viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nani alisema kuwa serikali haifanyi biashara? Hii ni ajenda ya viongozi majambazi ya mali za umma

    Hii kauli ya kuwa Serikali haifanyi biashara wala haipaswi kujihusisha na biashara binafsi sifurahishwi nayo hata kidogo. Ajabu kwamba inatolewa na taifa linalo jitanaibisha kuwa linafuata sera za ujamaa na kujitegemea kwa mujibu wa katiba yake. Mpaka unajiuliza huo ujamaa na kujitegemea upo...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Goba njia ya Tegeta A kwenda Madawa na Kulangwa tuna changamoto kubwa ya Barabara

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee. Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa Goba njia ya Tegeta A kwenda kutokea Madawa na njia Tegeta A kuelekea Kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki Tegeta A, na Anglikana Tegeta A tuna changamoto kubwa sana ya barabara haitaki kutatuliwa kwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo yenye Mfumo wa Serikali na si Chama

    Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu. Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
  4. JamiiForums Tanzania Mafunzo kwa viongozi wa UWT na madiwani wanawake Zanzibar

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameutaka uongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na wanachama wake kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa ambayo yatawajengea uwezo wa utekelezaji wa majukumu yao ili kuleta mabadiliko ya kiutendaji katika Chama cha Mapinduzi...
  5. JamiiForums Tanzania Madai na hoja za muungano, huja kipindi tukiwa na Viongozi dhaifu?

    Inaweza kuwa hoja yangu ikaibua hisia tofauti tofauti Lakini najaribu kurudisha akili zangu nyuma, Hoja na malalamiko kuhusu muungano wetu ni kama zimekuwa zikiibuka pindi tunapokuwa na viongozi wapole wapole! Mbona haikuwa hivi kwa Rais Chuma cha pua Hayati John Magufuli Hii inamaanisha...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kwa style ya viongozi wa namna hii, nchi yetu itaendelea kukaa gizani

    FEED THEM WITH FEAR, THEN EAT THEM.! Unajitahidi sana usizungumzie maswala ya siasa na imani za watu lakini unasikia viongozi wako wawakilishi wanaongea utopolo kabisa. Unajitahidi usiingilie maswala ya imani na dini za watu, mara unasikia viongozi wa dini wenyewe wanaruhusu mapenzi ya jinsia...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chama cha Ngumi za kulipwa wakiongozwa na Chaurembo Palasa Wasimamishwa

    Taarifa hii imesambazwa na Wizara ya michezo , na kwamba wamesimamishwa kupisha uchunguzi. Bado haijajulikana Wanachunguzwa kuhusu nini. Bali uongozi huu kwa kadiri ninavyofahamu ndio Uongozi wa ngumi za kulipwa unaongoza kwa kuwabeba mabondia wazalendo bila aibu yoyote, hata wanapopigwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tupeane mbinu za kuishi na viongozi wenye tabia za ovyo

    Ni namna gani ya kuishi na kiongozi mwenye lugha ya ukali na matusi katika eneo la kazi Asiyeshirikisha wengine katika jambo lolote zaid ya kuendekeza ubabe na paniki zisizo na msingi Kubwatwa muda wote hata kama jambo ni dogo Asiyependa ushauri kusikiliza watu na kukaa meza moja kupata...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi serikalini wanajikopesha pesa za miradi mfano afya nk....

    Kuna baadhi ya Viongozi wa serikalini Tanzania ni warafi kwelikweli yaani pamoja na kupewa posh na mishahara bado wanajikopesha pesa za miradi zinazotolewa za wafadhiri, Leo imekamilika wiki ya sita toka vijana waliopata ajira za mikataba lakini hawajalipwa chochote zaidi ya kuwapigisha...
  10. JamiiForums Tanzania Happy birthday Innocent Bashungwa, kwanini baadhi ya viongozi hutenguliwa ghafla!

    Bwana Inno alivyokataa Bilioni 5 za Hayati kwenye miaka ya 2018 Alitokea mfanyabiashara mmoja alimfuata Bwana Inno ofisini pale Wizara ya Biashara, na alifika pale akaanza kumshawishi ili amkubalie ombi lake la kwenda kumuombea kibali cha kuagiza sukari kutoka nje kwa sababu wakati huo SHUGA...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro Das awataka vijana kuacha kujipendekeza kwa Viongozi

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Mvomero Mkoa wa Morogoro Said Nguya amekemea tabia iliyoanza kujengeka miongoni mwa vijana nchini ya kusifiana sifa za uongo wakiwa ana kwa ana ama kusemana vibaya. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na vijana wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu...
  12. JamiiForums Tanzania Kijana anayejiunga UVCCM hana ajira, pia hana mtaji wa maana, ukiwaondoa watoto wa viongozi ambao wanataka kurithi viti vya wazazi wao

    Tangu UVCCM hii ya 2000's ipambe moto kudahili vijana mashuleni, vyuoni na mitaani hakuna kijana mwenye ajira ya uhakika (permanent & attractive salary) amejiunga na UVCCM na kujishughulisha nayo. Vijana waliosota na ukosefu wa ajira uliosababishwa na CCM ndio hukimbilia UVCCM wakisubiria...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanachama wa CCM wamewaacha viongozi wao akiwemo Kinana kushambuliwa mitandaoni bila kuwatetea?

    Mhe. Kinana anazungumza na waandishi wa habari Dodoma. Katika mambo aliyozungumza ni kudai tume itakuwa huru, kudai Rais ana nguvu kwenye kila tume ya uchaguzi Duniani na kudai Chadema wanamepewa uhuru siku chache na wanahubiri chuki. Katika haya yote hakuna linaloonekana kuungwa mkono X na...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi ndani ya CHADEMA unatumia rushwa ili kupata viongozi watakaopambana kuleta katiba mpya ya kupinga rushwa na ufisadi

    Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha. Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa. Chichi dodo
  15. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kufikia Tanzania tuitakayo: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi na Matumizi mazuri ya Rasilimali

    Tanzania Ni Nchi ambayo imebahatika kuwa na Kila kitu hivyo 1: Uwajibikaji mzuri wa Viongozi Tanzania ni nchi mojawapo ambayo inatumia demokrasia katika kuongoza, hivyo viongozi wanaichaguliwa ni vizuri wakawa wawajibikaji zaidi na kuwa wabunifu katika kuhakikisha Wanatenda vyema Yale yote...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunatokomezaje viongozi machawa serikalini?

    TUNAWEZAJE KUTOKOMEZA VIONGOZI MACHAWA SERIKALINI Tangu nchi yetu ya Tanganyika ipate uhuru mwaka 1961 tumekuwa na katiba tofauti tofauti zinazoongoza taifa hili, ambapo katiba hizi zimekuwa zikitoa miongozo na kanuni mbalimbali jinsi taifa hili litakavyo endeshwa. Na mpaka sasa nchi ya...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Uzinduzi wa awamu ya Nne wa Shindano la Stories of Change 2024, Zaidi ya Tsh. Milioni 50 Kushindaniwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, inaratibu Mtandao wa JamiiForums.com...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wanashindwa kuwashauri viongozi wazuie nyimbo zenye matusi

    Viongozi wa dini mnaalikwa kwenye matukio mengi ya kitaifa mnakaa meza moja na wakubwa kweli mnashindwa kuteta na waheshimiwa ili Basata iwaite wasanii na kuwaomba wapunguze matusi kwenye nyimbo zao ili kunusuru taifa watoto wasiharibikiwe kimaadili. Mtu anaimba mkanda, mkende, mkindi...
  19. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Kutaja Itifaki ya Viongozi Tanzania uangaliwe upya

    Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali ya Kiserikali na kijamii mara nyingi. Niseme tuu Sipendwezwi na Utaratibu Wa Kutaja na kutambuana Viongozi kabla ya kuanzia hotuba au salamu zao. Mfano Leo Hapa Arusha, Jukwaa kuu Lina Viongozi Zaidi ya Ishirini na Kila kiongozi anayetaka kuongea...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wanateta Serikali na kuweka pembeni maslahi ya Wafanyakazi

    Asalaam Aleykum. Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…