viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi sita wa Afrika kusuluhisha mgogoro wa Ukraine na Urusi

    Ujumbe wa viongozi hao wa Nchi 6 za Afrika unatarajiwa kufanya mazungumzo na pande mbili wenye lengo la "kuanzisha mchakato wa amani." Rais wa Urusi, Vladimir Putin na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy wote wamekubali kuwa wenyeji wa ujumbe huo kutoka Afrika Kusini, Senegal, Misri, Jamhuri...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wenye watoto wanaosoma kwenye shule yenye madarasa kama haya?

  3. M

    JamiiForums Tanzania Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

    Viongozi wa G7 naona wameamua kujibatiza kama viongozi wa dunia!! Vyombo vya habari vya magharibi viko mstari wa mbele kuwatangaza kama viongozi wa dunia. Watu husema kuwa uongo ukisemwa sana, na watu wakaumezea hubadilika pole pole kuwa ukweli. Dunia lazima ikatae sasa kuwa marais wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mahubiri yamezidi kuwa holela sana. Tatizo ni Viongozi wa jiji

    Asubuhi ninapokwenda Kariakoo kwenye mishemishe zangu lazima niwahi kupanda Mwendo kasi pale Mbezi mwisho. pale ninaposubiria gari kuna wale jamaa walioweka Spika zao na kakikapu ka sadaka huku wakihubiri, huwa nashindwa kuongea na Simu sababu ya sauti za spika. Afadhali ingekuwa ni mara moja...
  5. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa viongozi wa umma: Watanzania ni waoga? Nani kakudanganya. Wape platform wakuonyeshe

    Hii natoa tahadhari kwa kiongozi yeyote wa Umma kuanzia ngazi ya juu hadi ya chini. Msiwachukulie poa watanzania....watanzania sio kabisa. Ni wavumilivu kweli, lakini uvumilivu una mwisho. Tuishi. Nasikia sikiaga watu wakisema watanzania ni waoga, tena sana. Kwamba, Kenya ndio watu sio waoga...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi Urambo kuna viongozi kweli?

    Jamani viongoz i wa Urambo kuanzía Mkuu wa Wilaya, mkurugenzi na Baraza la madiwani mnaruhusu gereji za pikipki kuzagaa kila mahali kwenye ka mji kenu yaaani mmekosa eneo moja la kufunguà gereji kila anaehitaji huduma aifate mahali rasmi. Kamji kachafu kamejaa oil chafu za pikipik mara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

    1. Mungu kaamua ugomvi 2. Watu wazuri hawafi 3. Keshaanza kuoza. Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viongozi waliokufa vifo tata

    1. Dr. Omary Ali Juma Huyu alikuwa ni Makamu wa Rais katika Serikali ya Rais Benjamin Mkapa. Alienda kufungua maonyeshi ya sabasaba akiwa na Rais Kabila wa Kongo, kesho yake tukapata tanzia. 2. Benjamin Mkapa Rais wa awamu ya tatu, jioni moja ya mwezi july mwaka 2020 ikiwa imebaki miezi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, maagizo ya viongozi waandamizi yanafanywa kuwa rasmi na kusambazwa kwa ajili ya marejeo?

    Mfumo wa serikali unaenda kwa maandishi, nadhani kinachotokea nikutokuwa active kwa wasaidizi wa viongozi waandamizi. Ofisi ya katibu mkuu kiongozi ikitoa forma directive kuhusu tamko la kisera la Mhe. Rais sidhani kama kuna mtu atapuuza. The same applies to Makamu wa Rais na Waziri Mkuu...
  10. JamiiForums Tanzania Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo. Alaani walioshiriki kumchafua kupitia magazeti

    Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa. Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa alijiunga na ACT-Wazalendo Julai 15, 2020 akitokea chama tawala-...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa serikali mliopo Karimjee, yatafakarini matendo katika kuwatumikia wananchi mkiendelea kumuaga Bernard Membe

    Ninafuatilia kwenye runinga tukio la kuuaga mwili wa aliyekuwa mtumishi wa serikali na mwanadiplomasia mbobezi ndg Bernard Membe. Ninawiwa kuwaasa viongozi wetu wa serikali, bunge na mahakama mliopewa dhamana ya kulitumikia taifa letu, kulitazama jeneza la aliyekuwa kiongozi kama ninyi mlivyo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  13. JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya Watawala na Viongozi: Je, Tanzania Yetu Ina Viongozi au Watawala?"

    Kwakuzingatia tofauti katiya "Watawala" na "Viongozi". Je, Tanzania Yetu Ina Viongozi au Watawala?" Karibu kwenye mjadala Nawasilisha. == Pia soma: =
  14. J

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuzuia magari kwenye misafara ya viongozi ubadilike

    Leo sijui kiongozi gani alikuwa na ziara ipi mi sijui lakini kile kitendo cha kuwekwa saa mzima Ubungo pale tunasubiri mtu mmoja apite ni kaushamba sana. VIONGOZI hawaoni kwamba hii ni kero kwa wananchi, wewe hayo unayoyafanya ndio yanakupa ulaji, pengine hata usipofanya ziara mshahara utapata...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Tutapata wapi viongozi bora wenye maadili?

    Habarini wakuu! Rushwa. Ufisadi, uhujumu uchumi na ubadhirifu wa mali za umma, ukandamizaji na ubinyaji wa haki za binadamu ikiwemo uhuru wa vyombo ya habari,Upindishaji wa haki na sheria, matumizi mabaya ya vyombo vya dola, unyanyasaji na ukosefu wa usawa wa kijinsia miongoni mwa kero na...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi Duniani wamekuwa wakiishi zaidi ya miaka sabini; Tanzania ni kama vile viongozi wanaanza kuishi chini ya miaka sabini; Tumekosea wapi?

    Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally. Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

    Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu. Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania NEMC wamethubutu kuanza kudhibiti kelele, wasivunjwe moyo na Mamlaka zingine za serikali zenye viongozi wasiotumia busara

    Wale ambao hamukerwi na kelele endelei kunyamaza hivyohivyo! Juzi niliwashauri NEMC kupitia Uzi https://www.jamiiforums.com/threads/hongereni-sana-nemc-kwa-kuanza-udhibiti-kelele-kwenye-bar-lakini-fanyeni-haya-kuboresha-zoezi.2094376/ Kwamba; Walipaswa kuenenda kwa umakini sana kwenye zoezi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wengi wa Siasa ni kama Wachungaji wa Mbuzi lakini Tundu Lissu ni sawa na Mchungaji mwema wa Kondoo!

    Mchungaji mwema wa Kondoo hutangulia mbele na kondoo wa Kundi lake humfuata nyuma Ili atokeapo Mbwa mwitu aweze kuwakabili kondoo wasidhurike. Mchungaji wa Mbuzi hukaa nyuma ya kundi lake na itokeapo hatari awe wa mwisho kudhulika. Tundu Antipas Lissu pamoja na madhila yote aliyokutana nayo...
  20. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Suluhisho la viongozi mafisadi na wasio wajibika

    Tanzania, kama nchi nyingi za Kiafrika, inakabiliwa na viongozi wasiowajibika na wala rushwa. Hii imesababisha wingi wa matatizo, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa usawa wa kiuchumi, ukosefu wa huduma za msingi, na hali ya jumla ya kutokuwa na matumaini miongoni mwa watu. Hata hivyo, kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…