vipaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  2. JamiiForums Tanzania Pasipo shaka shule za vipaji maalum za wasichana zipo

    Ila je bado wasichana wenye vipaji bado wapo???? Wanafunzi kumi bora ni wavulana mwaka huu 2026? Wadau ,
  3. M

    JamiiForums Tanzania Una kipaji gani ila hakikuendelezwa kutokana na mazingira yetu ya kutokukuza vipaji?

    Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana. Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani...
  4. JamiiForums Tanzania Mwalimu Jambau wa Singida apewe tuzo ya heshima na NCHI kwa kuvumbua vipaji vya watoto na kuhakikisha wanakuwa wanariadha wakubwa duniani

    Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa huko Singida ni miongoni mwao. Hauwezi kuzungumzia mafanikio ya wanariadha wakubwa toka mkoani Singida...
  5. JamiiForums Tanzania Bongo Star Search ipo kwa ajili ya kuua vipaji au kuibua vipaji?

    Binafsi naona BSS inaua vipaji vingi sana kuliko inavyoviibua. Kupitia huyu Salama kuna vipaji vingi vimezimwa kwa kauli za kikatili zinazokatisha tamaa. Naona tuikatae Bongo Star Search. Soma alichoandika WAKAZI baada ya huyu binti mdogo kutendewa ukatili...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera BASATA kwa kuua Vipaji na Wasanii, Je, Chini ya Makonda, Sanaa itainuka tena?

    Salaam Wakuu, Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa. BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani. Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha. Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna...
  7. JamiiForums Tanzania Album ya washkaji wenye vipaji

    Washkaji Wenye Vipaji (2002, Cassette) ✍🏾washkaji Wenye Vipaji ni jina la kutaja albamu ya muziki wa kizazi kipya yenye nyimbo mchanganyiko kutoka kwa wasanii mbalimbali wa Tanzania. Wasanii hao ni pamoja na Da Jo, Bad Spack, Neck Breakerz, Manyema Family, Gangwe Mobb , XPlasterz , Nigger II...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sera ya ukuzaji vipaji vya mpira Tanzania

    PROJECT PROPOSAL YA KITAIFA **KAMPENI YA KITAIFA: “TUINUE VIPAJI KWA TAIFA LETU NA MAENDELEO YETU”** Wizara Husika: Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1. UTANGULIZI WA KIMKAKATI Tanzania ni taifa lenye idadi kubwa ya watoto na vijana wenye vipaji vikubwa vya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Watu wa Singida wamewafunika wale wa Dodoma kwa mbali

    Hii ni kwenye siasa wanasema tofauti ni kwamba Singida watoto wao walikuwa wanapelekwa shule za kaskazini kama Ilboru, Weruweru ndiyo imechangia Kitima, Mkumbo, Lissu, Nyalandu, Mwugulu na wengineo wakati Dodoma zilipendwa wakina Malecella na spika Ndugai. Je kuna ukweli?
  10. JamiiForums Tanzania Hawa ni baadhi tu ya wachezaji ambao walirithi vipaji kutoka kwa wazazi wao

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao: 1. Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana. Mama: Fayza Lamari, alikuwa mchezaji wa mpira wa mikono (handball). Kylian Mbappé ameonyesha talanta...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira,wenye vipaji vya uandishi wa habari

    Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga. Kwa mujibu wa tangazo lao , jumla ya nafasi 6. Habari za Burudani & Udaku – nafasi 4 Masuala ya Kijamii – nafasi 2 Miongoni mwa sifa...
  12. JamiiForums Tanzania Israel vipaji maalum wanafanywa Watunga Sera na kuajiriwa Taasisi za Ujasusi. Sie kipaji maalum kiko Jela halafu tunalalamika

    Mwaka jana na mwaka huu dunia imejifunza uwepo wa kikosi maalum kwenye Taasisi za Intelejensia za Israel kinachoitwa Unit 8200. Umaarufu wa kikosi hiki haujaja kwa bahati mbaya bali ulianza kutikisa dunia baada ya shambulio la vifaa vya mawasiliano vya Kundi la Kigaidi za Hezbollah. Kikosi...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu James Mbowe anatakiwa ajue Mbowe alisajili vipaji vya siasa CHADEMA na sio kwamba aliwatengeneza yeye

    Huyu dogo James anakosea sana kusema kuwa Mbowe aliwasaidia kina Lissu, Lema, Msigwa kuwa wanasiasa wakubwa. Mbowe alichofanya ni kama Madrid inavyosajili mastaa wa soka toka timu mbalimbali. CHADEMA iliwahitaji kina Lissu na wenzake kuliko wao walivyoihitaji CHADEMA. Kwa mfano Lema hata...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya City Fc Yavuna Vipaji 68

    Mbeya City Fc
  15. A

    JamiiForums Tanzania Shule za vipaji maalumu nchini

    Tangu nikiwa mtoto wa daasa la tano nimekuwa nikisikia uwepo wa shule za vipaji maalumu yaani kwa wanafunzi wanaodhaniwa kuwa na upeo mkubwa wa akili, binafsi Mungu alinijaalia kusoma mojaya shule hizo mkoani Morogoro{Mzumbe} na kidato cha tano na sita (kibaha sec) , na kwa sasa nipo chuo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif na Tundu Lissu, wanasiasa waliopewa vipaji vikubwa

    Maalim Seif alipewa kipaji cha kukubalika na kuaminika Unguja na Pemba kuliko mwanasiasa mwengine yoyote kutokea katika miaka hii 60 - 70 iliopita. Tundu Lissu amepewa kipaji cha kuwa binaadam mwenye akili sana Tanzania, asiweza kukata tamaa na Licha ya madhila makubwa aliokumbana nayo ni mtu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Siasa zimepoteza wenye vipaji maalumu

    Hawa ni wale watu ambao wangekuwa sehemu nyingine wangekuwa mbali zaidi na kusaidia nchi kwa ujumla wake. Tanzania wamekuwa machawa, wala rushwa , wana dharaulika na wengine kutaka kuuliwa
  18. JamiiForums Tanzania Kumpeleka mtoto Boarding shule ya msingi ni Kuua vipaji vyake....

    Leo nimemtembelea ja.aa yangu. Mtoto wake alikuwa rafiki yangu sana. Kabla hajapelekwa Boarding kwa sababu zisizozuilika alikuwa mchangamfu, mbunifu, anaonyea leadership skills akiwa na wenzake, anahoji maswali ya maana lakini huyu niliyemkuta sasa ni mwingine kabisa. Muoga sana. Ujasiri wote...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa vipaji CCM ni tatizo

    Yaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo maana CCM imechuja na njia pekee ya kushinda ni wizi. Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya...
  20. JamiiForums Tanzania Vipaji 20 bora vya muda wote kwenye muziki wa Tanzania

    Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo; 1. Dr Remmy Ongala 2. Marijani Rajabu 3. John Komba 4. Baraka Mwinshehe 5. Banzastone 6. Saida Karoli 7. Papii Kocha 8. Profesa Jay 9. Shilole (Shishi baby) 10. Rose Mhando 11. Lady JayDee 12. Nikki wa II 13. Joseph Mbilinyi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…