viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Viongozi katika skendo awamu hii

    Babati Naibu waziri katumia chupa kwa kijana wa kiume, Mafia DED kabaka Beki 3 , safari hii RC kalawiti binti kwenye gari. Yaani ni ukatili na upwiru tu kwa viongozi wa leo.
  2. Maslahi ya Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi (NSSF&PSSSF)

    Kwa yoyote anayejua maslahi ya Viongozi wa hii mifuko ya Hifadhi (NSSF na PSSSF) ikiwemo Mishahara, Marupurupu n.k. ukiacha upigaji kwenye miradi kikubwa ya ujenzi wanayowekeza.
  3. Sawa ukifungwa mtandao X na viongozi wenu wa ccm na serikali wata kuwa wanapost wapi?

    Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF. mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine. Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
  4. Waziri Mkuu Modi awashukuru viongozi wa dunia kwa salamu za pongezi wakati wa sherehe ya kuapishwa kwake

    New Delhi [India], Juni 2024 Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo. Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
  5. D

    SoC04 Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu

    "Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu" Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
  6. Kwanini viongozi wa juu wa serikali hupenda kuwapa nafasi watu wa ovyo

    Huwa nashindwa kuelewa kwanini viongozi wetu hupenda kuwapa nafasi watu wa hovyo mfano Pierre liquid. Na wengineo Ina maana Watanzania wengi uwezo wao wa kufikiri ni kama wa Pierre liquid ndio maana Pierre liquid alipelekwa bungeni kipindi kile kama sample.
  7. Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF unachangia kuanguka kwa mfuko huo kutokana na kutokuwa na uongozi bora pamoja na kukosa uwekezaji sahihi. Pia soma ~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko ~ Uhuni mkubwa...
  8. Viongozi na kuhangaika kurekebisha mambo wanapotembelewa na viongozi ngazi za Juu

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya viongozi wakiwa na hekaheka za kurekebisha mambo yao wakijua watatembelewa na viongozi ngazi ya juu, utajionea vituko vya mahangaiko yao wakati siku zote walikuwa wamekaa kama hawaoni kuna kasoro au hawahusiki na kurekebisha. Utapigwa butwaa kama ni barabara...
  9. Azim Dewji awatuliza Simba kuhusu viongozi

    Mfadhili wa zamani wa Simba Azim Dewji amewatuliza mashabiki wa timu hiyo kuacha kuendelea kuwashurutisha viongozi wao kujiuzulu akisema hatua hiyo itaibomoa timu yao. Dewji ameyasema hayo leo kufuatia malumbano ya uongozi yanayoendelea ndani ya klabu hiyo. Amewashauri viongozi wa Simba...
  10. P

    Viongozi wa manispaa ya Temeke kuweni wabunifu

    Kwanza ni wape pole kwa kazi kubwa mnayoifanya ,viongozi wangu wa manispaa ya Temeke.Ninaimani kubwa na nyinyi ,hasa katika kuwaletea maendeleo wana Temeke wote. Pili,niipongeze manispaa ya Temeke ya kujenga kituo cha mabasi kwa kata ya Buza .Kwa kweli ni jambo la maana na lakupigiwa makofi...
  11. B

    Wanafunzi DUCE walilia boom, walalamika viongozi wa serikali kuwatembelea uchaguzi ukikaribia

    Wanafunzi Chuo cha Elimu sehemu cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania (DUCE), wailaumu serikali https://m.youtube.com/watch?v=0eDvfPF6Ys0 Mwanachuo bi. Nduguru aliyetokea Songea kusoma campus ya DUCE jijini Dar es Salaam akiongea huku akushangiliwa na wanafunzi hao wa kitivo cha...
  12. Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  13. Viongozi wakuu wa vyama visivyo vya ukombozi waliodumu muda mrefu zaidi madarakani

    Hii ni orodha ndefu ya baadhi ya viongozi wa vyama visivyo vya ukombozi waliokaa muda mrefu zaidi katika madaraka ya vyama vyao kwa mafanikio makubwa sana. 1. Fidel Castro- miaka 46, Communist Party of Cuba. 2. Lee Kuan Yew- miaka 38, People's Action Party, Singapore. 3.Viktor Orban-Miaka 28...
  14. Aziz Ki amekata mzizi wa fitina juu ya mustakabali wake ndani ya Yanga

    Aziz Ki amesema"Nawashukuru kwa sababu ni jambo dogo sana ninaloweza kufanya kuwashukuru nyinyi ambao mnanisaidia kila siku, SIO KWAHERI NIKO HAPA MSIJALI”
  15. Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika na Diwani wa Cheyo kufikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma

    Sektretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, inatarajia kumfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo M. Buswelu kwa tuhuma za Ukiukwaji wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Pia, Sekretarieti hiyo itamfikisha mbele ya Baraza hilo, Yusuph H...
  16. X

    Special thread: Mgogoro kati ya Urusi na NATO

    Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
  17. Jerry Silaa na Paul Makonda ni viongozi wa mfano wa kuigwa

    Appreciation post to MAKONDA na SILAA Niliwahi kuwaeleza huko nyuma kwamba kwa dunia ya sasa hivi haiwataki watu imara, yaani watu haiwataki wale waliokuwa na misimamo yao, haiwataki wale wapiga kazi, inawataka watu walegevu. Namwangalia Paul Makonda anavyofanya kazi yake, kiukweli ni mtu...
  18. M

    Makonda ana mapungufu yake lakini ana hekima kubwa na uzalendo. Tofauti na viongozi aina ya Halima Bulembo

    Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa. Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
  19. Viongozi wa CCM mnasikiliza na kutatua kero au matatizo ya wananchi?

    Kero ni ile hali ya maudhi madogo madogo na mara nyingi kwa mtu binafsi au kikundi kidogo tu cha watu. Mfano wa kero inaweza kuwa jirani yako anayefungulia mziki mkubwa unaoleta usambufu kwa majirani wengine, mlevi anayetukana hovyo mtaani, kuachwa na mume bila kupewa mali stahiki, mwenyekiti wa...
  20. PreGE2025 Luhaga Mpina: TBC inadharau Bunge kwa kukatisha matangazo Mubashara ya Bunge na kurusha warsha na ziara za viongozi

    kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi. Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…