viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Katambi akutana na viongozi wa dini, wajadili mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Dk Chakwera apokea ombi la kumtembelea Lissu gerezani, akutana na CHADEMA, ACT, Prof Kabudi

    Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera leo Aprili 10 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya vyama vya siasa na watendaji wa Serikali jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa vyama alivyokutana navyo ni CHADEMA kilichoongozwa na Makamu...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi: Je, tunachukulia kwa uzito wa kutosha?

    Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea hotuba yenye makosa ya wazi ya lugha, taarifa zisizo sahihi, au ujumbe usioeleweka, wananchi wengi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tutangaze nchi sio viongozi ili kupata watalii. Late Dr Munroe yupo sawa

    https://youtu.be/klE6IkLD0aM?si=WEoMVcIw1XeaVjlM
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  7. JamiiForums Tanzania IRGC Yatishia Makampuni makubwa ya Magharibi

    Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa. Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali hatujali misiba yenu ya viongozi Mafisadi Watanzania wanataka haki na uhuru

    Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya. Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Viongozi na makamanda Iran wanavaa baibui kujificha kuuawawa na Israel

    Viongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel. Netanyahu kaleta hofu Iran hadi wanaume wanashindwa kutoka nje na wakitoka lazima wavae baibui na pia kutembea kwa tahadhari kubwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana, ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi ?

    Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana. Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ? Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Israel alichowafanya viongozi wa Iran ni kufuru, hii ni picha ya viongozi wakubwa kabla ya vita na sasa

  13. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo

    Tanzania: Wakuu wa Majeshi na viongozi wengi wakuu wa serikali sio wazalendo. Kati ya wazalendo ni hawa hawanufaiki lolote kipesa kwa wanayofanya 1. Huwezi kuwa Mzalendo na mwizi wa kura halafu ukajiita mzalendo. 2. Huwezi kuwa Mzalendo na kuuwa vijana bila kufuata sheria 3. Huwezi kuwa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Trump Kakimbia Vita

    https://youtu.be/UOlqEJEsEI4?si=shzpruz0fzVk93XV Ujumbe ndio huo Israel wanaendelea kupewa kichapo, na Israel wameshangaa kusikia Trump kakubali kusimamisha vita na Iran Mkuu wa Majeshi ya anga wa Iran vita vitaendelea mpaa target zetu zikamilike kwa faida ya Iran
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi walioshindwa kuweka sera nzuri wanaishi kwa mihemko na miluzi kama mbwa

    Kuna kiongozi mmoja naye pia ni member humu Jamiiforums. Watu walimwona kama kiongozi makini tangu awamu iliyopita na sasa pia. Mimi nakwenda naye kinyume, hafai. Kiongozi yeyote anayesubiri aone nini kinatembea kwenye mitandao ndipo afanye kazi yake namfananisha na mtoto mdogo ambaye hajui la...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wakiristo watapata shida kwa waislamu

    Muislam kupigania nchi yake hilo haweki silaha chini wala hanyanyanyui mikono juu ya kuomba poo. Anaamini akifa anaenda kustarehe peponi tofauti na wakiristo wao kufa kwao wanaona kama balsa flani
  17. JamiiForums Tanzania Je, baadhi ya Viongozi Iran watakuwa wameshtukia huu Mchezo?

    Inaonekana kama mtu anakuchukia, hakupendi Irani kwa sasa au anakuona we ni tishio kwake anapendekeza upewe/uteuliwe cheo flani. Akipendekeza ukiteuliwa au chaguliwa anaanza kukuhesabia siku. Huo ndo uhuni unaofanyika Irani. Mtu hakupendi anakupendekeza upate cheo. Basi baada ya hapo anatulia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: Tofauti za vyama ziachwe, viongozi wanaponadi sera waachane na kauli za kutugawa

  19. G

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Tanzania Haina Dini kuweka masharti yoyote ya kidini ni kinyume Cha katiba ya nchi kufunga sio Sheria ya nchi viongozi wasiwe wanafiki

    Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
  20. JamiiForums Tanzania Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

    Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed. Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…