viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa na kidini wa Afrika ndiyo chanzo cha umasikini,vita,urasimu,wizi,ufisadi,nk tangu kuondoka kwa wakoloni.

    Afrika bila mapinduzi ya kijeshi hakuna ukombozi wala maendeleo yoyote watakayoona kwani viongozi wa kisiasa wa Afrika wanashirikiana na viongozi wa kodini wa Afrika na wote ni wezi wanaihujumu AFRIKA. Kwasasa MAPINDUZI ya kijeshi ndiyo mzizi wa kila kitu ndani ya Afrika kwa WANAJESHI...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata wabunge na viongozi walalamishi! Sasa tunaenda wapi?

    Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku
  3. JamiiForums Tanzania Shinyanga: mkuu Wa mkoa, mkuu Wa Wilaya na Viongozi Wa kata shinyanga mjini,Je mnataka kizazi Cha mabinti wote waingie kwenye biashara ya Ngono?!!

    Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU. Pale kuna Dangulo Moja linalofahamika kama Maswa Guest lipo karibu kabisa na ofisi za Serikali ya mtaa...
  4. JamiiForums Tanzania Mbozi: Walimu wawataka viongozi wapya CWT kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimia mbili kwenye mishahara yao

    Baadhi ya walimu na Wajumbe wa Chama cha Walimu (CWT), wilayani Mbozi, mkoani Songwe, wameomba viongozi waliochaguliwa kuwaongoza kwa awamu nyingine kuhakikisha wanatetea maslahi yao ikiwa ni pamoja na kuishauri serikali kuondoa makato ya asilimi mbili ambayo hukatwa kwenye mishahara yao ...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga someni alama za wakati, hatutaki busara na uchawa

    Tuko tayari kumvumilia Yanga ishushwa daraja kwa kanuni kuliko kuvumilia kurudia mechi kwakutumia busara. Hali hii mwisho wake lini? Kama ikithibitika kama Yanga imewazuia simba kuingia uwanjani na Kama adhabu ya kuzuia timu kuingia uwanjani ni kushushwa daraja ni bora tushushwe. Ni heri ya...
  6. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi, Arafat wamaliza kikao na Serikali, watoa ujumbe kwa Wanachama wa Yanga SC

    Viongozi wa Klabu ya Yanga SC wamehitimisha kikao chao na serikali kilichofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam, ambapo walijadili masuala muhimu kuhusu hatma ya dabi ya Kariakoo. Baada ya kikao, Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said, aliwahakikishia wanachama kuwa uongozi wa klabu...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika Vs Viongozi wa Ulaya

    Tukisema Tubadilishane, Viongozi hivi, Hawa Viongozi wetu wakienda Ulaya, Je maendeleo yataendelea kuwepo au yatakufa.
  8. JamiiForums Tanzania Viongozi 9 kufikishwa Baraza la Maadili kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Maadili, kuna DC, Hakimu & Meneja TANESCO

    SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini watoa elimu ya Uraia kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi 2025

    Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania. Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi...
  10. JamiiForums Tanzania Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

    Hapo vip! Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele. Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia na Rais Mwinyi wafuturu pamoja Ikulu Tunguu na Viongozi wa Siasa, Serikali na Dini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi wa siasa, serikali, dini...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  15. JamiiForums Tanzania TANZANIA: Viongozi hawajihughurishi na matatizo ambayo hayawanufaishi moja kwa moja.

    Sijui kwa jimboni kwako, sijui kwa upande wa kada yako Kama kijana, mtu mzima au mzee. Ila iwe iwe wapinzani, iwe wale wa chama tawala Lakini in general wanasiasa wa Tanzania hawapendi kabisa na hawawezi kujishughurisha na vitu ambavyo havina faida ya moja kwa moja kwa wao wenyewe. Hoja hii...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli viongozi wa Yanga wana utoto na ujinga? Majibu ni haya

    Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia page yako kwenye insta unawaambia wanayanga twendeni uwanjani, wewe unabandika listi ya kikosi kwenye...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Israel yatoa onyo, yaua viongozi watano wakuu wa Hamas waliokataa kuwaachia waisrael waliotekwa

    Hamas imekuwa ikikataa kuaachia mateka na maiti za waisrael na watu wa mataifa mengine waliowateka 7 October 2023, Israel imetoa onyo kwa kuua viongozi watano wa juu kwenye idara za Hamas. Viongozi 5 wa Hamas waliopigwa target. Mkuu wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Serikali - Essam al-Dalis. Mkuu...
  18. O

    JamiiForums Tanzania VIONGOZI WA M23 NA MAKAMANDA WA JESHI LA RWANDA WAWEKEWA VIKWAZO NA UMOJA WA ULAYA

    17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic of the Congo (DRC), for sustaining the armed conflict, instability and insecurity in the DRC and...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Watu Wanazidi Kuacha Kwenda Kanisani? Kasumba Siku Hizi Kwa Wakatoliki ni Kuwa Mtoto Akishapata Kipaimara Anayeyuka Kanisani, Kwanini?

    Wiki hii nilijaribu kuwa mdadisi kidogo kuuliza vijana na watu wazima waliokuwa washiriki wa kanisa lakini kwa sasa wameacha kuhudhuria ibada ili kuelewa sababu zilizopelekea mabadiliko yao ya kiimani. Nilitarajia kusikia sababu za kawaida kama uvivu, majukumu mengi, au hata masuala ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ujio wa Mapinduzi ya Viwanda vya Giza

    Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama viwanda giza, kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi bila mwanga wa taa, kwa kuwa havihitaji uwepo wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…