virusi vya ukimwi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Boldly

    JamiiForums Tanzania Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Wakuu habari! Nilikuwa sehemu fulani jirani yetu kuna watu wengi wamekusanyika wanamuangalia Mchungaji Mwamposa kwenye TV. Mara nasikia kuna mdada anatoa ushuhuda kuwa ameponywa V.V.U Kabisa. Hili suala la Mwamposa kuponya V.V.U kwangu naona ni uongo wa mchana kweupe. Au ni kweli?? Kwamba...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Mlipuko wa COVID-19 unaweza kuongeza maambukizi ya Virusi vya UKIMWI Afrika

    Ukanda wa Afrika Magharibi na Kati unaweza kushuhudia ongezeko la maambukizi na vifo vinavyohusiana na VVU katika miaka mijayo kutokana na Huduma za Afya kuathiriwa na Mlipuko wa Virusi vya Corona. UNAIDS imesema Huduma za Afya zimeathiriwa kwa kiasi kikubwa na janga hilo, hali iliyolazimu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Je, ujauzito ni hatari kuliko UKIMWI?

    Ni kweli kwasababu ya utandawazi, mambo yanabadilika. Namna za kuishi pia zinabadilika, mapokeo nayo kutoka kizazi hadi kizazi yanabadilika. Je hekima imesafiri? Au amepotea njia? Au maarifa ya utandawazi yamebadilisha maana ya hekima? Je ni kweli kwa kizazi hiki mimba imekua ni ugonjwa hatari...
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jamii ya sasa na njia za kukabiliana dhidi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI na ugonjwa wa UKIMWI

    Kwa jamii yetu ya Sasa ni ngum Sana kumtambua mtu anayeishi na maambukizi ya virusi vya ukimwi, au mgonjwa ukimwi kwa kumuangalia kwa macho ya kawaida bila kufanya vipimo vya kisayansi MAKUNDI AMBAYO YAPO HATARINI SANA KUPATA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI; 1. Watu wanao tumia madawa ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimi, UKIMWI na tiba binafsi ya Uchanya

    UKIMWI ulikuwapo, upo na bado utaendelea kuwepo mpaka hapo mkono wa heri utakapofanyika tiba ili kukomesha janga hili. Kiufupi Ukimwi bado unayachukua maisha ya ndugu zetu makundi kwa makundi. Kwa ndugu zangu ambao ni waraibu wa ngono nakuaseni kwamba pindi tunapofanya basi tufanye kwa kinga na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Utambue 95-95-95: mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
  7. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Utambue 95-95-95: Mpango utakaosaidia kupunguza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) na kupunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI

    Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa. KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
  8. Nisamehe tu

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kupata virusi vya UKIMWI

    Habari za wakati huu Ndugu, Natumai mu wazima wa afya ,Nawasalimu katika jina la ( JAMHURI YA MUUNGANO )Wakubwa shikamooni wadogo habari za mida,,pasipo kupoteza muda hii ni historia halisi ya maisha yangu ,lengo ni kumtaka aliye tayari awe Ndugu yangu ila nina uhitaji wa mtu kama baba au...
  9. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu amepata maambuki ya Virusi vya UKIMWI, namuonea huruma. Inabidi arudi kwao Italy

    Kuna jamaa yangu m1 bwana yupo bongo mwaka wa pili huu ila kwa maisha aliyokuwa anaishi anayoish had sasa kiukwel nilijua tu ipo siku kitu kama hiki kingetokea hapa kachanganyikiwa week ya pili hii hata nje hatoki. Huyu jamaa ni muitaliano. Mzungu Og kabisa yaani Kwa jinsi alivyokuwa na list ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mapenzi: Kama asingetumia kondomu huenda angelea mtoto asiyewake au kupata maradhi

    Kevin alikua akifanya mapenzi na Aisha wakitumia kondomu. Waliendelea tendo kwa muda wa dakika tano. Ghafla Aisha akamwambia kevin avue mpira ili waendelee kufanya mapenzi bila mpira wa kondomu. Kwa vile Kevin hakujua hali ya Asha ya UKIMWI na pia hakutaka kumpa mimba. Kevin alikataa...
  11. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania Urembo wangu Unawafanya watu Kutoamini Kwamba nina Virusi vya HIV

    Susan Metta ni mwanamke wa miaka 40 kutoka nchini Kenya. Miaka miwili iliyopita alipopashwa habari za kuwa alikuwa na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa ukimwi,badala ya kukumbwa na simanzi huzuni na machungu, mwanadada huyu anasema kuwa alitabasamu tu na kumueleza muhudumu wa afya aliyekuwa...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Eti virus vya UKIMWI huonekana baada ya muda gani?

    Eti wakubwa, hapa tz, hv vipimo vyetu vya hospital vinaweza kuonyesha kuwa umeambukizwa baada ya siku ngapi baada ya tendo?
Back
Top Bottom