Habari wakuu... Baada ya pilika pilika za siku nimeona fursa ya kuanzisha kiwanda cha Vioo vya kujitizama... Hapa Kahama
Naweza vipi pata marighafi na maganga mzuri wa jadi kuzindika kiwanda changu kisife? Ili kusupport Sera ya Serikali ya Viwanda Tanzania..
Mtaji $300,000 tu