vita

Nușeni (Hungarian: Apanagyfalu; German: Großendorf) is a commune in Bistrița-Năsăud County, Transylvania, Romania. It is composed of seven villages: Beudiu (Bőd), Dumbrava (Nyírmezőtanya), Feleac (Fellak), Malin (Almásmálom), Nușeni, Rusu de Sus (Felsőoroszfalu) and Vița (Vice).
At the 2011 census, 74.4% of inhabitants were Romanians, 25% Hungarians and 0.5% Roma.

View More On Wikipedia.org
  1. Japan ni kama wamesahaulika katika Ulimwengu wa Vita na Silaha?

    Hawa jamaa huwaoni wakionesha onesha silaha zao. Huwasikii wakitishiana na mtu au kupiga mkwara. Lakini rudi miaka ya nyuma katika vita utawasikia kwa uzuri. Nenda kawaulize wachina. Watakuambia. Jamaa kwenye technology ni wazuri sana. Na hawana ubabaishaji. Wanatengeneza vitu vya ukweli na...
  2. Kuamini Hezbollah, Hamas, wanaweza kumpiga myahudi jwa vita hivi ni unyanyasaji

    Katika vitu ambavyo nawalaumu ndugu zangu wa uislam ni kujitoa akili kuamini kuwa magroupe ya hamas,hezbollah wanaweza kumpiga myahudi Huu ni ujinga na unyanyasaji wa haki za binadamu Myahudi sio mkristo ila ndugu zangu myahudi akili zake haziko Sawa na ni mtu wa vita sisi tuombe tu amani uko...
  3. Kushabikia vita vinavyoendelea huko Mashariki ya Kati ni kukengeuka

    Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu! Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini kitu ambacho si kweli.Ukiingia mitandaoni watu wanabishana mpaka kutoleana maneno makali kisa vita...
  4. Irani wamejiandaaje kukabiliana na vita na Israel baada ya Trump kushinda?

    Kwa wanaokumbuka namna Trump alivyomwambia Netanyau apige Iran's nuke sites, wanajiuliza. Sasa Trump kapenya. Nini kitafuata kama alikuwa hatishi? Je akili za Trump sawa na waliomchagua zinamtosha kuona madhara ya vita na wairani? Je Ukraine waliozoea kubebwa sasa wanajiandaa kukubaliana mbabe...
  5. Vita ya Iran na Israel kuikosesha ubingwa Liverpool

    Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati. Hii vita ya majibizano kati ya taifa teule Israel na Iran itapelekea kuwa vita kamili na kuwa vita ya tatu ya dunia. Kwa...
  6. K

    Vita vya kuingizwa Israel inaiingiza marekani

    Hii clip tazama Israel Netanyahu anajaribu kila njia kuwaingiza wamarekani kwenye vita kuipiga Iran, kama alivyofanya kwa Iraq, Huyu jamaa anapenda kuona umwagaji wa damu. Hapendi Amani. https://youtube.com/shorts/UU7ZESW0NtU?si=FKjt0CABqj2SkjeB
  7. Armageddon: Nuclear Winter - Matokeo ya vita vya nuclear na Mwisho wa mwanadamu kuishi duniani

    Utangulizi Za leo wana JF. Kama kawaida yangu katika kuelisha watanzania ili waweze kuijua kweli. Matishio haya na uvumbuzi wa hizi silaha za maangamizi hayana nia njema katika dunia yetu hii. Leo nitaongelea kuhusu Mabomu ya nuclear na matokeo ya Neclear Winter na mwisho wa binadamu kuishi...
  8. Maajabu ya Israel (Taifa lipo katikati ya dunia )

    Taifa la Israel lipo katikati ya dunia kigeographia. Ni karibu kwenda Asia, Africa, Europe. Mungu alichaguwa eneo hili ili litumike kwa ajili ya kueneza habari zake Ilikuwa rahisi kuleta injili Africa, Asia na Europe. Mungu ni fundi Wapagani kama kawaida yao watabisha
  9. HAMAS: Tuko tayari kwa makubaliano yoyote ili vita iishe

    Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
  10. Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Wanaukumbi. Mambo yamekuwa magumu kwa Israel, sasa wanataka makubaliano hamna tena habari za malengo ya Netanyahu. Nguvu sio kiini cha kila kitu Kutambua wajibu wetu wa kimaadili na kimaadili kuwaleta mateka wetu nyumbani itabidi kufanya makubaliano yenye uchungu "Sio malengo yote inaweza...
  11. Putin amechoka na Vita na Ukraine. Apongeza wazo la kumaliza vita yake na Ukraine

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema uhusiano kati ya nchi yake na Marekani baada ya uchaguzi wa rais wa Marekani utategemea mtazamo wa nchi hiyo, huku akiyapongeza maoni ya Donald Trump kuhusu nia yake ya kuumaliza mzozo wa Urusi na Ukraine. Putin ameyasema hayo wakati mzozo kati ya nchi yake...
  12. Majeshi ya Korea kaskazini yaingia kuisaidia urusi kwenye vita

    Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
  13. Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

  14. M

    HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

    Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
  15. Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  16. I

    Wanajeshi wa Korea Kaskazini wako nchini Russia kuisaidia nchi hiyo kwenye vita vyake na Ukraine

    Huduma ya Kitaifa ya Ujasusi ya Jamhuri ya Korea imetoa picha za satelaiti zinazodaiwa kuwaonyesha wanajeshi wa DPRK katika uwanja wa mazoezi wa Sergeevka huko Primorsky Krai, karibu na Vladivostok, na katika kituo cha kijeshi huko Khabarovsk. Inadaiwa kuwa vikosi vya ziada vya DPRK vimewekwa...
  17. A

    Sababu kuu za vita na mgogoro kati ya Israel na Lebanoni

    1. Mgogoro wa Nchi na Mipaka: Mgogoro wa ardhi ni moja ya chanzo kikuu. Eneo la kusini mwa Lebanon, hasa Shabaa Farms, ni sehemu yenye utata ambapo Israel na Lebanon wanadai umiliki. 2. Kundi la Hezbollah: Hezbollah ni kundi la wanamgambo na kisiasa lenye makao yake Lebanon, ambalo linapinga...
  18. Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
  19. Vita kuu ya tatu imekaribia, maandalizi yamekamilika, dunia kupata mtawala baada ya machafuko

    Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo. Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
  20. Sheria ya kimataifa ya vita kiuhalisia haitekelezeki

    kuna sheria inasema kwamba mwanajeshi aliyeishiwa risasi akijisalimisha kwa jeshi la upinzani anapaswa aheshimiwe na alindwe apewe huduma za afya chini ya uangalizi. Tukija kwenye uhalisia assume hata wewe upo kwemye uwanja wa mapambano halafu adui yako aliyekuwa anataka kukuaa amekukosa kosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…