Wapo watu wameapa kutetea na kulinda viongozi kwa jasho na damu na hata udhalilishaji ni kosa kisheria kiusalama halikubaliki.
Chadema kimekuwa chama cha kutuma vijana wasio kiwa na maadili kutukana viongozi bila kujua wanalindwa na matusi,dhihaka za kila namna
Ukija kutukana jua utajificha...
Kumekuwa na Mambo mengi ya ovyo hapa Nchini.
Viongozi wengi wa Dini wamejitokeza hadharani kukemea maovu hayo, lakini kuna viongozi wa Dini nyingine wapo kimya kana kwamba hawayaoni yanayoendelea.
Naomba hawa viongozi wa Dini nyingine waliokaa kimya watuambie, wapo upande gani?
Je, wanahusika...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu.
Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu...
Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa.
Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk.
Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024
Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe.
Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
Habari wanaJukwaa
Wakati huu kumekuwepo na uzalishaji mkubwa wa uzushi unaoelekezwa zaidi kwenye chama tishio cha upinzani Tanzania , yaani Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Na uzushi wenyewe ni wa kesi kubwakubwa za kijinai ikiwemo hilo linaloendelea mitandaoni sasa kuhusiana na...
Hello!
Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness.
2015 mkashindwa
2020 mkashindwa
Hiyo 2025 mtawezaje?
Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2.
1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
Kwa hasira kuu.
Huu uchawa pro-max ukome.
Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger, ya-kishamba sana, basi tafrani tu. nchi imejaa majina ya kishamba yasiyo na swagger kila kona.
TUMECHOKA...
Ndugu zangu viongozi na viongozi watarajiwa,
Hii nchi yetu pedwa haitabadilishwa na viongozi wa sasa ambao wamefundishwa kufanya kila wafanyanalo kuhudumia viongozi wenzao badala ya kuhudumia taifa. Viongozi ambao wanafikiria watapata vipi pesa kutokana na kodi na rushwa.
Viongozi ambao...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha hukoo
"CCM sio kichaka wala pango la wanyang’anyi. Viongozi wala rushwa na wezi ndani ya CCM sintocheka na nyie na nitawataja na kuendelea kuwasema hadharani daima"
"Bora nifukuzwe kabisa kuliko kukalia kimya rushwa na ufisadi unaofanywa kwa wachache na...
Saluni za nywele na urembo zinatarajiwa kufungwa wiki kadhaa zijazo hali ambayo inatarajia kusababisha ajira 60,000 kupotea.
Uongozi wa Taliban baada ya kuingia madarakani Mwaka 2021 uliruhusu saluni hizo kuendelea lakini wamebadili maamuzi hayo wakati ambapo tayari wamezuia Wanawake kwenda...
Mwenyekiti wa CHADEMA aelezea vituko vya chama dola kongwe CCM
MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA ATOA MAZITO MKUTANO WA HADHARA
https://m.youtube.com/watch?v=e2Ikimr7f60
Hatuwezi kuwaelewa Prof. Palamagamba Kabudi wala William Lukuvi waliotumwa na serikali ya CCM maana serikali ya CCM...
Viongozi wa mabaraza ya miji ya kaskazini ya Israel mpakani na Lebanon wamesema wameamua kukatisha mawasilano na serikali baada ya kuwatelekeza kwa zaidi ya miezi 10.
Wamesema hawataki tena kupigiwa simu wala kutumiwa ujumbe baada ya serikali kuwadanganya kwa muda mrefu na kushindwa kuzuia...
Halmashauri ya Wilaya ya Chato, wakati Joseph Pombe Magufuli akiwa Rais, waligawa maelfu ya viwanja kwa viongozi wakuu wa Serikali, watumishi wa Umma, binafsi, na wafanyabiashara.
Lakini tangu Magufuli afariki, wamevitelekeza, havijajengwa, na hata hawavitembelei. Yamekuwa mapori makubwa...
Mwaka 2024 umekuwa mwaka ulioibua utekaji na mauaji yasiyochinguzika.
Umekuwa mwaka wa kuzipiga vita 4R kwa minajili ya kukwamisha juhudi za maridhiano zilizokuwepo swali.
Umekuwa mwaka ambao vitendo vya kikatili vimeongezeka na kelele zimekuwa zikipigwa na wanasiasa na hata wananchi kama...
Amani kwako mdau.
Viongozi wa madhehebu mmekaa kimya kama waumini/ kondoo wa mazizi yenu wamekamilika.
Hali siyo nzuri, mnapaswa kupiga mwangwi kupitia madhabau, hii hali ya utekaji inayoota mizizi nchini kisa tu mwananchi anaongea/ kuandika kuhusu serikali.
Mtume Issa bin Mariam, Yesu Kristo...
Naona kama Neno Mheshimiwa linatumika vibaya jamani! Sijisikii vizuri ninaposikia mheshimiwa Mkuu WA mkoa, au Mkuu WA wilaya, mheshimiwa mkurugenzi, daktari, mheshimiwa mchungaji, mheshimiwa she, mheshimiwa Afande!
Zamani tuliambiwa watu wanastahili kuitwa Waheshimiwa ni viongozi...