Je utamaduni wa uoga, unafiki, rushwa na kupenda kutukuzwa aka uchawa ni sababu inayo kwamisha maendeleo yetu. Katiba mpya ambayo ingeleta uchumi imara na demokrasia
Muda wa maandamano ya vyama vya siasa Bado kabisa, ukifika hakutakuwa na chombo kitakachoweza kuyazuia kufanyika. Hakuna nguvu itakayoweza kuzuia nguvu ya umma muda ukitimia. Sasa hivi mnachofanya ni vurugu TU (nuisance), wananchi hawawaelewi mnachomaanisha, ndiyo maana maandamano yenu...
Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu.
Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani muda mrefu ili wasikiongoze chama kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani?
Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza.
Mkifanya Mąkosa ya kuamini...
Ndugu zangu habarini za hapa jamvini....!
Musoma yetu niliwamisi sana hapa jamvini. Ni takribani miaka 4 sikuwa active humu, mara ya mwisho ilikuwa 2021!
Ni mengi tumepitia hii nchi toka 2015_2024! Nilichogundua
1) Wananchi wanaipenda nchi yao, ila viongozi wengi hawana mlengo huo! Wapo...
Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.
Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini?
Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
Chama cha mapinduzi kimejengwa katika misingi ya Utu na Uzalendo,toka kuasisiwa kwake. Look
Dunia ya sasa, Geopolitics na mienendo ya dunia inahitaji kila taifa kujiimarisha haswa ktk uchumi,siasa na elimu(intelligence)
Taifa lolote ili liweze kutekeleza hayo linahitaji mkuu wa nchi aliye...
Sote tunajua kuwa mchakato wa kuwapata viongozi wa Serikali unaanzia huko kwenye vyama vya siasa. Chama cha siasa kikishinda uchaguzi, aghalabu, nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya Serikali hushikwa na hao viongozi wa chama kilichoshinda uchaguzi. Hii ina maana mkiwa na viongozi wa hovyo ndani...
Kwenye hotuba ya Leo ya mheshimiwa Rais ametoa code moja ambayo kama ni kweli viongozi wa chadema walifanya mkutano Arusha na waliongea Ile code ambayo Rais kaisema then ni Jambo la wazi wanatakiwa kuwa border now.
Maana yake taarifa zote za kikao chao itakuwa Rais kazipata.
Sasa kama waliplan...
Sio punde tutaona badala ya Polisi kutafuta wauaji wataanza kuwafuata viongozi wa Chadema majumbani kwao na kuwateka ili tu wasiende kwenye maandamano.
Kwasababu wanajua hilo ni wakati wa kuweka kamera na kuwaita waandishi wa habari msije kutekwa kwa namna hiyo.
Huu ni ushauri tu
Tatizo la Tanzania ya sasa hakuna uwajibikaji watu wanakufa na kutekwa lakini viongozi wote wapo kazini kama vile hakuna baya limetokea. Hii inasibitisha viongozi wa siku hizi ni magenge ya marafiki na Machawa na ni vigumu kuwajibisha ndugu, marafiki, machawa wako hasa pale ambako wanaouliwa ni...
Baada ya CHADEMA kupitia Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe kutangaza maandamano, wazo lilionijia ni CCM kutafu mbinu ya kuzuia haya maandamano yasifanyike na mojawapo ni kuwatumia viongozi wa dini.
Alichofanya leo Padri Kitine ni hatua tu ya awali ila mipango itakuwa teyari imeandaliwa au...
Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye maono ya kuleta mabadiliko nchini Tanzania, hasa katika masuala yanayohusiana na vijana.
Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mwamko mkubwa miongoni mwa vijana wa Tanzania kujiingiza katika siasa na kutaka kushiriki katika uongozi wa nchi...
Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia..
Hata namna maandamano hayo...
Nimeona matamasha na marathons nyingi zikifanyika kwenye majimbo na mikoa walipotokea viongozi wakubwa wa nchi hii.
Mfano ni Tamasha la Kizimkazi lililomalizika hivi majuzi na lilifanyika kijijini alipotokea Rais Samia. Pia hivi majuzi tulishuhudia Tulia Marathon huko Mbeya alipotokea Spika...
Mtu kuwa maskini Tanzania ni kigezo iikoja wapo cha uongozi kwenye jamii. Kigezo cha umaskini kimefungamanishwa na kilimo hivyo kila kiongozi anaamini ni mtoto wa mkulima na kwamba ni maskini anayekwenda kuwatetea maskini.
Matokeo yake masikini amekuwa kila akipata maungo yanalia mbwata means...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.