwetu. Hauna faida kwetu. Next time watoe mkwanja tukanunue mchele hata Kenya( kwa ambao wananunua...
  20. Band of Brothers: Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii

    Series hii inahusu harakati za askari wa miamvuli wakati wa WWII. Hakuna series wala movie ya kivita kali kama hii.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…