vioo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Aluminium na Vioo Mbezi ya Kimara

    Mbezi Aluminium and Glass, Wataalamu na wabobezi wa kutengeneza madirisha ya aluminium aina zote, milango ya Aluminium aina zote, Office partition, Balusters, Kitchen cabinets. Pia tuna ofa zifuatazo; = Madirisha ya chooni = Usafiri mpaka site ni juu yetu = Tuna Generator kwa zile Site ambazo...
  2. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Hivi haya Magorofa ya kisasa yenye kuta za vioo ni Salama? Kwanini imekuwa mtindo?

    Siamini kabisa haya majengo marefu yenye kuta za vioo Unakuta jengo halina hata tofali, najiuliza hivi ule ukuta wa kioo unaweza ukaegamia kwa amani? Ikitokea tetemeko vipi? Sababu kubwa za kutumia vioo karika ujenzi wa magorofa makubwa ni jini?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Sijui hata niseme vipi?!. Kwa lugha nyepesi tu naweza kusema wenzetu WAZUNGU wameumbwa tofauti kabisa na sisi (ngozi nyeusi) WAAFRIKA. Sitaki kutumia maneno yanayoweza kufanya nikufuru, lakini ninachoweza kusema ni kwamba Mwenyezi Mungu aliwaumba wazungu kwa namna ya pekee sana. Kusema hivi...
  4. Isaack Newton

    JamiiForums Tanzania Kabati la biashara la vioo nauza kwa laki moja

    Kabati zuri kabisa la kuuzia chipsi lina portion tatu na vioo safi naliuza kwa being ya laki moja tu. Limetumika wiki mbili tu. Nipo mbezi beach sala sala. Atakae hitaji anicheki 0679478758 au 0744069243. Karibuni.
  5. Sangoma

    JamiiForums Tanzania Wapi nitawapata wauzaji wa jumla wa vioo na touch za simu?

    Habari za majukumu naombwa kujuzwa juu ya biashara ya vioo vya simu vya bei ya jumla mi nifundi simu pia naduka la accesories nahitaji kupunguza gharama za upataji wa vioo na touch haswa kwa simu za Kichina maana naona wasambazaji naochukua kwao hapa nchini awaishiwi visababu na kupandisha bei...
Back
Top Bottom